DOCTOR EVANCE (Ndani Ya Penzi Tamu)

book cover og

Utangulizi

NILIVYOLALA NA DAKTARI WODINI..
Ila maisha haya yanachekesha sana muda mwingine, sikuwah kufikiria kama kuna siku moja naweza kufanya huu uchafu nilioufanya, ila mungu anisamehe tu jaman..
Ilikuwa hivi siku moja nilienda hospital kupima, nikakutana na daktar wa field akanipa dawa kinyume na maelekezo yaan nusu ziniue zile dawa, ila hospital aliokuwa abafanyia kazi ikataka aniombee msamaha na agharamikie usalama wangu .
Kweli aliniomba msamaha, na miaka ikaenda sikuwah kumuona, siku moja nilishikwa na vidonda vya tumbo, nina shoga yangu akanichukua na kunambia kuna daktari bingwa hospitalini kwao anaweza kunitubu, nafika kwa huyo daktar bingwa nakuta ndio yule ambae alinipa dawa nusu ziniue, nikakataa kutibiwa nae, ila hali yangu ilikuwa mbaya mpaka nikajikuta sina chaguo..

Sasa bana wakati anajiandaa kunitibu si mdomo ukanipinza bana, nikajikuta nasema "najua una wasiwasi sana wa kunitibu na wanaume waoga wanakuwaga na vibamia, sijui yule dokta alikuja kunichoma sindano ya nn nikajikuta bataman shoo, yaan kiulain akanila kisha akanambia " naona umeona kibamia changu sasa kama hakijakuridhisha nambie nirudie, hapo kanipa dozi ya masaa kadhaa yaan mpaka nikatubu....
Unajua nini kilitokea baada ya hapo, usikose simulizi hii ya kusisimua ya dokta evance kwenye link hapo chini

DOCTOR EVENCE
( Ndani ya penzi tamu )

HUSQER BALTAZAR.

EP 1.

jamani hivi vidonda vya tumbo, Leo vitanisamee kabisaaaa, nimevilea na kuvikubali, Sasa Leo siwezi acha hiki kiepe ataa, tena naitia na pilipili nisikilizie vizuli, " evodia! Evodia! Naona Leo hutaki kulala Wala amani na mwili wako, usilie hizo chachangu na hio chips, vidonda vyako vikitibuka rafiki yangu, jua kabisa sitokuepo, Leo Nina shift ya usiku, na huyo MD ni mkali Hana utani na kazi, hata simu zako sitoweza kupokea" lafiki yangu husqer aliniambia..

Lakini Kwa harufu nzuli ya zile chips, sikumuelewa hata kidogo, niliziagiza nikala, ilikuwa ni saa 12 jioni, tukacha yeye akaenda kazini Mimi nikaludi kulala, wakati Husqer anaondoka akanisisitiza dear naomba Leo pitia dawa za madonda ya tumbo umeze kabisa Kwa tahadhali, usipiuze, nilijibu tu sawa kipenzi, lakini sikutekeleza, make ness Husqer jamani umu ndani, ata ukijitikisa kitofauti ujue tu atakupa dawa, Yani kitu kidogo tu utasikia afya ni mali, nishamuzoea vingine napuuza...

Nilipilitiliza kulala, nyie nyie mwenzenu nilijuta, tena sio kidogo, Yaani tumbo lilinikaza,gesi nililamba asari lakini wapi,nilikuwa nashindwa hata kusimama vizuli, Hali ulizidi kuwa mbaya,ilipiga nimpigie toyo aniletee dawa lakini hakushika simu, nikampigia Husqer nae hakupokea..

Zilipita dk 20 simu ikaita kucheki Husqer,haloo nilijua evodia utapuuza umeona Sasa, nimetuma bolt apo inakuijia Sasa hivi uje hosptal, nikusimamie mwenyewe Yani wewe sijui itakuwaje ukiolewa jamani, bila kusimamiwa dawa humezi afya yenyewe huna dahπŸ™Œ, muda huo ata nguvu zakuongea sikua nazo, nilikuwa nalia tu,alikata simu, haikuchua muda mrefu bolt ikawa imefika..

Nilipelekwa mpaka hosptal, sikujua hata nini kiliendelea, kwasababu nilizimia,nimekuja kupata fahamu Niko kitandani na drp ya dawa,ilikuwa saa saba usiku tayari, Husqer sikumuona ...

Saa nane usiku akaja Husqer kunitizama, akakuta nimeshajitolea drp, akakagua kama nimetoa Kwa usahihi, akaona sijakosea, " evodia naomba nikupeleke Kwa doctor upate sindano na ushauli zaidi naona Mimi umeshanizoea sana huelewi chochote...

Husqer nisamee rafiki yangu, nilijua nimepona, Nina muda sijaugua kabisa madonda na dawa sikuwa na tumia, ni mwaka Sasa, nikahisi Niko sawa ila sio kama sikuheshimu, " evodia Yani sijui ukoje rafiki yangu, dawa ya ugonjwa sugu ni kuugeuza mtoto wako, uweke kuwa Sehemu ya maisha Yako hakitaki hiki acha, mbona ulivyo nisikiliza nakuacha ukikaa sawa unamwaka hujanywa dawa, Wala kuugua kwasababu ulifata mashart uwe muelewa basi"..


Sawa Husqer rafiki yangu nimekuelewa, sitoludia tena,tulitoka nikapelekwa Kwa doctor Husqer akaniachia mlangoni, nilikaa kusubili kuitwa, haikuchukia muda nikaitwa, niliingia kucheki doctor Sasa aliyepo khaaa ni majanga maputupu jamani..

Si bola nikajitibh mwenyewe huyu doctor sio aisee nilikiamsha pale pale, mpaka Husqer akaja, "evodia nini shida tena"? HUSQER huyu nimekuita Kwa herufi kubwa namaaanisha kabisa huyu doctor ni hatari ataua wagonjwa humu mpaka hospital itafungwa, siwezi tibiwa nae bado nahitaji kuishi..

Itaenderea..πŸ”₯


DOCTOR EVANCE
( ndani ya penzi tamu ).

HUSQER BALTAZAR.
EP 2.

Husqer alishindwa kunielewa, doctor Evance akamwambia "mtoe huyu ndugu Yako, siwezi kumuelewesha mtu asietaka kuelewa, hapa ni hosptal hatuitaji kelele, tunawagonjwa hawaitaji hizi kelele, kama hatofunga huo mdomo nitaita police waje kumsaidia kuufunga", samahani doctor namtoa, Husqer alinitoa Kwa hasira sana akanipeleka wodini Kisha akalejea Kwa doctor..

Doctor Evance: najua unataka kujua, nini kimetokea, huyo ndugu Yako miaka mitatu iliyopita, nilikuwa field alikuja kutibiwa nikakosea chupuchupu nimuue, nilimuandikia Diclofenac 75mg/kg apo kama ni kg 60 maana yake, angechoma 4500mg, apa ningemua alaka sana, na kibaya zaidi alikuwa na kg 45...

Chief aliwahi na kuzuia, Kisha akaniambia nimuombe msamaa mgonjwa Kwa kutaka kumuua, nilimuomba msamaa na alinielewa , Sasa Leo nakutana nae Kwa mala ya kwanza Toka field, namuelewesha, Kwa Sasa siwezi kukosea lakini bado haelewi, sijui ni kabila Gani uyu ndugu Yako...

Sawa MD nimekuelewa, ndugu yangu Huwa anakawaida yakupanic! Sana, lakini nimuelewa nitamuelewesha atakuelewa, " sawa unaweza ukatafuta mtu amchome sindano hakikisha, anachomwa kwenye mishipa, sawa doctor..

Husqer: evodia rafiki yangu, usiwe unakurupuka basi, ujue huyo uliyemtukana ni doctor mkubwa sana hapa, anaetegemewa kuliko wengine wote na anafanya vizuri mno, yaliyotokea huko nyuma nimakosa tu yakibinadamu, na alikuwa bado mwanafunzi, coz ya afya ni ngumu mno hujui tu, Mimi hapa unavyoniona nilishawai kukosea pia wakati nikiwa mafunzoni huwezi kuwa Bora bila kukosea...

Evodia: sawa nimekuelewa ila Mimi simuamini, bola huyu mwingine alienichoma..

" Sawa kama umemchagua huyu, lakini asubuhi kabla doctor hajaondoka, nakuomba Kwa heshima yangu, ukapokee maelekezo kutoka kwake, mpime uone pia huduma zake utakuja kunishukuru rafiki yangu, Mimi unavyoniona nikiugua Huwa natibiwa na doctor Evance, hata watu wakubwa wengi wanamtaka yeye mtu akikusikia unavyomshakia hatokuelewa apa unavyoona shift za usiku Huwa mbaya mno asipokuwepo, mchana Huwa zinakuja kesi ndogo ndogo tu ila usiku Sasa ni matatizo matupu wanaokuja umu ni wale vichwa maji mtu Toka sijui juzi, ametulia tu haki hosptal ukimuuliza ulianza kuumwa Toka lini , anakujibu Toka juzi alikuwa anasikilizia kwanza, Yani wanaboa hao unasikilizia ugonjwa kuja kututesa sisi wauguzi tena usiku ndo wanazidiwa some time analetwa ata hajitambui aliemleta nae hajui kitu zaidi ya amezima, usiombe rafiki yangu, tunapitia mengi sana usiwe sababu ya kuniumiza dactal zaidi ya kumtia moyo na nguvu...

Yani mchana hata delivery za kawaida usiku Sasa, mala nyingi ni muda wa wagonjwa wazenguajinna wajuaji, anaumwa Toka mchana kutwa,kakaa kimya, usiku mambo yamemzidia ndo anakuja, tena mgonjwa anakuja na diagnosis, treatment na prognosis yake na anataka umfanyie fasta saa 8 usiku..

HUSQER jamani uwiii nimekuelewa, hucherewi kuanza kunipa wosia wa baba wa taifa usije kunipeleka thieta, nikashuhudie mnavyohangaika tu nitaenda kuongea nauyo doctor 0 brain wako, nilijibu huku najiegesha nilale ila Sasa sindano ilinivimbisha tako nikawa nasikia maumivu hatali..

Itaenderea...πŸ”₯



DOCTOR EVANCE
( ndani ya penzi tamu ).

HUSQER BALTAZAR.
EP 3.

We evodia mbona unalala Kwa kujipinda kama vile Kuna shida?, Nilikataa Ili asinione mayai sana, nikijua nikawaida, kumbe nimekutana na kiazi bola ata ya 0 barain,nililala Kwa tabu ilivyofika saa 11 miguu mmoja ukawa kama Hauna nguvu kabisa, nilimuita Husqer nikamweleza, alishika kichwa, " jamani evodia umeona Sasa inamana uyu taila kakuchoma matakoni jamani, sindano sio nzuli sana kuchoma matakoni labda kama Kuna ulazima sana ama wamekosa kabisa mishipa, sindano ya Tano ni mbaya na nilimwambia jamani akuchome kwenye mishipa...

Ngoja nikuwaishe Kwa doctor Evance, akusaidie , Toba Kwa 0 brain Husqer, Husqer naona hizi chips zimenileta kwenye kifo, Yani unachokifanya rafiki yangu ni kwenda kuniua mwenzio, huyo doctor anaenda kunimalizia nakwambia kabisa..

" Evodia usinitibue nimeshachoka, Sasa usinichoshe na maneno Yako pia nitakuita sindano ya kubana huo mdomo Kwa muda Ili tufanye kazi yetu Kwa amani, Sasa chagua mapema kabisa utanyamaza bila kumsumbua doctor, ama nitumie sindano kukusaidia, Yani wagonjwa mahututi watuchoshe, na wewe wakujitakia Kwa ujuaji kabisa, utusumbue, tukitumia ujuaji wetu pia, evo hapa utajuta rafiki yangu..

Shukuru ni rafiki yangu, usingekuwa rafiki yangu, Kwa jinsi nilivyochoka, ningekutia sindano ya usingizi mpaka kunakucha mi shift yangu inaisha unaamka unakutana na madoctor wa asubuhi,Ili uwape huo ujuaji wako, ukielezwa jambo fanya acha ukaidi, Mimi ninauzoefu hapa kazini nimekwambia kabisa doctor Bora ni Evance, wewe na kisembengure chako Cha ubongo, ukachagua wakwako, haya matokeo yake unaanza kunisumbua, tena bado unashupaza shingo, my dear nitakunyoosha, onyo la mwisho...

Niliamua kunyamaza, make alivyokuwa anaongea, asijenichoma sindano kweli, tulienda mpaka chumba Cha doctor,Husqer akajieleza, doctor alinitizama Kwa muda mrefu Kisha akaniuliza, uko tayari nikutibu?, nilimtizama Husqer kanikata jicho dah, ilibidi nikubali tu, Husqer alitoka, doctor alisogea akaanza kunihoji huku anaandaa vifaa vyake..

Ilikuwaje binti mdogo ukapata vidonda vya tumbo? Nilitaka kumjibu shit, nikakumbuka apa Niko nae yeye peke yake, lolote linaweza kutokea awa viumbe hawaaminiki, tena kwenye eneo lake hapana nisije kupasuliwa makusudi, nilijibu tu stress za mapenzi,alismile nakujibu " ulikosea sana kukubali mapenzi yakuendeshe,binafsi siwezi kuendeshwa na mapenzi, moyo wangu unaendeshwa na wagonjwa tu..

Nilimtizama mkaka ni mzuri, Yani nikifaa haswaa, afu anayaongerea mapenzi, kama kitu Cha kawaida sana, nikamjibu, huenda huna tu nguvu za kiume usijitetee, wanaume wazuli siku zote hamna nguvu za kiume, we jutetee tu kivingine, πŸ˜€πŸ˜€ alicheka doctor Evance nikachukulia kawaida kumbe nimemkela, alinisogelea zaidi, unaonaje tukijalibu afu uniambie kama ni kibamia ama ni nguvu za kiume kweli sina, tufanye jalibio...

Wakati huo ansniuliza akaleta kipimo sikujua nichanini, akanitoa damu,nilipiga ukunga wankisauti Cha puani, nikamjibu huniwezi Mimi, huu mziki wangu ni nzito unahitaji dume la maana sio nyie Wala chips, tena wewe unaonekana tu, huwezi shoo kabisa, niliamua kumkera tu nikiamini Niko chumba Cha doctor Hana Cha kunifanya...

Alinivua nguo Sehemu ya tako, akaanza kama kuimasaji ila kama ananitekenya Fran hivi, baadae akanichoma sindano ya mishipa, Kisha akaenderea, nikajua ni Moja ya tiba huenda kuondoa ule uvimbe..

Itaenderea..πŸ”₯
DOCTOR EVANCE
( ndani ya penzi tamu ).

HUSQER BALTAZAR.
EP 4.

Nyie alichonifanyia huyu doctor πŸ™Œ, alinilegeza, nikawa natamani tu kitu iingie, na ugonjwa wangu ata sikujihurumia, doctor alinifanyia mchezo makusudi kunionesha shoo, hamuwezi amini nililiwa, humo humo hosptal, tena alivyoenjoy akaamua kufanya Kwa kunikomoa kisa nilimwambia Hana nguvu, hata nilipomwambia nimechoka, hakuacha badala yake aliongeza mapigo zaidi...

Huku akininong' oneza sikioni, sina nguvu za kiume mrembo nitakuchoshaje Sasa, nikajua kumbe nakomolewa, na Mimi nikaona apa nikicheza ataniweza, nikapindua meza Ili nijihudumie mwenyewe, nimuwahishe uzuri nilikuwa na nyonga lainiii afu mwepesi,nikishika usukani mpaka akaanza kulalamika Kwa sauti, kasahau kama tuko hosptal..

Alivyoona nampeleka sana, akaniludisha chini haraka, akaongeza dozi na vile nilimpumzisha Kwa kujipimia, mbona nilijuta mwenzenu,alikuwa anamwaga nakuniunganishia BAO Moja Kwa Moja ngoma hailali ata ikimwaga, nikajua kweli Leo nimekutana na dume lililoshindikana mdomo huu jamani, Kila siku Huwa unaniponza tu...

Alihakikisha miguu haiwezi hata kujisogeza, na nineshaomba msamaa, mala kibao, ndio akanihurumia tena, baada ya kumwambia tumbo kumeanza kuuma, alimwaga nakutoa, sikuwa tena na ujasili wa kumuangalia, alicheka nakusema, kumbe Haiba ya kike, unayo! Napenda aina ya mwanamke kama wewe, nikikutia usinikazie macho usoni, ata sikutaka kumjibu kitu make mdomo wangu naujua, haucherewi kuniponza...

Sikuwa naweza kutembea kabisa alinichukua akaniogesha humo humo ofcn kwake,Kisha akanivalisha nguo nakunipa dawa nimeze, sikuuliza hata ni dawa za nini nikameza,baadae akacheki kipimo nakusema afadhali huna maambukizi ya ukimwi, nikaona bola tu nilopoke Kwa tahadhali, Sasa saivi kipimo kingekusaidia nini, na umeshanitia, alicheka akajibu Wala sijachekewa ningemeza zangu pep fasta, nilichukia nakujibu kumbe ndo tabia Yako..

Alitabasamu Kisha akaniangalia, nikashusha macho chini, akajibu " umenipenda ee? Naona ushaanza kunionea wivu, sikujibu kitu nikajikaza, nisiongee chochote kisijekunilamba, nishagundua akili za huyu doctor hazimo, nilikumbuka ninamuda sijadate na mtu, hivyo ata siku zaku za hatari sizijui, samahani naomba dawa zakuzuia mimba,alinitizama Kwa ukali kiasi nakuniuliza, kwani ukizaa Kuna shida? Nilimtizama Kwa hasira sikumjibu kitu aliinuka nakunipa dawa flani hivi, huku akinitizama, nilizitizama Kisha nikameza, niliona kaflahi tu..

Alinilaza kwenye kitanda Cha mule mule ofcn kwako, lala mrembo muda ukiisha nitakuamusha, ndugu Yako nitamwambia umepumzika, najua umeshoka hivyo lala hapa Kuna utulivu sitopokea mgonjwa yeyote Kwa Sasa, sikujibu kitu nikauchapa usingizi, nakuja kushtuka Niko kwenye gari nimemlalia Husqer mapajani, sikujua ahata dereva ni nani, ila gari ilionekana ni private...

Itaenderea...πŸ”₯


DOCTOR EVANCE
( ndani ya penzi tamu ).

HUSQER BALTAZAR.
EP 5.

Husqer alikuwa anamuelekeza dereva njia, ila sauti ni kama nilikuwa naijua, nikakausha sikuwa na uhakika, tumefika dereva akashuka nakuja kutufungulia Kisha, akanibeba na kuniingiza ndani, ndo nikajua ni doctor Evance, samahani Husqer naweza kumuingiza chumbani kabisa Ili usijekupata tabu badae, huyu Kwa Sasa hawezi kutembea mpaka jioni, huenda akapata nguvu za kutembea...

Husqer alinitizama nikahisi huyu kaanza kuhisi kitu, nikavunga sikutaka kumtizama usoni alimruhusu , uzuli wetu ni wasafi ata mtu akija Kwa kutushtukiza geto hawezi Kuta uchafu ata kidogo,aliniingiza chumbani, akanilaza huku ananinong' oneza, kuwa makini ule Kwa wakati na umeze dawa Kwa wakati, endapo utakiuka ata kimoja nilichokifanya ofcn itakuwa nimala nne zaidi...

Alinisema hivyo nakuniwekea pesa kwenye mto niliolalia,hio utanunua matunda Kisha akaaga nakuondoka, mwenzenu pesa ni sabuni ya roho, sikucherewa nikacheki ni sh ngap, nakuta ni laki 4, nilifurahi angalau sijatumika Kwa hasara ila akili zangu dah, nikiwa na furaha apo akaingia Husqer, nilizificha haraka , make akijua jamani huenda nikasomewa Dua kabisa...

Alikuja nakuniuliza evodia, kuna kitu kinaendelea kati yenu? nilikataa halaka hamna, alitoa kitu kwenye begi lake Kisha akaniambia niteme mate, sikujua Aya ni ya nini, nikatema, akayatia kwenye micro, aisee majibu yakatoka Kuna mate zaidi yangu kakuta aina mbili tofauti, dah akajua tayali nishaliwa, niliona aibu jamani...

Mimi na Husqer tunaheshimiana sana, Sasa hii kwangu ni aibu mno, alinitolea mawaidha mpaka nikalia, nakujiona mchafu kabisa, ehee umekumbuka atakinga usijekubeba mimba na maradhi nikamwambia nimekunywa dawa za mimba ila ukimwi sijui, aliniambia kuhusu ukimwi anauhakika doctor Evance Hana, Kwa sababu ni wiki mbili tu katika kuchangia damu hivyo kama nimekunywa za kujikinga na mimba sawa, akanitolea zingine za kujikinga na magonjwa zaidi dah nilijuta Mimi na hivi sipendi dawa, na Leo nimeshanyweshwa dawa mpaka basi nikaona bola hizi nizitupe tu...

Magonjwa mengine yanatibika, kweli nilimchezesha nikazificha,hakujua ilifika jioni kweli miguu ikapata nguvu, nikaenda kuzfrashi zile dawa chooni,nilizilaumu sana chips,zimeniletea matatizo makubwa Kwa muda mfupi tu, nilikumbuka na kauli alizozisema doctor Evance, nikawahi kumeza dawa, mpaka Husqer akashangaa, sio kawaida yangu, Yani Mimi kumeza dawa mpaka Husqer anisimamie na kunikumbusha, bila hivyo nitaigiza kusahau, na sio kweli kwamba sikumbuki , ni vile tu sipendi madawa...

Hee makubwa Leo umekunywa bila marumbano ya hoja kweli tumbo la usiku kilikuwa babukubwa,nilijibu hujui tu huyo 0 brain kanitishia , nikikwambia Hana sifa za kuwa dactar hunielewi, mtu anatisha mgonjwa badala ya kumbembeleza, mbona wewe Huwa unanimbembeleza, ila Hilo barazuri Sasa, ni vitisho tu Kaa jambazi, yule alipaswa kusomea ujambazi...

Husqer alianza tu kucheka, akiwa anacheka simu yake ikaita, akachukua kucheki MDO Evance, alinitizama kwanza kabla hajapokea Kisha akapokea, haloo Husqer mnaendeleaje na mgonjwa?, " mgonjwa ameshapona naona kaanza kutembea" na vipi dawa kameza? " Ndio kameza" ok kama Hali yake bado nijuze, ubaki kumuangalia, ila kama anaendelea vizuli fika kazini, Husqer asivyopenda heka heka chap kikajibu, doctor itakuwa vyema kama Leo nitabaki kumtizama Hali yake, hatuwezi jiaminisha Kwa kutembea tu...

Itaendelea..πŸ”₯


Soma Kitabu

SOMA MAELEKEZO

Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote