IN LOVE WITH MY PROFESSOR

book cover og

Utangulizi

Nihadithi inayomuhusu binti mrembo Judith na Travis. Judith ni binti ambae habahatika kulelewa na mama wala baba kwani mama mzazi alifariki mapema sana na baba hakuwa anajulikana hata kwa ndugu hivyo basi binti Judith alikabidhiwa kwa mama mdogo wake yaani mdogo wa mamayake ili ahakikishe Judith anakuwa vizuri na kupata mahitaji yake yoote mamdogo pia alikabiziwa mali za mama wa Judith kampuni na kilakitu ambazo watu wengi hawakujua aliekuwa anajua hilo ni bibi tuu mamdogo mamdogo wakati anakabithiwa mtoto nae alikuwa tayari anamtoto wake lika moja na Judith lakini pamoja nakuwa nawatoto mamdogo Jessica hakuwa anajali kuhusu watoto alikuwa bize sana nakazi kuliko kulea watoto walitizamwa na yaya mfanyakazi wa ndani alie itwa mamy alijitahidi sana kuwajali watoto na kuwahudumia kama mama lakini Anna alikuwa nimjeuri na mwenye roho mbaya tuu hadi anakuwa lakini Judith alikuwa anamoyo mzuri na mwenye upendo sana kwa kilamtu hivyo ilimpelekea Judith kuhisi upendo wa mama kwa yaya mamy alimchukulia kama mama kwake
Mamdogo Jessica alikuwa akipata nafasi yeye alikuwa bize na Anna hata kuwa karibu na Judith kidogo alikuwa hapendi kabisaa mwisho mamdogo alianza kuonyesha roho yake halisi kwa Judith, Judith akiomba mahitaji yake hapewi na kujibiwa vibaya lakini yaya mamy alijitahidi kwa mshahara wake anamnunulia Judith kitu akitakacho alitaka kwenda kujifunza mziki chuo cha mziki hivyo alitakiwa alipie pesa ya kufanyia mtihani wa majaribio wa kuingia kwenye chuo aliona pesa ninyingi ngoja nimuombe mamdogo kwa shauku kubwa kwakuwa nikitu anakupenda alimfuata na kumuomba mamdogo Jessica jibu alilojobiwa lilimvunja moyo Lakini alitoa tena wazo la jinsi yakupata hiyo hela kwakuwa anajua kuimba alimuambia aende kuimba copy kwenye hotel kubwa yenye hadhi yake hapa mjini ambayo wanaingia watu wenye pesa na waheshimiwa alijiandaa na kwenda kufanya hiyo kazi kumbe alimchezea mchezo na badala yake alikuwa kapamga mpango wakumuuza kwa wanaume wenye hela bahati nzuri kulikuwa na mwanaume mmoja alipomtizama Judith alijua kuwa sio yeye kunakitu kinaendelea katika maisha yake hivyo alipandisha dau la kumnunua ili amuokoe alifanikiwa kumnunua jamaa anaitwa Travis ni tajiri mkubwa tuu hakutaka hata kumgusa Judith nia yake yeye ilikuwa nikumsaidia tuu lakini Judith hakutaka deni baadae hivyo alimkomvisi wamalizane kwani amelipia tayari pesa ndipo Travis alipo vunja usichana wa Judith na kuachana asubuhi japo kuwa Travis kunakitu kilimuingia ndani ya moyo wake kutoka kwa Judith alishindwa kumsahau kabisa Travis nimtoto wa tajiri mkubwa sana ambae aliekuwa akishilikiana nae kibiashara na mamdogo Jessica kupelekea kutaka kuuda undugu kwa kutaka muunganiko wa ndoa baina ya Travis na mamdogo Jessica walikuwa wanamsubili Travis atakapo toka chuo nje ya nchi ndio waunganishe undugu kwa ndoa Travis aliporudi tuu mwanamke wake wa kwanza kukutana nae kitandani alikuwa Judith na baada ya kukutana nae hapo wakakutana tena na Judith kwenye usaili wa muziki chuo Travis akiwa kama professor je unatamani kujua nini kinaenda kutokea hapo karibu ili kujua.....................

IN LOVE WITH MY PROFESSOR
Epsd 1.

Mtunzi ALICE
Mwandishi ALICE
Nilikuwa nashauku ya kuongea na mamdogo wangu nilimsubili hadi alipotoka kazini alipoingia ndani nikiwa chumbani kwangu nilisikia geti likifungwa nilitoka haraka na kumpokea madogo nilimsalimia na kumwambia

"Naomba kuongea na wewe mamdogo

"Sawa ngoja nitoka kuoga maana nimechoka sana Judith

"Sawa hakuna shida mamdogo nipo nakusubili"

"Haya sawa"

Mamdogo alielekea chumbani kwake na kufunga mlango kiukweli mamdogo wangu hakuwa na furaha namimi hata kidogo yaani hanaga upendo namimi ila atafanyaje na ndio kaachiwa anilee yeye kwani mama yangu alifariki na baba yangu simjui hivyo ndugu walimchagua yeye pia kulingana na uchumi aliokuwa nao alikuwa nimtu mwenye uwezo wa kiuchumi pia ana mtoto wakike lika langu mimi anaitwa Anna naye huwa hatupatani kabisa kilakitu changu huwa anakitaka yeye na tulikuwa tunasoma wote sasa tulichaguliwa kwenda chuo mimi na yeye Anna alichukia sana na alikuwa tayari kamuambia mama yake kuwa yeye hataki mimi niende anapotaka kwenda yeye hivyo ajitahidi kunifelisha nisiende chuo kimoja na Anna kiukweli nilikuwa binti mrembo sana nilimzidi Anna hata mamdogo nilimsubili mamdogo alitoka baada ya kuwa kamaliza kuoga na kuja kukaa meza ya chakula alitengewa chakula mezani na mdada kisha nilimfuata hapo mezani nikiwa nafuraha nikidhani nae atafurahia nilimuambia

"Mamdogo nimechaguliwa kwenda katika chuo cha mziki hivyo natakiwa nikalipie ili nifanye mtihani wa majaribio"

"Ni shingapi inatakiwa?

"Mamdogo ni laki moja na nusu tu"

"Pole kwa sasa sina hiyo hela mimi"

Nilishuka na kupiga goti nikimuomba

"Mamdogo nakuomba haya nimaisha yangu mimi ya badae na hakika nikifanikisha nitakulipa mamaangu tafadhari"

"Chakukusaidia kunamahali nitakuelekeza huko ndio utapata hela wewe siunajua kuimba kopi"

"Ndio mamdogo"

"Basi ngoja nitakurlekeza kilakitu kitaenda sawa ok"

"Sawa mamdogo"

Kisha alipiga simu moja akaongea kisha akaniambia

"Jiandae kunagari itakuja kukuchukuwa itakupeleka huko ok?

"Sawa"

Niliinuka na kwenda chumbani kwangu kuoga na kisha nilijiandaa vizuri nikatoka na mamdogo alikuwa akiniita nilipotoka akaniona aliniambia

"Hiyo gauni haivutii watu hembu ngoja kidogo"

Aliondoka na kwenda kunichukulia gauni moja nzuri sana na kisha alinipa na kuniambia

"Ukifika huko back steg utafanyiwa mecap na kiatu uvae kirefu ok"

Nilipokea na kuondoka ilikuwa mida ya saa mbili hivi nilipo ondoka mamdogo alikuwa anaongea na watu huko ninapokwenda na kisha alifurahia na kuingia chumbani kwake hatimae nilifika ninapo kwenda nilipokelewa ilikuwa ni hotelini hoteli ya nyota tano yakifahari haswaa niliingizwa ndani sehemu ya kasino na kisha nilipelekwa sehemu ya kubadilisha nguo hapo ndani nilifanyiwa mecap na kisha nilichukua nguo alinyonipa mamdogo nikaivaa ilikuwa ni kigauni kifupi champira kilinata na mwili wangu na kishepu changu nilichokuwa nacho sasa chauchokozi na nilivyo mrefu sasa mithiri ya twiga nilivyo mrembo mashallah kisha nilivaa kiatu kirefu nilipendeza sana kisha muda ulipofika niliambiwa nanahitajika jukwaani nilitoka kwa uwoga hadi kwenye steg nilisha pangiwa niimbe wimbo gani kwakuwa nilikuwa nakipaji sikuona tabu ila nilishangaa kuona sula za watu waliokuwepo hapo ukumbini walikuwa ni wanaume sio wengi ni wachache na wanaonekana ni watu wenye pesa na wanao tamaa ya mabinti nilipoanza kuimba walikuwa wakiniangalia kwa tamaa haswaa niliimba hadi mwisho nilipo maliza kuimba kisha alisimama yule dada alienipokea na kuwaambia wale matajiri

"Je nani yupo tayali kulipa laki tano kwaajili ya huyu mrembo"

Walianza kupanda dau mmoja mmoja kwa kutaka kuondoka na mimi usiku wa leo alisimama mmoja akasema

"Mimi nita toa laki sita"

"Mimi nitatoa laki saba"

"Nitatoa saba na nusu"

Alisimama mkaka wa makamo mimi naweza kumuita mmbaba sio mzee sio kijana sana akanyoosha mkono na kusema

"Mimi nita toa milioni moja na laki tano"

Yule mdada aliekuwa anatangaza akasema

"Hakuna tena anae ongeza tena dau jama na hesabu nikifika tatu nafunga mnada moja mbili tatu nadhani Mr Travis ametufungia hesaba"

Aliinuka na kunishika mkono niliona aibu sana kwakitendo nilichofanyiwa tena na mamdogo wangu kuniuza mimi kwaajili ya laki na nusu sikuwa na njia nilichukuliwa na kupelekwa chumbani moja kwa moja na Mr Travis



Je unataka kujua nini kitatokea karibu kuendelea.......

Epsd 2.
Mtunzi ALICE
Mwandishi ALICE



Nilipofika humo chumbani nilikuwa hata kumtizama huyo mmbaba siwezi naona aibu yule mbaba alivua nguo na kuingia bafuni kuoga nami nilitulia hapo kitandani nikiwaza nikweli nimefikia hatua hii mimi nilishuka kitandani nikitaka kutoka hivyo nilisogea karibu na mlango wa bafu nikitaka kuongea nae kumbe nae alikuwa anatoka hivyo tulikutana uso kwa uso tuligongana akanikumbatia alinishika kiuno nilitetemeka kwa uwoga aliponiachia tuu taulo alilokuwa amevaa likamdondoka nilipiga kelele na kujificha uso wangu kwa uwoga kisha Mr Travis aliinama na kuchukuwa taulo yake na kujifunga tena akanishika mikono na kuniambia

"Binti mrembo nimesha vaa haya sasa inaweza acha kupiga kelele zako"

Nilitoa taratibu mikono usoni na kumtizama alikuwa kweli kavaa tauro yake kisha aliniambia

"Unaweza kulala kitandani mimi nita tandiga chini hilo duvet nitalala sawa"

Nilishtuka na kumuuliza

"Lakini si tayari umesha lipia inakuwaje tulale tofauti nilazima nifanye nikulipe usije nisumbua baadae"

Niliongea kwa upole nikiogopa ila yule Mr aliniambia

"Hapana naona kuwa bado haupo tayari pia kwa umli wako nitakuwa nakuonea kuwa huru usiogope mimi sio mtu mbaya nilifanya vile ili nijuokoe na watu wenye tamaa na mabinti wadogo wewe lala sito kugusa wala nini kukicha utaondoka zako"

"Hapana nitakuhudumia usiogope"

Nilimsogelea na kuanza kumchum mdomoni romance nae akanishika vizuri na kuniuliza

"Upo tayari kwa hili?

"Ndio nipo tayari"

Alinijibu kwa romance nami nilimuonyesha ushilikiano kwa kumpa romance alinyanyua mikono yake na kunishika vizuri kifua chagu yaani chuchu zangu na kwa jinsi zilivyo simama sasa acha tuu alinitupia kitandani na kuninyonya maziwa huku akinipapasa kwa bashasha misiri ya simba kamuona swala alimiweka sawa kisha akatupa kule taulo yake kisha nami nilinyanyua gauni yangu na kuitupa huko kisha kilicho endelea alinichukua na kunipinda staili ya kuninyanyua miguu juu kisha akaingiza kitu nilivumilia kana kwamba tayari nilisha wahi kufanya mapenzi kumbe ilikuwa ndio mala yangu ya kwanza hakika nilikuwa namaumivu makali sana hadi inazama yote nilitokwa machozi lakini jamaa alielewa ni kwaajili ya raha lakini alihisi kumebana sana akaniambia

"Uko vizuri sana na mtam mnoo sijui kama naweza kukusahau kwa utamu huu"

Nilikaa kimya na kuendelea kuvumilia maumivu ya aina mbili kutolewa bikra na kuuzwa na mamdogo wangu mwenyewe kisha tulipo maliza haraka niliingia bafuni kujisafisha nikarudi kulala nae Mr Travis alilala hadi panakucha asubuhi alishtuka na kwenda kuoga kisha alimpigia mtu simu na kumuagiza shati dukani na kisha aliletewa akabadili na kuniamsha

"Hi! za asubuhi mrembo naraka kutoka watakuletea chai kisha utachukuwa tax hapo chini tutaonana tena"

Alitoa kadi ya namba za simu na kisha akaacha na hela niliinuka kidogo nikiwa nataka atoke nifunge mlango aligeuka na kunibinyia kijicho sindio akatizama palenilikuwa nimekuja kuja shuka iliasione sasa nilipoinuka niliivuta ile shuka akaona damu damu hapo akarudi ndani na kutizama vizuri niliona aibu nikawa naludi nyuma taratibu huku nimetizama chini kisha akaniuliza

"Inamaana mimi ndio wakwanza kuingia kwako sio?

Nilikaa kimya na nimeinamisha sula yangu chini kisha niliitikia kwa kichwa kumaanisha ndio alikuja karibu yangu na kunikumbatia huku akisema

"Wewe mtoto mbona hukuniambia eeh! Jamani ....dah! Pole sana ndio maana nilikuambia kama haupo sawa acha ona sasa ila asante kwa hii kitu ninaharaka kidogo nipigie jioni tuongee vizuri"

Kisha alinibusu nakuondoka yule mmbaba kisha niliufunga mlango na kurudi ndani nililia hapo ndani kisha nilitizama saa nikaingia bafuni kujiandaa natakiwa kwenda kwenye kufanya majaribio ya kujiunga na chuo cha mziki nilipomaliza kuvaa nilichukua tax nilivaa ile gauni niliyokuwa nimevaa wakati nakuja hapa hotelini ilikuwa ni kigauni cha kuchania kizuri tuu japo mamdogo aliniambia hapana na kunipa ile ya kubana ya mpila nilifika chuo cha sana sehemu wanayo fanyia majaribio wanafunzi wapya nikaenda nikalipia na kupewa namba nisubili niitwe ili nikafanye majalibio nikiwa hapo alikuja ndugu yangu mtoto wa mamdogo Anna na aliponiona akanisogelea na kuniambia

"Wewe mchafu unafanya nini hapa mtizame kwanza alivyo unavyo dhani kuomba ni kama kunywa maji heheheee! Haya tutaona kama utapita"

Sikumjibu kitu nilikaa kimya na wanafunzi wengine walibaki wakitushangaa na kisha walinicheka kwa yale maneno niliyokuwa naambiwa na Anna kisha tuliitwa ukumbini na kisha tuliambiwa tukae na kusubili aitwe mmoja mmoja na kupafom mbele ya majaji kwa gafla aliingia Mr Travis niliogopa kumuona pale kwa hofu nilianza kutetemeka akaenda kukaa na kisha tulianza kuitwa majina aliitwa binti wa kwanza akaenda akapafomu kisha aliitwa mwengine ilipofika zamu yangu ile nainuka niende Anna aliivuta gauni yangu ikafumuka nikaivuta na kuishikilia kisha nilipofika pale kwenye steji nikaanza kuimba ila sauti ikawa ina kwama kwama wale majaji wakaniambia

"Unaweza kutoka unatupotezea muda"

Nilikuwa nikiomba omba

"Naomba niimbe ya mwishe mkuu tafadhari naomba nafasi ya mwisho tuu please naomba"

Wakati naomba Anna alishakuwa kaitwa alipofika nilipokuwa mimi alinisukuma huko hadi nikaanguka chini wakati huo Mr Travis alichukizwa akasimama na yeye ndio alikuwa muamuzi wa mwisho akapaza sauti na kusema

"Stop acha ujinga"

Alikuja na kuninyanyua na kunivalisha koti lake akanikumbatia na kunitoa ukumbini alinipeleka washing room na kuniambia

"Jiweke sawa sasa kisha uniambie je umejiweka karibu yako ili nikuokoe kwenye hili yaani ili nikupitishe kwenye hiyo kompitisheni sio"

Nilichukia na kumzaba kofi nikamuambia huku nikitokwa na machozi

"Huna unalolijua wewe katika maisha yangu (kisha nilimgeuzia mgongo) nilikosa hela ya kuingi hapa chuo ndio maana nilifikia hayo maamuzi na sikujua kama wewe ndio Professor wetu laiti ningejua nisinge kukubali kuondoka nawewe usiku wa kuamkia leo"

Alinishika kwa nyuma na kunigeza kisha alinikumbatia na kunibembeleza nilipotulia aliniambia

"Jinalangu naitwa professor Travis"

"Judith"

"Nafurahi kukufaham kisha alinisogelea na kunikisi nilitulia tuu kisha alipomaliza akaondoka zake namimi niliondoka nyumbani professor aliamua wote tutaingia chuo bila mchujo


Je unatamani kujua nini kitajili kwa Judith tafadhari endelea kufuatilia.......
[

IN LOVE WITH MY PROFESSOR
Epsd 3.
Mtunzi ALICE
Mwandishi ALICE




Tulipigiwa simu na kwenda kuanza kusoma kujifunza mziki nilikuwa nikifika darasani nikimkuta Anna na marafiki zake wananionea sana mala wanimwagie maji wani zalilishe mbele za wanafunzi wengine siku hiyo nikiwa na nimeshikiliwa na rafiki yake Anna ili Anna anipige makofi alitokea professor Travis akawafokea na kuwatoa nje ya darasa lake kama adhabu kisha tulibaki wawili pekeetu professor akaniwa ananifuta futa nilimuambia

"Professor unafanya nini ungeniacha tuu nitajisafisha mwenyewe"

Kisha wakati nainua uso nilikutana na professor macho kwa macho midomo imekaribiana asinilambe denda nsmimi nilijikuta nahishiwa uvumilivu nikisogeleana nae professor tulikis romance kwa dakika kadhaa hapo tulizama kabisa nilipokuja kushituka nilirudi nyuma na kuchukuwa bag langu na kuondoka nyumbani bila kumuaga kwa aibu sana nilifika nyumbani nilimkuta mamdogo kaisha rudi nikamsalimia kisha nilikuwa nikielekea chumbani kwangu akaniambia

"Judith kisha nakuhitaji"

"Sawa mamdogo"

Nilienda chumbani kwangu nikaweka begi na kisha nilivua nguo na kuingia bafuni kuoga chumba changu kilikuwa kipo karibu na chumba cha wafanyakazi nichumba chakawaida sana yaani hata shuka na vitu vilivyomo sijawekewa kama alivyo wekewa Anna chumba chake kina kiyoyozi kina TV na mashuka mazuri ya garama alilelewa kama mwana mfale alikuwa anasikilizwa kilakitu na mamaake alidekezwa haswaa kisha nilitoka kuoga nikavaa nguo zakulali pajama zangu na baada ya hapo nilipaka paka mafuta nakisha nilitoka na kwenda kwa mamdogo aliponiita nilimkuta nikamuambia

"Mamdogo nimekuja"

"Ok sawa nataka nikuulize wewe umemfanya nini Anna?

"Sijamfanya kitu mamdogo niyeye ndio kanipiga na marafiki zake wamenidhalilisha na kunimwagia uchafu"

"Acha uongo Anna hana hayo matabia wewe ndio unatabia za hovyo hovyo na ukome kumtukana mwanangu unataka kuendelea kubaki hapa sio jua mipaka yako ok"

Nilinywea nilidhani atanielewa lakini wapi machozi yalinitililika kwa uchungu ila ndio sina cha kufanya nilimuitikia

"Sawa"

Kisha aliniambia

"Ondoka mbele yangu sasahivi"

Na kunifyonya niliondoka kinyonge nikiwa nimeinamisha kichwa changu chini hayo ndio maisha yangu kilasiku tangu nikiwa mdogo huwa sinaga haki kabisa sikuzote Anna ndio anahaki kwakila kitu ila naumia sana asiku ambie mtu niliingia chumbani kwangu nikapanda kitandani nikawa nime jipumzisha baada ya muda alikuja dada mkuu alinigongea mlango ndio alie tulea huwa ananijali sana nilimfungulia mlango kisha aliingia na grass ya maziwa na mkate wa nyama na mboga mboga baada ya hapo alikaa kando yangu huwa anapenda kuniambia vitu vyakunfariji na kunipa moyo aliniambia

"Sasa hivi wewe sio mtoto mdogo tena haya inuka ule ungekuwa mdogo ningekuinua na kuanza kukulisha kwa maneno mazuri ya kukupa tumaini lakini leo nakuambia inuka na kaa uanze kula"

Niliinuka na kumkumbatia huku nikilia aliniambia

"Kilio chako hakitakuokoa unatakiwa kujikaza na upambane mwenyewe sawa"

"Mamy unajua nimefikia hatua gani ili niweze kupata nafasi ya kusoma chuo mimi?

"Hunahaja yakunieleza najua kilakitu Judith"

Nilijisikia vibaya nilizidi kulia kwa uchungu lakini aliniambia

"Acha kulia na kula sasa nataka utambue kuwa unapaswa kupambana mwenyewe ili ufikie ndoto zako hata mamaako huko alipo atafurahi kuona pamoja na kunyanyasika ila umefikia marengo yako sawa inuka kishujaa na upambane"

Niliinuka nikachukua na kuchukua grass yamaziwa kisha nilichukua na mkate nilikula kwa uchungu kisha nilipo maliza nilimuaga mamy na kulala alinifunika vizuri shuka na kisha alitoka na kuubana mlango wa chumba changu hatimae siku nyingine tena kulikucha nilijiandaa na kwenda zangu chuo kama kawaida huwa natumia usafiri wa bajaji ila mwenzangu huwa analetwa na mamdogo hadi chuo nilipofika niliingia darasani nikakaa darasani nikipitia nilicho jifunza nyuma maana nilikuwa nahasira na shauku yakufanikisha ndoto zangu nikiwa hapo alikuja Anna na kuanza kunivuta nywele kisha alichana daftari langu wakati anafanya hivyo kumbe professor alikuwa tayari kaingia hivyo alimuona akamuita

"Anna!

Anna alishtuka na kuanza kujitetea kama vile hana hatia kabisa alisema

"Professor huyu Judith nimkorofi sana yeye ndio ameanza ukorofi wake"

"Nakujua Anna wewe na nimesimama hapa muda tuu nikikutizama huni aibu kudanganya?

Niliinuka na kuondoka nje professor aliamua kunifuata nyuma nilienda kusimama nje alikuja na kunivuta mkono na kunipeleka hadi kwenye paking ya magari kisha aka niniegemesha kwenye gari kisha alikuja mbele yangu na kuanza kuninyonya romance huku akinishika vizuri nilizama kwenye hisia za mapenzi na professor baada ya muda ufahamu wangu ulinirejea nikamsukuma na kumuambia

"Professor kaa mbali namimi unafanya nini sasa"

"Oh! Samahani Judith nisamehe lakini sio kwamba nimekosea ila nahisia kabisa nawewe Judi"

Nilimtizama kwamuda nikiwa kimya kisha professor alipoona hivyo aliniambia

"Nisamehe kama nimekosea pia kuongea"

Kisha alitaka kuondoka nilimvuta mkono na kumkumbatia kwa nyuma huku nikimuambia

"Namimi ninahisia nawewe professor"

Kisha professor aligeuka na kunikumbatia vizuri akaniuliza

"Unasema kweli Judith?

Nilimjibu

"Nikweli professor"

"Usiniite professor tafadhari niite Travis inatosha"

"Ok sawa professor Travis"

"Naomba utoe hiyo professor niite Travis tuu"

"Ok Travis"( Niliongea huku nikitabasam )

Kisha tulikumbatia na kufurahi kwa pamoja lakini nilimuambia

"Professor ila naomba iwe siri yetu sitaki mtu ajue kwa sasa"

"Sawa usijali kwa hilo"




Je unavyodhani itafanikiwa kuwa siri kweli kwa haba hilo walilonalo endelea kufuatilia........

IN LOVE WITH MY PROFESSOR
Epsd 4.
Mtunzi ALICE
Mwandishi ALICE


Kisha niliondoka na kurudi darasani na professor nae alikuja na kuendelea na kipindi tulikuwa wote na wenzangu darasani na baada ya kipindi kuisha tuliinuka na kuanza kutoka ili tuondoke lakini professor alisema

"Judith tafadhari nakuomba ubaki"

Wanafunzi wengine waligeuka na kunitizama mimi hata Anna alinitizama kwa hasira sana kisha akaondoka walipotika wote professor alinisogelea na kuniambia

"Nashindwa kujizuia kwako muada mwingi nikikutizama natamani nikukumbatie tuu Judith wangu"

Aliongea huku akinipapasa usoni na kisha alinisogeza karibu yake na kuanza kunila romance namimi walahi nilinogewa nikiwa mbele ya professor nakosa kabisa nguvu na changanyikiwa nililipokea romance kutoka kwa professor wangu jamani baada ya muda tulisikia kunamtu anaingia darasani nilimsukuma Professor na kurundi nyuma kisha nilikuwa nikijibaraguza alikuja mwalimu mwengine niliona nimuage niwaache wenyewe nikatoka nje haraka na kuondoka zangu nyumbani nilipanda bajaji na baada ya muda nilifika nyumbani nilimkuta Anna na mamdogo wote wapo mezani nilimsalimia mamdogo kisha nilielekea chumbani kwangu kwanza kabisa huwa silagi pamoja nao mezani hiyo ni sheria iliyopo niliingia chumbani nikaoga na kisha nilipo maliza nilivaa nguo na kutoka kuenda kuchukua chakula changu huwa nakula jikoni na mamy nilikuta mamy akaniandalia tayari nilimsalimia na kisha nilikaa na kuanza kula aliniambia

"Judith unajua kesho jioni tunapaty hapa nyumbani"

"Hapana mamy ni paty ya nini?

" Mamaenu anaenda kuwa tambulisha kwa baba yenu mdogo ambae wanaenda kuchumbiana hivi karibuni"

"Weeeh kumbe basi itakuwa raha sana"

"Ndio"

"Kumbe mamdogo bado anapenda?

"Hahahaaa anapenda ndio kwanini asipende bado umli unadai mbona"

"Kumbe haya tusubili kesho"

Tulifurahi kusikia tulicheka na kufurahi kisha nilikula chakula na baada ya kumaliza nilimshukuru mamy nibibi anae nipenda sana mimi kisha nilimuaga ili nikapumzike mamy aliniambia

"Kisha utanitolea nguo zako chafu"

"Sawa mamy"

Nilipita sebreni mamdogo aliponiona aliniita nikamfuata akaniambia

"Kesho naomba usitoke tutakuwa natafrija ndogo hapa nyumbani ok"

"Sawa mama"

"Unaweza kwenda chumbani kwako sasa"

Niliondoka na kwenda chumbani kwangu na kumuacha mamdogo na Anna hapo nilipofika nilipanda kitandani na kushika madafutari yangu nikipitia pitia nilicho fundishwa shule leo nilijisomea hadi mida ya saa nne usiku nikaona nijipumzishe nililala hadi palipokucha tena siku ya weekend ilikuwa jumamosi niliamka na kisha nilioga na kubadili nguo zangu nikakusanya nguo zangu chafu zoote kisha nikaziweka kwenye tenga la nguo chafu nilipomaliza nilitoka na kwenda jikoni nilimkuta mamy na madada wa kazi wawili nilimsalimia mamy kisha nikamuambia

"Mamy nikusaidie kazi gani niambie"

"Wewe leo hatuna kazi yako yeyote nenda chumbani kwako kajiandae na tafrija nguo zako viatu na urembo utakao tumia kujiremba"

"Mamy jamani muda mbona bado nitajiandaa tuu usijali wewe niambie nikusaidie nini bwana"

"Hapana hatuna kazi zako hapa wewe twende nikupeleke pia nikakusaidie kujiandaa"

"Jamani mamy"

Alinishika na kunipeleka chumbani tulipofika akaanza kunichagulia nguo za kuvaa kwenye sherehe usiku na kuniandalia viatu nilikuwa nacheka tuu nikamuambia

"Yaani unavyonifanya kama mtoto mdogo bado lakini nikwambia sasa nimekuwa tayari mkubwa bwana hembu njoo nikukumbatie hapa"

Niliinuka na kumkumbatia mamy kisha aliniambia

"Basi ngoja nikuletee kifungua kinywa na baada ya kupata kifungua kinywa upumzike sawa Judith "

"Sawa mamy nimekuelewa"

Mamy aliondoka na kuniacha nilikuwa nimeduwaa nikiwaza laiti asingekuwepo mamy aijui ningekuwa nahali gani mimi jamani maana mamaangu hayupo duniani sina baba mimi na hakuna anaenijali mimi zaidi ya bibi yangu ambae hayupo yupo mkowani yaani ninawakati mgumu sana kwenye nyumba nzuri yakifahari na yenye kirakitu pamoja nawafanyakazi wengi nililetewa breakfast nikanywa na baada ya hapo nilikuwa bise na mambo yangu tuu mwenyewe chumbani muda huo pekeangu masaa yalionga hatimae muda ulifika wa shuhuri wageni walianza kuingia marafiki wa mamdogo na ndugu walikuja wajomba na mama wakubwa na mashangazi wake za wajomba zangu waliingia sherehe iliandaliwa kwenye garden kulikuwa kumepambwa haswaa nilijiandaa pia nilivaa na kupendeza huwa sina damu mbaya katika kuvaa nguo hata nivae gunia huwa napendeza nilitoka chumbani kwangu na kuelekea eneo la tukio niliwaona Anna na marafiki zake pamoja na mamdogo alikuwa kavaa nae kapendeza kisha aliniita alipokuwa yeye na Anna kisha alituambia tuwe hapo pamoja tumekaa kisha baada ya muda niliona sura ngeni yaani walikuwa wageni ndio ninawaona kwa mara yakwanza ila walionekana ni watu wenye pesa haswaa kisha aliingia professor Travis nilibaki nimetoa macho na kushindwa kuelewa Travis kafuata nini sasa hapa nikiwa bado nipo kwenye mshangao hata Travis nae alionekana kapigwa bumbu wazi mamdogo alitoka na kwenda kumpokea Travis kwa kumbusu



Je unavyodhani nini kinaenda kutokea hapi jamani endelea kufuatilia .......


IN LOVE WITH MY PROFESSOR
Epsd 5.
Mtunzi ALICE
Mwandishi ALICE



Nilitoa macho kwa kumuona professor tena chaajabu mamdogo ndio anaenda kumpokea kama ndio mchumba mtarajiwa wake hivyo nae alipotizama kwa mbele akaniona mimi tena macho kwa macho alionyesha kutaharuki pia kisha mamdogo alichukua maic na kusema

"Haya sasa mabibi na mabwana naomba niwaambie kuwa yule mgeni wetu rasmi ambae ndio mchumba wangu mtarajiwa napenda kuwatangazia tayari amesha fika na yuko hapa nami naomba ajitambulishe yeye mwenyewe"

Mamdogo alikuwa anampa maic professor Travis ili ajitambulishe lakini Travis alitoka hapo na kuja hadi nilipokuwa mimk akanishika mkono na kutaka kuondoka namimi ila mimi nilikataa alinivuta lakini nilikuwa sitaki wakati huwo watu wote walitaharuki hawakuelewa kunanini kinaendelea mamdogo nae alipigwa mshangao kwakile alichokuwa anakifanya professor hivyo Travis aliamua kuninyanyua hadi nje alifika kwenye gari lake na kufungua mlango kisha aliniingiza kwenyegari akaingia nayeye na kuwasha gari alilitoa gari kwa kasi hapo alipokuwa anaenda sikuelewa ananipeleka wapi na hapo tulivyo waacha watu wote hadi mamdogo walikuwa katika taharuki mamdogo alikasirika na sana hadi alikuwa kama kuchanganyikiwa ndugu walimchukua na kumuingiza ndani wakimtuliza ili alale kidogo ndugu wa Travis nao waliaga na kuondoka tena kwa aibu sana na wageni wengine pia waliamua kuondoka na sisi tulienda mpaka maeneo ya ufukweni mwa bahari kulikuwa na utulivu mkubwa ni kelele zamaji tuu ya bahari yanafoka mawimbi professor Travis alishuka kwenye gari na kuja upande wangu kufungua mlango njia nzima hatukuongea hata mala moja alipofungua mlango akanishusha na kuniambia

"Judith hujui tuu nimetoka koote na kuja hapa ili niongee nawewe pekeako sitaki mtu atuingilie unanielewa"

Nilibaki kimya mithiri ya mtu alie pigwa bumbuwazi yaani ninamawazo mengi sana nime changanyikiwa aliendelea kuniambia

"Nielewe mimi ninakupenda wewe tuu yaani wewe pekeako tafadhari nielewe Judith eeh! Mbona huongei kitu tafadhari niambie?

Nilikuwa bado kimya professor alinishika na kunitikisa huku akiniambia

"Judith umenielewa?

Ndipo niliposhtuka na kuanza kutokwa machozi nikimuuliza

"Travis umeamua kunichanganya na mamaangu mdogo sio?

"Kwanini nifanye hivyo sijawahi kuwa na uhusiano na mamaako mdogo mimi"

"Kumbe pale kile kilicho tambulishwa na mamdogo ni nini na kwanini upewe wewe maic kingine ulikuja kama nani pale nyumbani kwetu yaani ooooh mungu wangu"

Nilipiga kelele kwanguvu yaani nilihisi damu yangu inachemka kwa kasi sana nilihisi kuchanganyikiwa kwakweli kisha niliinika na kumuambia

"Naomba kaa mbali namimi alafu jifanye kama hatukuwahi kuwa na uhusiano wowote mimi nawewe yaani hatujuani kabisa wewe pita kushoto na mimi nipite kulia naondoka sasa usiniambie kitu kingine"

Niliinuka na Travis alinikimbilia na kunivuta na kunikumbatia kwanguvu huku akiniambia

"Judith sijawahi kuhisi hisia hizi nilizo nazo kwako na ninakupenda kweli sijui nikuambieje ili unielewe"

Nilimsukuma aniachie huku nikilia nililia sana huku nikimuambia

"Niachie niachie tafadhari niende mimi professor Travis kaa mbali unaniharibia maisha yangu mwenzio"

"Siwezi kukuachia siwezi kabisa Judith naomba nisikilize...... mimi pia nimepitia kwenye kipindi kigumu mno hadi niliamua kufuata ndoto zangu lakini yoote ya yote ni familia yangu mpenzi wangu"

"Familia yako imefanya nini eeh?

"Mimi nimtoto wa mwisho katika familia ya mzee Joseph mkusa ambaye ni tajiri sana nililelewa vizuri na nilipewa kilakitu nilichokuwa nakitaka hata shule sikusomea hapa babaangu alikutana na mamaako mdogo katika biashara zao nikiwa bado sijarudi masomoni nje ya nchi hivyo baba alitokea kumpenda sana mamaako mdogo kwa vile alivyo mchapakazi mtafutaji na anajituma sana hivyo alimpendekeza kumuozesha kwangu ili tuweze kushirikiana hata kwenye biashara aliniambia nikiwa nje ya nchi huko niwahi kurudi ameniandalia mchumba nilikuwa simjui kabisa hata mchumba mwenyewe ndio alianikutanisha nae niliporudi sikumpenda hakuugusa moyo wangu na nilimuambia baba lakini mamaako mdogo ndio alikuwa haelewi kabisa kuhusu hilo ninakosa gani mimi hapo Judith?

"Je kama humtaki ulifuata nini kwenye ule utambulisho ulio kuja kutambulishwa eeh?


Je unataka kujua nini kitatokea eeeh?
Endelea kufuatilia.....


Soma Kitabu

SOMA MAELEKEZO

Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote