Follow Channel

BABY DADDY IGP POLISI NI MOTO

book cover og

Utangulizi

BABY DADDY IGP POLISI NI πŸ”₯
MTUNZI; BABY SMILE

EP 1.
"Rahma naomba uongee na mdogo wako, nimechoka kesi zake mwisho utakuja kuniona mimi mbaya, au unamtumia yeye kumkorofisha mke mwenzio?, Juma mme wangu mimi kweli naweza kufanya hivyo? " Ndio unaweza si ni wivu kwa sababu kazaa wewe hujazaa najua unaumia lakini nisingeweza kuvumilia kuishi milele bima mtoto, wewe mwenyewe unajua jinsi nilivyokuwa nakupenda, na hata sasa hivi nakupenda tatizo ni hizo chokochoko zako, muache mwenzio apate amani mbona najitahidi sana kukujari Rahma...

Nilijikuta nalia tu na haya ndio yalikuwa maisha yangu kwenye hii ndoa, nina miaka minne sasa kwenye ndoa ila naiona chungu mwenzenu, nilikaa miaka miwili tu bila mtoto mme wangu akaniolea mke wa pili, mke wa pili kafika tu kaja na ujauzito hakuhangaika hata kidogo kupata ujauzito ni kama alikuja na mimba kabisa, muda wa kujifungua ulifika,akawa kajifungua mtoto wa kike, sasa anamtoto ana miaka 2, mdogo wangu wa kiume kamaliza kidato cha nne, tukawa tunaishi nae kwa sababu , hatuna wazazi ni alikuwa anasomea kwa mjomba, akaomba likizo kuja kuishi na mimi, wakati anasubiri matokeo bila kujua dada ake niko kwenye kitanzi cha ndoa, na sina wakunisaidia zaidi ya machozi ya kila dk...

Mdogo wangu alifika nakiwa faraja yangu sana, hii ilimkera bi mdogo, na mme alikuwa kwangu anakuja kulala kwangu endapo tu mkewe akiwa kwenye siku zake bila hivyo kwangu haji, na kibaya zaidi alimleta bi mdogo kwenye nyumba yetu, tuliojenga tuishi wote, akidai hawezi kulipa kodi na nyumba ipo lakini pia itamsaidia kutuangaria kwa ukaribu zaidi wote, mimi sikuwa mtu wakupenda magomvi nilikubari tu,lakini nikawa mfanyakazi mpaka kupika napikia wote, na nisheria mme alisema mimi sina kazi, mwenzangu analea hivyo nisaidie majukumu,hakutaka hata nifanye biashara, mwanzo wa ndoa haikunipa shida kwa sababu alikuwa anajari sana sikuwahi kukosa chochote,nikabweteka...

Sasa nakipata siwezi msaidia mdogo wangu hata sh 500, ata akiugua ni tunapona bila dawa, nilikiwa naumia sana,mwanaume alivyoona navumilia kila kitu ndio akazidisha mateso, na jina akabadiri na kuniita mgumba, nitapika ma kufanya kazi zote kwa sababu siwezi kumletea mtoto, hivyo malipo ya kunistri, niwe nafanya kazi zote umo ndani, mpaka shuka wanazotumia na mke mdogo nafua, sikuwa muongeaji ni kutii tu na kuria, ndio ilikuwa kazi yangu, mdogo wangu alikuwa ananihurumia mno, akawa ananishauri nidai taraka hii sio ndoa,lakini sikuwa tayari...

Nilijiona kama nahurumiwa nani atanioa na huu ugumba wangu, upande wa pili kulikiwa na kaka mmoja handsome ila mkari hacheki ni IGP Akram(inspector General police), alikuwa bze na kazi zake, anasikia vijana wake wanaongerea wanawake tu, alichukia akasogea na kuwaambia, waache ujinga mwanamke sio chochote zaidi ya bidhaa ya kutumika na maadui, hawana utamu wowote, wenzie walimpinga wakamwambia hajaonja akionja atawaerewa, lakini Akram hakukubari alisema bora kutumia sabuni, bao ni bao tu, tena la kujipa mwenyewe ninraha zaidi kuliko ya hao mataperi, mpaka ubembekeze yeye hawezi huo ujinga kabisa, ikabidi wamuulize haya atapataje watoto na sabuniπŸ€”, akasema akihitaji mtoto, atatafuta wakumlipa atapandikiza, ila hawezi ingiza mhogo wake sehemu za ajabu ajabu, walibaki kumshangaa tu na kumwambia mkuu onja kwanza mwanamke ndo uje uongee hiki unachokiongea, aliona kama wanajiendekeza tu, hakuwa mtu wakuendekeza hisia hata kidogo, alikiwa na bibi yake na wadogo zake wa kiume wawili, Bibk yake kila siki alikuwa anapiga kelele mjukuu wake aoe, lakini muoaji ndo kwanza, mshipa wake wa hisia haupo nikama ulishakatika kabisa...

Bibk alianza kutafuta madoctor ili amfanyie vipimo mjukuu wake, il mjukuu wake alikuwa anamchenga, siku hio harudi kabisa nyumbani, akiletewa mwanamke anaishia kumkataa na kumtengenezea kesi mpaka demu anaondoka mwenyewe, bibi wa watu akawa na mawazo huzuni muda wote, Akram akaamua kuhama kabisa nyumbani, ilo kuepuka usumbufu wa bibi yake, akamuahidi tu atakuja kuoa asijari, kuna mwanamke wake yuko masomoni anamsubili alitunga uongo mpaka bibi akaamini akaamua kutulia kusubili...

Upande wangu leo mambo yakawa mambo,mdogo wangu alikuwa ananitetea kwa bi mdogo, nakusema "nimechoka kuona mateso ya dada angu sasa ni hivi, dada angu sio mfanyakazi umu ndani, hawezi kukufuria nguo wewe umekaa, leo hizi nguo fua mwenyewe, mwanamke akataka kumpiga dogo, akampiga, nilimzuia mdogo wangu lakini hakunisikiriza alikiwa kachukia sana, mwanamke alianza kulia, akasema sasa atatuonyesha, atujakaa sawa mdogo wangi akaja kukamatwa na police, ety kafumaniwa anataka kubaka yule mtoto wa miaka miwili..
Kupata mwendelezo bonyeza link hii hapa juu au chini ukasome yote hadi mwisho kwa buku tu..

Itaendelea...πŸ’₯
BABY DADDY IGP POLISI NI πŸ”₯

MTUNZI; BABY SMILE

EP 2.
Alokamatwa na kupelekwa police, sikuwa hata na simu ya kupiga simu mme wangu alishaninyang'anya, lakini hakukawia alifika, nilimpokelea getin, huku nalia namuomba amsaidie mdogo wangu, cha ajabu alinishika akanipiga kama mtoto mdogo, huku anasema " mpuuzi sana wewe mgumba, kwa sababu wewe huna kizazi sasa unataka kumtumia mdogo wako kuharibu familia yangu, mimi ndie nimetuma police waje kumweka ndani uyo anaejiona kidume, bila aibu mwanamke mzima unatete jambo baya kama hilo? Sikutegemea utakuwa katiri kiasi hiki, unamtetea mbakaji tena wa mtoto? Kisa hujui uchungu wa mtoto ee? Sasa nikuone umetoa miguu yako umu ndani, unaenda kupeleka chakula changu kwa uyo mbakaji, ole wako, nilipata hasira nikataka kutoka pale pale, akawa amenirudisha ndani, akanipeleka mpaka chumbani na kunifungia...

Sikuwa nimepika bado ndio ilikuwa saa tisa jioni, ilivyofika saa 12 nilifunguliwa nikapike, niliingia kupika mwili wote unauma,nimemaliza kupika nikawaandalia mwanaume akaniludisha nile, kwa razima kwa sababu anahitaji kula baada ya kula, muda huo mkewe alikuwa hajafika mezani alikuwa ameenda kumlaza mwanae, nilimtizama kwa hasira, nikasema tu nimeshiba, akasema ni lazima nile, vinginevyo nitakiona cha mtema kuni, nilikaaa kula kishingo upande mkewe aliludi, wakaanza kulishana, mimi nilishazoea kabisa haya kwao ni mambo ya kawaida, kuna muda wanakulana mbele yangu, hivyo sikuona ajabu, nilimaliza kula chakula nikainuka kwenda zangu chumbani, apo nawaza namna yakumsaidia mdogo wangu...

Nilifika chumbani nikaingia kuoga nikiwa bafuni mwanaume aliingia na funguo yake ya ziada make nilifunga,akaja mpaka bafuni, akafika akaanza kunisifia mi mzuri, sana kama ningekuwa na kizazi aisee angenifaidi sana angechanganya rangi vizuri, mimi ni mweupe yeye na mke mdogo ni weusi,sikuwa na hisi chochote kabisa mwilini mwangu, hata alipokuwa ananitomasa tomasa nilihisi kama natemberewa na mdudu tu, na sio kawaida yangu kabisa huwa akinigusa tu mme wangu nalegea vibaya mno, hata yeye alihisi kuna mabadiriko, alijua nina hasira tu nitakuwa sawa, alijua akishanipa na kunidanganya danganya nitakuwa sawa kama siku zote anavyofanya...

Alianza kunitomasa ili nimpe ushirikiano, muda huo yeye kazidiwa hajiwezi lakini mimi sikuwa nahisi chochote kabisa, akaona apa leo atachoka laba ajilie zake tu, akanimwagia maji nakuniludisha kitandani, akataka kuingiza haoni utelezi ata kidogo alishangaa aijawai tokea, akanitizama sana, akchukua mafuta yangu nayopaka yalikuwa ya kula, make ata pesa ya mafuta alishaacha kuninunulia, alishangaa kuona ni mafuta ya kula, akaniuliza roshen yako iko wapi?, sikujibu akakasirika akaniwasha kofi, mimi muoga sana wa kipigo nikajibu tu sina, " sasa Rahma kujibu tu unaona kazi gani mpaka tupigane? Umekuwaje lakini mke wangu, au unafurahi kuona nakupiga, sipendi kukupiga, ata kama huzai mimi nakupenda bado, ndio maana sijakupa taraka, nisamee nilijisahau kukununulia mafuta ila kesho nitakuletea kila kitu,na nguo pia, sikujibu chochote alinikumbatia nakuni kiss...

Akaenderea na jambo lake, aliinipaka mafuta akaingiza, lakini hakusikia ata mguno wangu yani nilikuwa kams nimepigwa ganzi,alikomaa nikawa naumia tu sisikii raha yoyote, aloomba nimpe ushirikiano lakini sikutoa, mpaka anamaliza akajimwaga mbembeni anahema kama katoka vitani na kanusurika peke yake, niliinuka nikaenda kutoa uchafu wake, nikarudi alitegemea na leo nitamsafisha kama siku zote, ata sikufanya hivyi nikavuta shuka na kulala, alishangaa nakuuliza mbona niko hivyo,nilihofia nitapigwa tena nikajibu tu naumwa, akaniambia tu pole mke wangu, kesho asubuhi jiandae nitakupeleka hosptal, akaamka akapasha maji ya kujisafishia mwenyewe akaja kuniaga anaenda kumsaidia Bi mdogo kulea mtoto usiku anahangaika sana peke yake ata sikushtuka wala kushangaa nishazoea tofauti ni kuwa leo nimeagwa...

Alitoka akaniachia elf 30,sikujua ya nini, usiku kucha sikupata usingizi kabisa, asubuhi niliamka mapema kama kawaida na hivi sikulala usiku kucha ndo basi kabisa, nilitoka nikaanza kufanya usafi saa moja nikawa nimeshamaliza kila kitu, mke mdogo akaja na nguo za mmewe ninyooshe, niliandaa kama kawaida, wakati namalizia shart Juma akaja akaniambia kichukua nguo zake akaniambia na mimi kama nimemaliza kazi tuondoke anipitishe hosptal, nilikuwa tayari nimeshapata wazo lakutorokea huko huko...

Nilivaa haraka haraka, uzuri nilioga nilivyoamka tu, tukatoka bi mdogo akaanza kulala mika kubaki peke yake na mtoto hawezi twende wote, anisindikize, mwanaume akakubali, tukaondoka wote adi hosptal, nikalipiwa vipimo na pesa ya dawa,mwanaume akataka kunipa ili awahi kazini bi mdogo akaiwahi kiwa yeye ndie atalipia, mimi sikusema chochote walipeana, na kisss za kutosha mwanaume akaondoka, alivyoondoka tu na mwanamke wake akaondoka nikashukuru Mungu mno, pale pale nikaunga mbio adi barabarani, niwahi kituo cha police....
Kupata mwendelezo bonyeza link hio hapo juu au chini ukasome yote hadi mwisho..

Itaendelea...πŸ’₯
BABY DADDY IGP POLISI NI πŸ”₯

MTUNZI; BABY SMILE

EP 3.
Nilikuwa na ile 30 ya usiku, nikaenda hadi kituo cha police, nililipanda toyo, kufika naambiwa pale hayupo,nikaenda kingine,ndo kumpata,nilipewa ruhusa yakumuona,mdogo wangu alikuwa kapigika sio poa,nikiwa pale nikamuoga yule police anisaidie mdogo wangu ajafanya chochote kabisa, kabla hatujamaliza kuongea nikasikia sauti ya mme wangu, nilimuomba yule police kujificha alikuwa wa mkaka mdogo mdogo tu ila anautu mno, aisee alinificha mme wangu aliingia akaanza kumuhoji mdogowake, kwa nini alitaka kumfanyia ukatiri mwane,mdogo wangu alikana nakusema sio hivyo, mme wangu hakumuelewa akawa anamlalamikia kafanya mimi namchukia bule ilihali kosa ni la mdogo wangu...

" Shem hapa hutoki, na dada ako itabidi aelewe, kuliko kukuacha uje kuharibu maisha ya watoto ni bola uozee gerezani, namhurumia mke wangu sana lakini kwa hili atanisamee, na ipo siku atazoea na kusamee, mdogo wangu alilia nakuomba hajafanya hivyo lakini Juma mme wangu hakumuelewa kabisa Akram mdogo wangu, niliumia mno, nilijuta kumjua Juma, alivyoondoka nikajitokeza, nikamuahidi mdogo wangu kwa gharama yoyote ile nitamtoa mdogo wangu, Akram aliomba nisifanye chochote, sina uwezo nitaishia kuingia kwenye matatizo yeye ni mwanaume atajua anatokaje, lakini sikumsikiliza kabisa...

Nilimuomba huyo polisi anisaidie, alisema yeye kwa nafasi yake ni ngumu sana kunisaidia ila nisijari, kuna IGP anaweza kunisaidia kama kweli mdogo wangu hajafanya hivyo, nisubili aniunganishe nae, kweli kaka wa watu akampigia simu, nikapewa kuongea nae, alipokea nikaanza kujieleza pale, upande ya IGP Akram, alikuwa kaganda nikama kuna namna alipata mshtuko wakati naongea badara ya kunisikiliza alianza kuwaza vitu vingine kabisa, mpaka namaliza akakubari bila kujua kakubari nini...

Nilishukuru nikampa yule kaka simu akaongea nae nakusema nimsubiri anakuja, nilimsubili upande wa pili,bi mdogo, alimpigia mme wake simu na kusema nimegoma kuenderea na matibabu, hosptal kisa pesa amepewa yeye, hivyo nimeondoka kwa hasira, mwanaume alichukia,akaomba ruhusa kazini, akaja nyumbani hakunikuta na hapendi nitoke ata kidogo,alimkuta tu Bi mdogo alimuhoji akasema hajui make yeye ndo alikuwa wa mwisho mimi niliondoka kwa hasira hajui niko wapi alijua nishafika nyumbani..

Juma alipanic sana, akatoka kuja hosptal kunitafuta, wakacheki cctv camera wakaona mimi sikuondoka ila alievyoondoka tu mwenye pesa akanitizama juu chini afu akaondoka, nikabaki peke yangu, nikalia kidogo ndo nikaondoka, akagundua Bi mdogo ndo hakutoa pesa ya matibabu, na kimbembe hakujua nimeenda wapi,hajui mtu wangu yoyote wa karibu, sina baba sina mama, ndugu pia wako mbari, sasa nitakuwa wapi, aliwaza sana, akahisi au nimezidiwa nikadondoka uko njiani akianza kuzunguka mahospital kunitafuta, lakini hakunipata, mpaka inafika saa 9 jioni sijapatikana, huku,huyo IGP, alikuja mida ya saa 8 mchana, lakini akawa bize, sikuondoka, yule police mdogo, Mungu amtunze aisee, aliniletea chakula mimi na mdogo wangu...

Tulikula mimi nikawa nimekaa nje, kusubili, mida ya saa kumi, Juma akaja tena police na chakula, akampa mdogo wangu, akaambiwa aonje kwanza yeye, alionja, ndio kikapelekwa kwa Akram, na Juma akaomba kuongea nae alitoa pesa wakamruhusu, aliingia nakuanza kumuuliza Akram, " Shem dada ako kaja leo hapa? Aliuliza kwa upole kama sio yeye aliemweka police, Akram alimtizama tu nakusema, " Bro kama umemfanya chochote dada angu nakuapia nisitoke utajuta, unakuja kumuulizia kwangu mtu unaemfungia ndani kwako kama mtumwa? Kijakazi wako, Shem huu sio muda wakuzozana dada ako haonekani nyimbani na sijui kaenda wapi, nisaidie kama kuna mahari unahisi atakuwa kaenda anaumwa, nilimpeleka hosptal ndio kapoterea uko...
Kupata mwendelezo bonyeza link hii hapo juu au chini ukasome yote hadi mwisho..


Itaendelea....πŸ’₯
BABY DADDY IGP POLISI NI πŸ”₯

MTUNZI; BABY SMILE

EP 4.
Akram alimwambia tu,Bro mimi ushemeji na wewe umeshakufa, uyo dada angu mimi kama chochote kitampata nakuhakikishia hii dunia utahama, na kingine mimi na wewe ni maadui ni vyema ukaacha kuja kuja hapa, nitawapigia simu nyumbani,watamtafuta wewe kaendelee na maisha yako, sisi ni yatima lakini tuna ndugu,andaa tu taraka hilo tu nakukumbusha, " Akram nakuheshimu sana bwana mdogo, huwezi kuniamru nimpe taraka mke wangu, unajua nilikotoka nae? Kama ningekuwa simuhitaji ningeshampa taraka, tambua yule ni mke wangu tena ninaempenda....

Akram alicheka kwa maumivu, ety? Mke wako unaempenda, mke wako unajua ata furaha yake kweli wewe, unajua anapitia maumivu kiasi gani Bro emu potea acha kujitoa ufaham, Juma aliondoka kwa hasira lakini alihisi lazima nimefika hosptal, Akram asingekuwa mtulivu ivyo kama hatujaonana lazima tumeonana, na huenda wananishauli mambo ya taraka, alianza kutafuta namna ya kunipata haraka kabla hajanipoteza mazima..

Mpaka inafika saa kumi na moja hajanipata, aliludi nyumbani akajiandae kwenda kijijini kwa mjomba wangu,alifika kwake mkewe anampokea kwa mahaba, ila ndo hajapika madai wakale hotelin, na hakuulizwa kwa nini hakunipa pesa ya matibabu, alitazamwa yu jicho kali akahisi kuna kitu, Juma alimuita mkewe amnyoshee nguo mbili kina sehemu anataka kwenda, mwanamke atakunyoosha nguo kumbe hajui, ni alishindwa, Juma alichoka mwanamke kaunguza nguo tatu, na anaweka mistali utazani nguo ya muimba kwanza, au mwalim wa mathe...

Ilibidi aingie mwenyewe kunyoosha akaondoka bila kuaga wala kuacha pesa amefika getin akaludi ndani akaomna zile pesa za matibabu,mke mda huo alikuwa tayari ameshazitumia apo hana ata sh 10, akaanza kujikanyaga kanyaga, akasema kashatumia, mtoto alipata tatizo kabla ata hajamaliza kuongea Juma akaondoka, alikuwa na mawazo changanya na hasira ni tafran..

Alifika safari kwenda kijijini kwamjomba, upande wangu nilifanikiwa kuonana na IGP,make wengine wote walitaka laki 5 ndio wamwachie, na mimi apo nilikiwa na pesa kidogo ile ile niliyopewa usiku sikuwa na akiba kwasababu kila kitu alikiwa nahemea Bi mdogo mimi sikiwa na pewa pesa wala kutoka, saa 12 jioni nikaingia sasa kuongea na huyo IGP, nikifika nikajieleza mwenyewe, apo alikuwa haongei wala kijibu chochote ananisikiliza tu...

Nikawa majieleza mpaka na maliza ninkimya, na mimi nikaamua kukaa kimya make nimeshajieleza, zilipita kama dk 5 baada ya kujieleza ndio yule IGP akaanza kuongea alikiwa anaongea vizuri jamani, nikabaki natizama kwenye shingo yake akiongea kuna namna inafanya na alikuwa mlefu haswa afu bonge la hb, anamwanya simple, tumacho kama anasinzia, ila nikajikumbusha niache bangi apa niko kwenye matatizo na awa viumbe ni hatari sina kizazi watanitesa nijute milele...

Nilibaki njia kuu, uku nawaza nitalala wapi, siwezi kuludi kwa Juma tena, nahitaji taraka yangu tu,ndoa imenishinda acha niishi tu mwenyewe, IGP aliniambia atanisaidia ila kwa sharti moja...
Bonyeza link hii hapa juu ukasome yote hadi mwisho kwa buku tu...


Itaendelea....πŸ’₯
BABY DADDY IGP POLISI NI πŸ”₯

MTUNZI; BABY SMILE

EP 5.
Nilikubari bila hata kujua shart lake, akasema hataki kuonekana mkatiri, sikujua alikuwa anawaza nini aliniuliza nihakikishe ninachokisema kama kweli sitovunja makubaliano yetu,nilimwambia niko tayari kwa lolote lile muhimu tu mdogo wangu atoke pale na kesi iishe kaonewa, yule IGP aliniambia tu, " sharti langu ni moja tu ukubari kuwa mpenzi wangu kwa muda, na leo hii twende kwa bibi yangu, ukajitamburishe kama mchumba wangu ila ulikuwa nje kimasomo, kwa sasa umerudi likizo,ukimaliza masomo yako tutaoana...

Sikupinga na hivi sina hata pa kilala wee, mdogo wangi alitolea muda huo huo kabla hatujaondoka, nikamuomba aondoke nilimpa ile pesa yote iliyobaki, akawa analeta ubishi nikamkazia, uzuri ananiheshimu mno, alisita sana lakini nilomuelewesha akakubari kwenda ila niwahi kumfuata nilikubari, nilimpa maelekezo akauze shamba letu moja, uko kijijini, ili tukaanzie maisha kwa mjomba na huu utu uzima sikuona kama ni sawa, hakuwa na simu sikuwa na simu, ila nilimpa no za huyo IGP na yule police ili akifanikiwa anitafute kwa hao watu, nilimdanganya nimebaki na balance, kumbe ata sh kumi sina, aliondoka usiku huo huo...

Mimi nilienda nikanunuliwa nguo zingine usiki huo huo kuna maduka yalikuwa bado hayajafugwa, nilipendeza jamani nikawa wakishua, nilipitishwa salon, nikaoga uko uko na kupigwa mecup, nyie nyie, nina sura nzuri mno, huwezi choka kunitizama nilinyiwa guu la bia tu na urefu ila shep, rangi nasura nilitunukiwa, IGP mwenyewe aliganga kwanza alivyoniona nikiwa tayari, alinishika kwa kitete mno, kuniingiza kwenye gari, alikuwa mkimya sana, njia nzima hakuna tulicho ongea...

Tulifika kwao aisee pazuri nilikaribiswa bibk alifurahi mno, na uzuri kabla wazazi wangu kufariki walinisomesha nje ya nchi, ni chuo tu ndo sikufanikiwa kutoboa kwa sababu ya ada walifariki nikiwa bado nafanya maandalizi ya chuo, nikaishia kuolewa 😭, bibi yake alinipokea vizuri mno, kwa bashasha, wadogo zake pia walikuja, walifurahi ety kumbe kweli tuna shem tulijua jogoo hapandi mtungi aisee, nilianza kuona aibu, bibi akapenda sana nizamu yangu, akaanza kunibariki, nyie wazee wanamambo jamani...

Chakula kililetwa tukaanza kula, shemeji zangu wa mchongo ni wanaongea hao jamani, daha niliipenda hii familia nikatamani na mimi ningekuwa na Bibi huenda nisingekuwa apa,tumemaliza kula bibi akaanza maswali, nilijibu yote kwa ufasaha kabisa, ila hakuniuliza mambo ya nje ya nchi ama nasoma aliuliza mambo binafsi tu ya kijana wake kama anaonesha nia na mambo mengine tu,kiboko ni hili swali la mwisho, aliuliza kama mjukuu wake anashida yoyote kitandani, nikachoka nikaanza kuona aibu uku najikaza kujibu, hana bibi aliinuka akapiga vigeregere kwa furaha na kusema alikuwa na mashaka sana, huenda kuna shida kwa mjukuu wake make sio kawaida...

Kimbembe tukaandaliwa chumba kimoja, IGP akaitwa na bibi yake, akaenda kwanza, " mjukuu wangu naomba usiniangushe kabisa, uyu binti hakikisha hatoki apa bila mimba, " bibi ivi unaelewa unachokifanya rakini? Kumbuka tamafuni zetu za kiafrica ni marufuku kulala chumba kimoja na binti ambae hujamuoa, " Akram usinitibue tamafuni ungekuwa unazijua na kuzifuata sasa hivi ningekuwa nacheza na vitoto uku ndani, lakini uko bze kunitia aibu tu sasa zembea uone nitakachokifanya...

Nakuhakikishia tu, nitakuozesha bila kujua kama utaendelea kunisumbua ,Bibi jamani mpe basi chumbani kingine yani chumbani kwangu kweri jamani,Akram usinichezee, nitaita shehe sasa hivi nikuozeshe ndoa ya mkeka, au huyu binti kakutetea tu huwezi mambo wewe ee?, "basi bibi yaishe naenda, aliondoka akaja anamawazo sio kidogo...

Nikamuuliza kuna tatizo? Akajibu we huoni tatizo? Nikashangaa tatizo lipi mbona unanitisha?alinitizama kama mtu anaenishangaa ivi, akasema "inamaana wewe unaona ni sawa kabisa kulala chumba kimoja na mwanaume tena ambae hamjuani?
Nilitabasamu tu nikasema, saiv ata siogopi kwa sababu nishajua huna madhara,na tuko kwenye game ingekuwa ni mwanaume kamili ata ningetafuta mbinu yakulala nje ya iki chumba nisingekosa lakini huwezi kunifanya chochote sioni kama kuna tatizo apo kuwa na amani, acha tulale ila tafuta tiba uwaondoe hofu familia yako..


Niliongea hivyo nikiamini kuwa IGP,hana uwezo wa kusimamisha kulingana na maelezo ya familia yake ajawahi kiwa na dem kabisa, na alivyokabwa akadai dem wake yuko nje ya nchi masomoni, sasa muda ukawa unaenda tu hawaoni, nimefika ndo wamepata amani, namimi nikajiongeza uyu jamaa ni suruali tu hana chochote ndio maana ata kanitumia mimi kutuliza dhiruba, nyie IGP alikasirika, akaniuliza unasemaje wewe? Kwa hio unaniona mimi kama mwanamke mwenzio si ndio?...

Nikashangaa uyu mbona anapanic akati nimemwambia tu vizuri, nilimsogerea ili nimueleweshe, sikia kaka angu sijakwambia kwa ubaya, ila nimekwambia kwa wema tu, tatizo lako linaweza tibika usione aibu wewe ni binadam mbona ni kawaida tu jamani, nikashangaa nasogelewa kwa hasira afu akasema, " sasa leo nitakufundisha ili siku nyingine usikurupuke kurupuke kuropoka vitu ambavyo huvijui, alianza kunivua nguo nikamwambia we vipi, umechanganyikiwa?...

Sikuwa nauoga sana nilijua tu, hana anachokiweza anataka tu kuainika, nikawa namzuia na kumuelewesha, akaona namsumbua akanifunga pingu mikono na miguu, akanibeba mpaka kitandani nakuanza kunivua nguo uku ameniziba na mdomo..
Kupata mwendelezo bonyeza link hii hapa juu au chini ukasome yote hadi mwisho kwa buku tu..


Itaendelea....πŸ”₯


Soma Kitabu

SOMA MAELEKEZO

Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote