INLOVE WITH BABYDADY CEO 01
MTUNZI; HUSQER BALTAZAR
Usiku wangu umekuwa mgumu sana siku ya leo kwa sababu najua pindi kutakapo pambazuka, Mimi pamoja na wenzangu 20 tutanyongwa.
Natamani kumueleza Hakimu kwa mara nyingine tena kuwa yale madawa ya kulevya yaliyokutwa kwenye begi langu si mali yangu lakini hii nafasi sikuipata.
Namhurumia Bibi yangu kwa sababu najua nitakapo kufa Mimi hakuna mtu atakaye muangalia.
Siogopi kufa, naogopa kumuacha Bibi yangu.
Nikiwa nimejiinamia mlango ulifunguliwa, nilitolewa na Afande bila kuambiwa kitu chochote.
Niliingizwa katika chumba kidogo kilichokuwa na mwanga hafifu, nilijikuta ni kitetemeka baada ya kuviona vitanzi vinavyo ondoa maisha ya watu
"Kaa hapo kwenye kiti, kuna mtu anahitaji kuzungumza na wewe" Afande aliongea huku akihakikisha pingu zimekaa vizuri mikononi mwangu.
Nilikaa huku hofu yangu ikiwa juu sana, mlango ulifunguliwa akaingia Mwanamke mmoja aliyevalia nikabu. Ni wazi kabisa hakutaka kuonekana
"Masha'Allah...." Mwanamke mwenye lafudhi ya Kiarabu aliongea baada ya kuniona
Sikuelewa ana maanisha nini lakini taa nyingine iliwashwa, chumba kilikuwa na mwanga wa kutosha na si hafifu kama mwanzo.
Alinisogelea kwa ukaribu akaanza kuikagua sura yangu.
"Afande, naomba utupishe kidogo nahitaji kuzungumza naye" Mwanamke huyu aliongea kisha akarudi kukaa kwenye kiti.
Safari hii alitoa nikabu yake, alikuwa ni Mwanamke mrembo sana mwenye asili ya Kishomari
"Naelewa wewe ni miongoni mwa watu watakaonyongwa siku ya kesho, huenda ukawa huogopi kifo lakini vipi kuhusu Bibi yako?.... anahitaji kupata mtu wa kumuangalia, kama utamuacha pekee yake atateseka sana. Kama utatimiza ombi langu hautakufa siku ya kesho" Mwanamke huyu aliongea
"Nipo tayari kufanya chochote, nahitaji kuishi kwa ajili ya Bibi yangu" Niliongea, sikutaka kujua yeye ni nani hasa mpaka awe na uhakika wa kunitoa
"Daktari alinieleza siwezi kushika ujauzito maisha yangu yote. Nahitaji kuitwa Mama kwa njia yoyote, Mimi na Mume wangu tumekubaliana tuingie mkataba wa kuzaa na binti yoyote yule, kama upo tayari kutembea na Mume wangu ili tu utuzalie Mtoto tutakulipa pesa nyingi na kesho hautanyongwa" Mwanamke huyu aliongea
"Nipo tayari, hata kama sitalipwa nitafanya hivyo!....nahitaji kuishi" Niliongea huku machozi yakinilenga, sikuamini kama naweza kumuona Bibi yangu tena
"Vizuri sana...." Mwanamke huyu aliongea kisha akavaa nikabu yake,
Afande alikuja baada ya kuitwa
"Naondoka na huyu mrembo, usiwe na hofu...nisingeweza kufika bila kuwasiliana na Mhe. Hakimu. Najua unapenda sana pesa, utalipwa....mfungulie pingu" Mwanamke huyu aliongea
Nilifunguliwa pingu, niliongozana naye mpaka kwenye gari.
Safari ya kwenda nyumbani kwake ilianza
Nilijikuta ni kikodoa macho baada ya kuuona mjengo wake, ilikuwa ni nyumba nzuri na kubwa sana.
Wafanyakazi watatu wa kike waliitwa, waliamrishwa kunivulisha nguo, mwanzo nilitaka kukataa lakini Mwanamke huyu alinikumbusha kuhusu mazungumzo yetu.
Alianza kunikagua kuanzia nyonyo zangu, muonekano wa K pamoja na mwili wote kwa ujumla.
"Mpelekeni bafuni, hakikisheni anatakata...." Aliendelea kutoa amri
Niliogeshwa kila sehemu, baada ya hapo nilipelekwa chumbani ni kavalishwa mavazi mepesi sana yaliyoonesha maungo yangu.
Mkataba uliletwa ni kausoma wote vizuri, baada ya kuridhia nilitia saini.
"Naomba unisikilize kwa umakini, Mume wangu yupo anajiandaa kuja kulala na wewe. Hauruhusiwi kumshika mwili wake atakapokuwa ana kuzagamua, unatakiwa ulale kwa kunyooka kama mfu, hutakiwi kutoa miguno yoyote ile bila kujali unasikia raha gani. Kwa kuwa mkataba wetu ni kwa ajili ya Mtoto nitakaa nje ya mlango kuhakikisha unafuata sheria nilizokutajia, litakuwa ni zoezi endelevu mpaka pale utakaposhika ujauzito" Mwanamke huyu aliongea katika hali ya utulivu
Nilitikisa kichwa kuashiria nimeelewa,
Kitasa cha mlango kilinyongwa, nilielekeza macho yangu mlangoni nimuone Mtu anayeingia.
Moyo wangu ulilipuka baada ya kukutana macho na Mwanaume mzuri sana sijapata kuona.
"Karibu Mume wangu...." Mwanamke mwenye lafudhi ya Kiarabu aliongea kisha akatoka nje
Tulibakia wawili tu, sauti ya Mwanamke mwenye lafudhi ya Kiarabu ilituamuru tuanze kutafuta Mtoto.
Mwanaume huyu alipiga hatua akaanza kunisogelea
Itaendelea π₯
IN LOVE WITH MY BABYDADY CEO 02
MTUNZI; HUSQER BALTAZAR
Nilijikuta ni kishikwa na uoga, katika maisha yangu yote sijawahi kusex na mtu bila kuwa na uhusiano.
Leo itakuwa ni siku yangu wa kwanza kutembea na mtu nisiyekuwa na hisia naye.
Alininyanyua mahali nilipokuwa nimekaa akiwa kanikazia macho, alianza kunishika sehemu mbalimbali. Sikuwa na ruhusiwa kufanya chochote zaidi ya kuwa kama mfu.
Kila kitu aliendesha yeye, japo sikuwa na hisia naye lakini nilihisi raha kwa namna alivyokuwa ananishika.
Alitanua miguu yangu kazi ikaanza, sikuwa ni kiruhusiwa kutoa miguno wala kumshika.
Nlikaa kama gogo mpaka alipofika kileleni.
Tuliendelea kugandana, baada ya Kama dakika tano hivi kupita tulirudia raundi ya pili.
Safari hii nilihisi raha, alipoona nataka kupiga kelele aliniziba mdomo wangu.
Nilijikuta ni kifika kileleni bila kutoa sauti ya aina yoyote ile.
Baada ya kumaliza kazi yetu aliondoka,
"Naitwa Ashura....unaweza kwenda kuoga, ni rukusa kupumzika hapa na kutakapo pambazuka unaweza kwenda kwa Bibi yako kumsalimia. Ila Usiku utakapoingia hakikisha umerudi hapa....kumbuka hii ni siri hutakiwa kuzungumza chochote huko nje" Ashura aliongea kisha akaondoka
Niliingia bafuni ni kaoga, baada ya kumaliza nilijitupa kitandani. Nilikuwa nimechoka sana, machozi yalinitiririka kila nilipo wakumbuka wenzangu watakaonyongwa kesho baada ya kupatikana wakisafirisha madawa ya kulevya.
Moyo wangu uliniuma sana, niliamini miongoni mwao kutakuwa na watu wema, sikumbuki hata nilala saa ngapi. Nilikuja kushtuka kukiwa kumepambazuka..... nyumba yote ilikuwa kimya kana kwamba haina mtu.
Nilivaa nguo zilizokuwa kabatini, nilihitaji kuonana na Bibi yangu.
Wakati natoka nje nilikutana na Ashura pamoja na Mumewe., walikuwa wanafanya mazoezi.
Wawili hawa walionekana kupendana sana, hakika wamejaliwa sura nzuri, kama wange bahatika kupata Mtoto basi angekuwa mzuri kuliko hata wao.
Ashura alinipatia pesa, zilikuwa ni pesa nyingi alidai ni kwa ajili ya nauli
Nilimshukuru kisha ni kaondoka, nilipanda bajaji ni kaelekea nyumbani kwa Bibi yangu.
Machozi ya furaha yalinitoka, Bibi yangu alikuwa katika hali nzuri
"Niliamini utaishi, mjukuu wangu si mkorofi....na ndio sababu sikutoa chozi hata kidogo" Bibi aliongea
Nilimkumbatia kwa nguvu...
"Hakimu kaniachia huru baada ya kubaini Mimi sina hatia" Niliongea, sikuwa tayari kumuambia Bibi yangu kuhusu mkataba nilioingia na Wanandoa.
Bibi yangu alimkamata jogoo wake anayempenda kuliko wote akanichinjia.
Sikuweza kujivunga, nilikula nyama mpaka niliporidhika.
Niliwasha simu yangu ni kaingia mtandaoni, mara nyingi huwa napenda kufuatilia matangazo ya kazi.
Nilijikuta ni kitulia baada ya kukutana na tangazo la kazi kutoka Kampuni ya Coca-Cola.
Nilikuwa na uwezo wa kufanya kazi za usafi, sikutaka hii nafasi inipite. Nilituma maombi chapu.... nilihitaji kufanya kazi hata kama nipo kwenye mkataba wa kuzaa.
Kila ilipowadia jioni nilikuwa naenda nyumbani kwa wanandoa wawili kutimiza jukumu langu la kufanya mapenzi na Mume wa Ashura.
Asubuhi moja nikiwa naosha vyombo, nilipigiwa simu kutoka Kampuni ya Coca-Cola kuwa nimechagulia kufanya kazi hapo.
Nilipiga kelele za furaha, nilimueleza Bibi yangu sababu inayonifanya nipige kelele. Alifurahi kuliko hata Mimi.
Siku iliyofuatia niliripoti kazini, nilitarajia nitakuwa na fanya usafi wa nje ila kutokana na uzoefu wangu nilipangiwa kusafisha ofisi ya CEO
"Sina haja ya kukuelekeza kila kitu, uzoefu wako wa hizi kazi unanizuia kukuelekeza" Secretary aliongea
Nilitabasamu kutokana na namna alivyo ni kubali.
Niliingia ofisini baada ya kupatiwa funguo, nilianza kufanya usafi kila sehemu.
Inaonekana CEO ni mtu msafi sana kwa sababu sikutumia muda mrefu kuweka mazingira sawa.
Wakati napulizia airfresh mlango ulifunguliwa, nilishtuka sana kumuona Mume wa Ashura eti ndio CEO wa Kampuni hili.
Yeye pia alishtuka kimtindo lakini kutokana na sare nilizokuwa nimevaa hakuwa na maswali mengi.
Tulisalimiana kisha akakaa kwenye kiti chake.
"Nisaidie kuchoma moto hizi files zote hazina kazi tena" Aliongea
Nilibeba files zote, zilikuwa tano tu...wakati nataka kufungua mlango alinisubirisha. Alisogea mpaka nilipokuwa...alizichukua files zote akaanza kuzikagua.
"Unaweza kuzichukua sasa, hiki kipande cha karatasi kama kingeteketea ningepata wakati mgumu" Aliongea
Niliachia tabasamu , nilitaka kufungua mlango lakini alinisubirisha tena.
"Ofisi yangu huwa inasafishwa mara mbili, baada ya masaa ya kazi kuisha hakikisha unakuja kusafisha, jina langu naitwa Fredrick sina uhakika kama ulikuwa unalijua" Aliongea
Nilitikisa kichwa kisha ni kaondoka, baada ya masaa ya kazi kuisha niliondoka. Wakati nakaribia kufika nyumbani ndipo nilikumbuka kuwa natakiwa kusafisha ofisi kwa mara ya pili.
Nilichukua bajaji ni karudi ofisini haraka, nilitaka kupanda lifti lakini niliona ni kama inanichelewesha. Nilitumia miguu yangu kupanda kazi.
Ile nafika nilimkuta CEO Fredrick akimalizia kudeki... nilimuomba msamaha kwa sababu nilisahau.
"Ni kitu gani kina kuharakisha sana hadi una sahau!" Fredrick aliongea huku akinitazama kwa macho fulani hivi yaliyonifanya nisikie aibu.
"Mke wangu kapata dharula kidogo hivyo hatutakutana kimwili mpaka atakaporejea..." Fredrick aliongea
"Aah sawa..." Niliongea, ndani ya moyo wangu nilifurahi kupumzika
Nilishangaa Fredrick kanifikia, sijui alipiga hatua saa ngapi
"Naomba uje nyumbani kwangu hata kama Ashura hayupo" Aliongea
Moyo wangu ulishtuka, nilitaka kukubali lakini kuna sauti iliniambia huu ni mtego. Kama nitaenda nyumbani kwake bila uwepo wa Mkewe nitakuwa nimekiuka sheria za mkataba wetu.
"Siwezi kuja nyumbani kwako bila uwepo wa Ashura...." Niliongea
Fredrick alinyoosha mkono wake akashika lips zangu
"Kwani wewe na asali mna undugu?" Aliniuliza
Nilibakia kukodoa macho nisijue ni jibu gani napaswa kutoa
Itaendelea π₯
IN LOVE WITH MY BABY DADY CEO 03
MTUNZI;HUSQER BALTAZAR
"Kwa...kwa..kwanini unauliza hivyo?" Niliongea baada ya kuona swali lake lina utata
"Ni kweli hujui au ni makusudi unafanya!.... ingawa huwa unalala kama gogo lakini huwa nasikia utamu kupita kiasi, huwa najizuia kupiga kelele kwa sababu nikifanya hivyo mke wangu atachukizwa" CEO Fredrick aliongea
Maneno yake yalikuwa na ukakasi, nilimtoa mkono wake kwenye lips zangu.
"Unaweza kwenda nitamalizia usafi sehemu iliyobakia" Niliongea
"Ofisi hii ni yangu, kwanini unanifukuza!" Aliongea
"Sa... samahani, oh simu yako inaita" Niliongea
Nilishusha pumzi baada ya Fredrick kuanza kuongea na simu. Nilimalizia usafi mahali palipokuwa pamesalia.
Baada ya kumaliza nilipeleka vifaa vya usafi stoo. Isingekuwa rahisi kuondoka bila kumuaga nilirudi ofisini.
"CEO naondoka...." Niliongea
Aliniangalia kwa sekunde kadhaa ndipo akaniruhusu.
Nilitafakari njia nzima kwanini ananikodolea macho namna hii, Mimi ni Binti wa kawaida tu ukilinganisha na Ashura (Mkewe).
Nilipofika nyumbani nilifanya usafi, mara nyingi napokuwa nafanya kazi simu huwa naiacha chumbani.
Hata kama nitasikia inaiita huwa sijishughulishi kuifatilia.
"Manuu, simu yako imekuwa kero...hebu naomba upokee" Bibi aliniletea simu
Nilishangaa baada ya kuona Ashura ndio ananipigia
"Hello...." Niliongea
"Kwanini hupokei simu kwa wakati!"
"Nisamehe nilikuwa bafuni kuoga"
"Leo ni siku yako ya 13 tangu umalize period, ni siku nzuri sana huenda tukapata majibu kwa haraka. Ingawa sipo lakini naomba uende nyumbani, nimempatia maagizo Mfanyakazi wangu atasimamia kila kitu" Ashura aliongea
"Sawa...." Niliongea
Baada ya simu kukatwa, nilifanya usafi haraka haraka ni kaelekea nyumbani kwa CEO Fredrick.
Nilimkuta akiwa mezani ana kula, Dada wa kazi aliniletea chakula pia.
Nilipomaliza kula walinipeleka bafuni, waliniogesha vizuri kila sehemu.
Nilipatiwa mavazi mepesi sana yanayoonesha maungo yangu.
Mfanyakazi anayeaminika na Dada Ashura alitupatia amri tuanze kutafuta Mtoto.
Alinikumbusha kulala kama mfu, sikutakiwa kumshika uso wala sehemu yoyote ile kwa sababu hakuwa Mume wangu.
Siku ya leo niliusikilizia uume wa Fredrick mpaka kwenye kisigino. Pengine ni kwa sababu nilikuwa kwenye siku ya hatari.
Niliwahi kumwaga kojo kuliko hata yeye.
Tuliendelea kugandana, baada ya dakika 10 kupita Mfanyakazi anayeaminika na Dada Ashura alituamuru turudie gemu tena.
Hatimaye tulimaliza, Fredrick alibakia kunitazama machoni. Nilimtazama pia bila kuongea chochote
"Dada Ashura kaniambia Manuu yupo kwenye siku nzuri sana. Hivyo saa kumi na moja asubuhi juu ya alama nitawaamsha tena mrudie gemu..... itakuwa ni siku ya 14 " Mfanyakazi anayeaminika na Dada Ashura aliongea
CEO Fredrick alienda kulala chumbani kwake, niliingia bafuni kuoga. Baada ya kumaliza nililetewa supu, ilikuwa na pilipili kali sana.
Nilihimizwa kunywa yote kwa afya ya uke wangu.
Nilipomaliza kula taa ilizimwa ni kalala, sijui masaa yana miguu au nini.... nilishtukia mlango wangu umefunguliwa kwa sababu ulikuwa umefungwa kwa nje.
Amri ilitolewa tuanze kutafuta Mtoto, nilijikuta ni kitamani kukata hata kiuno cha wizi wizi lakini nilihisi pengine kuna camera humu ndani.
Nilijizuia sana, asikuambie mtu cha asubuhi kinakuwa na raha yake.
Baada ya kumaliza raundi ya kwanza tuligandiana, zilipopita dakika 10 tulirudia.
Gemu lilipomalizika, Fredrick aliondoka....nilijiegesha kidogo tu kukawa kumekucha.
Nilijiandaa ni kaelekea kazini, japo ofisi ilikuwa safi lakini nilitakiwa kurudia tena.
Sijui ni kitu gani kilinipata lakini nilijikuta ni kikumbuka namna nilivyokuwa na shughulikiwa siku ya jana.
Nilijikuta nimefumba macho kabisa ni kaanza kukumbuka hatua zote,
"Morning...." Sauti ya CEO Fredrick ilinishtua
"Morning Boss..." Niliongea kisha nikaendelea na usafi. Nilimuomba msamaha kwa kuchelewa
"Hakikisha unapita Saluni muda wa kazi utakapoisha hii ni wiki ya pili sasa upo na hizo nywele..." Fredrick aliongea
"Sina pesa ya kwenda Saluni kila baada ya wiki mbili na hata ingekuepo nisingefanya huo mchezo" Niliongea
"Nitakutumia pesa huna haja ya kulalamika Mwanamke wewe!" Fredrick aliongea
Nisingeweza kuukataa huu mseleleko, niliendelea kufanya usafi nikijua baada ya masaa ya kazi nitaenda Saluni.
Wiki mbili zilikatika bila Ashura kurejea, nikiwa naandaa chakula nyumbani... nilijikuta ni kihisi kichefu chefu. Pamoja na kurudia kupiga mswaki tena na tena lakini hali ilikuwa ni ile ile
Simu yangu iliita, nilipokea haraka baada ya kujua Mpigaji ni Ashura
"Nina amini utakuwa mjamzito, naomba uende nyumbani Mume wangu ameleta Daktari unatakiwa kufanya vipimo....kesho nitarejea" Ashura aliongea kisha akakata simu.
Alionekana kuwa makini na mzunguko wangu kuliko hata Mimi, niliachana na kupika ni kaelekea nyumbani kwa Fredrick.
Inaonekana nilikuwa nimesubiriwa Mimi tu, Daktari alinifanyia viplmo.
Dakika 10 hazikupita, nililishuhudia tabasamu usoni mwa Daktari
Itaendelea π₯
INLOVE WITH MY BABYDADY CEO 04
MTUNZI;HUSQER BALTAZAR
"Hatimaye kashika ujauzito...." Daktari aliongea
Fredrick alionekana kufurahi, niliachia tabasamu pia kwa sababu sitakutana kimwili tena na Mwanaume huyu.
Baada ya Ashura kupatiwa taarifa alisisitiza nisiondoke mpaka atakaporejea.
Nilienda kupumzika chumbani kwangu, naelewa Bibi yangu atachanganyikiwa pindi atakapo gundua Mimi ni mjamzito.
Itanilazimu kuzungumza ukweli na si kuficha.
"Ahsante sana kwa kushika ujauzito wangu" Ujumbe Kutoka kwa Fredrick uliingia kwenye simu yangu
Sikuona sababu ya kumjibu, kama nitafanya hivi basi Mwanaume huyu atazoea vibaya kwa sababu tayari kashaanza kujisahau kama ni Mume wa mtu.
Mlango wangu uligongwa, nilisimama ni kaenda kufungua.
Nilishangaa baada ya kumuona Fredrick, sikuelewa ni kitu gani anataka kuongea na Mimi.
Huyu Mwanaume sijui ana Wazimu, alinikumbatia bila ruhusa yangu
Alitaka kulamba lips zangu lakini nilimkataa kiaina kwa kuzuga nataka kutapika.
Nilitarajia ataondoka lakini aliendelea kunisubiria.
"Kwanini unavunja sheria za mkataba?.... naomba uondoke. Tayari Mimi ni mjamzito, jukumu lako ni kukaa kusubiria mtoto" Niliongea
Fredrick hajujibu chochote, badala yake aliniwekea vizuri mashuka ya kitandani kisha akaondoka
Sijui hata nililala saa ngapi, nilikuja kushtuka sababu ya ujio wa Ashura.
Alinikumbatia kwa hisia sana... anaonekana kuwa na machozi mengi. Nilishangaa tu akilia
"Hatimaye nitaitwa Mama pia....huna haja ya kwenda kazini kutafuta pesa, kila siku nitakuwa nakulipa pesa" Ashura aliongea
"Natamani nifanye kazi, sijazoea kukaa tu" Niliongea
"Manuu usisahau kama mtoto wa tumboni ni wa kwangu na Fredrick. Nitakuruhusu ufanye kazi kwa miezi sita tu baada ya hapo nitafurahi kama utakaa" Ashura alisisitiza
Niliachia tabasamu kumaanisha nimemuelewa
Mambo yalibadilika, kabla sijaoga maji yalikuwa yana chunguzwa, kabla ya kula chakula kilipimwa. Kwa kifupi nilikuwa kama Mfalme kwenye hii nyumba.
Niliamua kumueleza ukweli Bibi yangu kuhusu hali halisi
"Nitajifanya sijui kama una mimba, ulitegemea nitalia? wala siwezi kulia" Bibi alijitia shujaa huku machozi yakimporomoka
Nimetoka mbali sana na Bibi yangu, nilimkumbatia huku ni kimuahidi kila kitu kitakuwa sawa. Nilihitaji kusema hivi ingawa sikuwa na uhakika, siku zote yajayo huwa ni fumbo.
Nilipokuwa kazini, muda wote Fredrick alifatilia sana kuhusu Mimi.
Kuna namna watu walianza kuhisi huenda tuna mahusiano.
Sikufurahishwa na uvumi huu, nilifahamu fika endapo Ashura atasikia basi italeta shida.
Niliamua kuacha kazi kabla hata ya miezi 6 kufika.
Ashura alifurahishwa na maamuzi yangu.
Jioni moja tukiwa tunapata chakula mezani, nilishtukia mguu wa Fredrick ukitekenya mguu wangu.
Nilitaka kuongea lakini nilimheshimu Ashura.
Nilivumilia mtekenyo wake mpaka nilipomaliza kula
"Baby hali ya leo huko nje ni nzuri, naomba ukakae na Manuu bustanini. Nitakusaidia kazi yako uliyopanga kufanya usiku" Ashura alishauri
Tulienda kukaa bustanini, sikuwa na hadithi za kuongea na Mwanaume huyu.
Ghafla tu alilaza kichwa chake kwenye tumbo langu, Nilitaka kusimama lakini alinizuia akidai ana wasiliana na mtoto wake.
Alianza kulibusu tumbo langu, sikuwa na uvumilivu katika hili nilimuweka kibao cha mgongoni.
Huyu Mwanaume sijui yukoje, aliachana na tumbo akahamia kwenye mdomo wangu.
Mwanzo nilifurukuta kwa sababu sikuwa nataka, lakini kadiri alivyoongeza juhudi nilitulia.
Nilifurahia namna alivyokuwa ananibusu, kuna muda alipozi kwa kunitazama machoni kisha akaendelea. Mwili wangu wote ulikuwa na ganzi.
Nilianza kumbusu pia, kwa kifupi tulikuwa tunapeana ushirikiano.
"Hata ice cream haiwezi kufikia ladha ya mate yako..." Fredrick alimwaga sifa
Nilimuangalia machoni kwa sekunde kadhaa bila kummaliza, nilimbusu kwa utaalamu wangu wote
"Manuu..." Sauti ya Ashura ilinishtua.
Nilitamani ardhi ipasuke, macho yangu na yake yalikutana.
Itaendelea π₯
INLOVE WITH MY BABYDADY CEO 05
MTUNZI;HUSQER BALTAZAR
"Nenda kalale mtoto atakuwa amechoka kukaa, na hata hivyo baridi imepamba moto" Ashura aliongea
Niliondoka nikiwa mwenye hofu kubwa sana, sikujua Fredrick atalimalizaje hilo swala ila nilitamani nijifungie sasa hivi nimalize nao.
"Upo sawa?" Ujumbe kutoka kwa Fredrick uliingia kwenye simu yangu.
Sikuwa tayari kupatwa na presha ya moyo nilizima simu kabisa. Anawezaje kuuliza kama nipo sawa wakati anajua tumefumaniwa!
Mlango wangu uligongwa, nilisimama ni kaenda kufungua.
Ashura aliingia akiwa kashika maziwa.
Nilimpokea huku nikitetemeka kiasi cha maziwa kidogo kumwagika.
Aliniamrisha kunywa maziwa na si kutetemeka
Nikiwa na kunywa, alinikumbusha kuhusu sheria za mkataba wetu
"Mwanaume ni kiumbe dhaifu sana tofauti na Mwanamke hivyo jitahidi kuwa na nidhamu, imesalia miezi mitano tu tukamilishe mkataba wetu," Aliongea
Nilikuwa mdogo kama punje ya mchele
"Kila utakapokuwa unahisi kuingia majaribuni naomba umkumbuke mtui aliyeokoa shingo yako isilambwe na kitanzi" Ashura aliongea
Niliendelea kukaa kimya kama mfu hivi,
"Siku ya leo nitalala hapa, nahitaji Mtoto wangu ajue kuwa Mama yake halisi nipo pamoja naye" Ashura aliongea
Sikuwa na neno la kuzungumza, Mimi na yeye tulilala katika kitanda kimoja.
Kila niliposhtuka nilikutana na macho yake nilijikuta nikipata uoga wa ndani kwa ndani
"Naamini unampenda Bibi yako kuliko hata mkataba wa kuzaa, tafadhali usipime uvumilivu wangu" Ashura aliongea
Safari hii nilimuomba msamaha, nilijaribu kuvaa viatu vyake nikaona nimemkosea kabisa.
Ashura aliachia tabasamu kisha akanitaka nilale.
Kulivyo pambazuka asubuhi aliniamsha
"Hata kama u mjamzito usipende kulala muda mrefu, kuna hatari ya kuzaa mtoto mvivu. Sitaki mtoto wangu awe hivyo" Ashura aliongea huku akilishika shika tumbo, hakukaa sana aliondoka.
Nilihitaji kufanya mazoezi hata ya kuzungukia uwanja wa hapa.
Wakati nashuka ngazi nilikutana uso kwa uso na Fredrick. Ni wazi kabisa alikuwa anaenda kazini.
Aliniangalia kwa sekunde kadhaa, mapigo ya moyo wangu yalibadilika.
Vitisho alivyonipatia Ashura nilikuwa bado na vikumbuka. Nilizuga nimesikia kitu chumbani kwangu, nilitega mgongo niondoke lakini Fredrick alinisubirisha.
Alinisogelea kisha akalibusu tumbo langu, alidai anamsalimia mtoto wake.
Nilipoona amemaliza nilitaka kuendelea na safari yangu.
Mwanaume huyu sijui ana kichaa jamani, alinibusu kwenye paji la uso
"Nimekumiss....napata wakati mgumu sana kila nikilikumbuka tunda lako"'Fredrick aliongea kwa sauti ya chini akiwa kanishika mkono.
Nilimtoa mkono wake kisha ni karudi chumbani.
Maneno yake yalijirudia kichwani mwangu eti kanimiss.
Nilisimama dirishani nikawa namchungulia, ndiyo ni Mwanaume mzuri lakini ni Mume wa mtu sipaswi kumzoea hata kidogo.
Kabla hajaingia kwenye gari alinyanyua shingo yake akalitazama dirisha la chumbani kwangu. Sikutaka nionekane nilitoka dirishani haraka.
Nguvu ya kufanya mazoezi iliisha badala yake nilienda nyumbani kumsalimia Bibi.
Kama kawaida yake alichinja jogoo wake mwingine.
"Nina uhakika umetembea na huyo Mwanaume zaidi ya mara kumi.....na kama lengo lilikuwa ni kutafuta Mtoto nina basi alikuwa anakutendea haki, naamini unammiss kupita kiasi..." Bibi aliongea
"Bibi, ni maneno gani hayo unaongea, naheshimu sana sheria zote za mkataba wa kuzaa, siwezi kupendana na huyo Mwanaume na wala siwezi kupoteza hata dakika moja kumfikiria" Niliongea
Nilipoona Bibi anataka kuongeza neno lingine niliondoka, sikuwa tayari kuchanganyikiwa.
Nilikuwa na pesa kidogo hivyo niliingia Supermarket ni kaanza kununua vitu nilivyokuwa nafurahia kula.
Ile nataka kulipia nilishangaa Fredrick ananilipia, sijui hata alifikaje hapa.
Alibeba vitu vyote akaingiza kwenye gari lake, nilitaka kugoma kuingia lakini alinisihi.
Muda wote alikuwa ananitazama badala ya kuwekeza akili yake kuendesha gari. Sijui nini kilimsibu alifunga breki ya gari.
Nilishtukia tu akinibadilishia mate yake nilipambana kujitoa lakini ushawishi wake ulinizidia nguvu.
Sijui ilikuaje nilishtukia tu tumefika kwenye hotel moja hivi iliyokuwa pembeni kidogo.
Moyo wangu ulinishuhudia kuwa hata Mimi pia nilimmiss....tulijikuta tukifanya mapenzi. Sikujizuia kutoa sauti, yeye pia hakujizuia kwa sababu hakukuwa na mtu anayetusimamia. Nilimshika kila sehemu niliyoona atafurahia
Baada ya kumaliza tulioga kisha tukakaa kitandani.
"Laiti ningejua moyo wangu utaishia kuteseka namna hii nisingekubaliana na wazo la mke wangu" Fredrick aliongea
Kabla sijamjibu chochote mlango uligongwa.
"Nimewaletea vinywaji,..." Sauti ya Mhudumu ilisikika
Nilijifunga taulo kisha ni kaenda kupokea.
Moyo wangu ulishtuka baada ya kukutana macho na Ashura akiwa na Mhudumu.
"Pokea hivyo vinywaji...." Ashura alitoa amri akiwa kakunja sura yake
SOMA MAELEKEZO
Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote