Follow Channel

JAMANI BOSS USIWEKE 🫣

book cover og

Utangulizi

JAMANI BOSS USIWEKE🫣

MTUNZI; BABY SMILE

EP 1.
Mungu wangu mimi mtoto wa marehemu🙆, nitamjibu nini huyu kiumbe wake alomuumba akasahau kumwekea bandama jamani, si ndo kazi sina jamani, mmmh emi ngoja ivi sinina vitunguu ndani sasa hapa inabidi tu leo nikampange boss,vinginevyo hii satatu lazima atanifukuza...

Naitwa Leonia Jonh, nina miaka 20 tu, kazi yangu mimi ni mtaalam wa computer nilisomea computer toka chekechea, computer kwangu hakuna kinachonishinda nikiishika kila kitu kinakaa sana, japo wengi waligoma kuniajili kwa sababu ya utoto wangu waliamini mimi siwezi ila hii kiumbe ya Mungu isiyonabandama, CEO phillip mkorea sio mwafrica, aliniamini bila ata kunitest nikaajiliwa, sasa leo mwenzenu nimechelewa na uyu jamaa na muda ni kitu muhimu mno yani huwa hata ukichelewa dk 1 kazini huna kazi 😭...

Nilipiga hesabu nikajitilia vitunguu machoni, make machozi yaligoma kabisa kutoka, ata nilipowakumbuka marehemu mama angu na baba angu, bado hayakuonesha kabisa ushilikiano nikaona yanini kupoteza muda zaidi kuna vitunguu na unga wa pilipili, bibi yangu alinitizama tu, hakutaka kuingilia na huyu ndie mlezi wangu toka niachwe na wazazi wangu nikiwa na miaka 5...

Niliumia lakini nilijikaza, ile kazi kwangu ilikuwa muhimu mno, nilivyomaliza nikanyooka mpaka kazini, tena nilikodi toyo nikamuomba akifika kazini anishike mkono mpaka ofisin kwa BOSS, upande wa pili BOSS, alikuwa hana amani kabisa, alikuwa anazunguka kila kona akiniangaza kwa kuibia watu wasijue, alitamani kunipigia lakini akahofia, Amir secretary wake binafsi alimuinea huruma alijua ni mapenzi yanamtesa boss wake, na hataki kukubali, sasa ngoja aipate...

Nimefika kazini, nimeshikwa,BOSS akatoka akiwa na jaziba ata kabla sijafika ofisin kwake,alikuwa kafula kwa hasila, mpaka nikaanza kumuogopa, muda huo kwenye poch nimebeba kabisa dawa za maumivu na kuzuia homa, " ni ujinga gani unaniletea kazini, umechoka kazi sasa unaleta tu mpaka bwana zako kwenye kampuni yangu? 😭 CEO sio hivyo CEO mama angu mimi mama angu jamani, anaumwa sana kijijini, yuko mahututi hata kuongea hawezi kabisa, naomba tafadhali nikamuone ata kama ni kwa mala ya mwisho angalau nimuone mama angu,niliongea huku nimepiga goti nalia kwa huzuni na toyo nae akawa ananisaport, nakunimbembeleza...

" Ingia kwenye gari twende kwa mama ako, nyie nilitoa macho kama mjusi kabanwa na mlango,nikajikaza faster, CEO haina haja naomba tu niende mwenyewe ni kijijini na mimi sio mzuli wa kukalili njia naweza kukupoteza na barabara, za kwenda kijijini kwetu ni mbovu mno kwa gari yako kama utaweza twende na basi lakini naomba kwa leo niende tu mimi, kama kuna zaidi nitakujulisha...

Nilimpanga akapangika, alichomoa minoti kama laki 8 ivi aisee yote nikakabiziwa, nilitamani kupaa nikajizuia, nikapokea nakushukulu adi magoti akaniinua akanipa no zake, mimi na toyo tukaondoka, nikampa toyo laki, nikabaki na laki 7, niliiga mahesabu,nikaona kabisa nikipanda toyo, ajali ikitokea na hizi dhambi zangu 🤔 Mungu anaweza kunitumia mimi kama mfano🤔 , sasa kwa usalama wangu acha nitembee tu hii pesa yote leo naenda kuinunulia magodolo nipeleke kwa yatima wenzangu kwanza na nyingine leo tule pilau ata kama halina nyama ili magodogo yatoshe hiki kituo naona magodoro yao yameisha sana wapate mapya...

Niliongeza na akiba yangu, nikachukua magodoro hali yangu ikaanza kubadilika nikakumbuka sijameaa dawa, nilimeza halaka ili Mungu asipate kabisa mwanya wakinichukua Bibi aliniambia toka nikiwa mdogo ukifanya tu zangu Mungu anakutumia kama mfano, anakuua,hivyo sitakiwi kufanya zambi nisije nikapotea milele kama wazazi wangu...

Sasa leo nimemdanganya boss, apa naenda kupeleka kwa yatima ili nipunguze makosa yangu, sitaki kupotea milele,nilihemea nikakosi bajaji tukaenda nayo, niliomba itembwe mwendo wa mgonjwa,tumefika watoto wote wananijua yani hapa najulikama na pesa, hii ndio sehemu yangu pendwa my favorite place, yani nikiwa na tatizo, furaha , huzuni, hapa ndo sehemu pekee utanikuta, hii kwangu naichukulia kama familia yangu...

Wakati nikiwa pale tunacheza na watoto wananimwagia maji na mimi nawamwagia apo tumeloana vibaya mno, na pilau letu tumeshakula,ghafla wakati nageuka tu ivi uki naluka luka namwagia watoto maji si nikamuona BOSS mbele yangu tena kaganda kabisa ananitizama nyie nyie leo mimi 😭..
Kupata mwendelezo bonyeza link hii hapo juu au chini ukasome yote hadi mwisho kwa buku tu...

Itaendelea....💥

JAMANI BOSS USIWEKE🫣
MTUNZI; BABY SMILE

EP 2.
Nilitetemeka nikawaza, apa sina kazi muda huo yeye kaganda alikuwa na mwenzake, mimi nimeloa chuchu na umbo limejichola vibaya mno, Boss alivyoona na wengine wananitizama alipata hasila akaja kunipa mkoti afu akatoka bila kusema chochote adi wenzie wakamshangaa, mimi nae nikaona nimkimbilie kabla kibalua hakijaota nyasi,alivyoingia tu kwenye gari yake na mimi nikaingia...

" Leonia shukaaaa! , aliongea kwa hasila hadi nikaogopa lakini sikushuka nikamsogelea kuomba msamaa, uku nje wenzie na mlezi pia wakawa wanakuja alivyojua tu akalitoa gali mpaka pembeni ya mji, akasimamisha kimya kimya, Boss naomba unisamee nakuahidi sitoludia tena,niliogopa utanifukuza kazi na nilikuwa nimemiss kucheza na watoto, Boss alinitizama huku anasema " Leonia sikutegemea kama wewe nimuongo nilikuwa nakuamini aisee aliongea kwa uchungu mno, adi machozi...

Nilimsogelea akanisukuma nikamng'ang'ania,tena kwa kumkumbatia ile ziro distance afu mkoti sikufunga ni chuchu saa 6 zikawa zinamchoma tu mtoto wa watu, kidogo kidogo uvumilivu ukawa unamshinda, alijikaza sana, niligoma kumuachia mpaka anisamee, uku namwambia ukweli wote nilivyofanya, na ukweli kuwa sina ata hao wazazi, aliona asiponisamee kuna hatali ya kunikula, kitu ilikuwa ishasimama vibaya mno ila mimi ata sikushtuka kabisa...

Nilikuwa kawaida kabisa, sikuwa na hisia zozote, alivyonisamee tu nilimuachia kwa furaha nikamchum kwa kumshtukiza, akaganda mwenyewe, mimi furaha kama yote, nikamuahidi sitamdanganya tena,alinitizama kama mtu anaetamani kula chakula kitamu afu ni anamuda nacho kwa muda mlefu sana, mimi sikuelewa nikamsogelea tena nakumwambia,Boss kulikoni, alishtuka " Leonia usiende kusogelea wanaume ivi unatakiwa kuwa na distance nawanaume sawa?...

Mmh kwa nini si nao ni binadamu tu au wanashida gani 🤔, alinitizama sana afu akajibu " shida ipo, mfano mimi hapa kuwa kalibu na wewe kuna vitu vinatokea usijifanye huelewi, ukijifanya huelewi ujue kabisa nitakuelewesha kwa vitendo, make naona unaleta utoto utazani hujui kitu, aliongea huku anajiweka sawa, mimi ata nilikuwa sijamuelewa nikazidi kumuhoji maswali, lakini hakujibu zaidi aliingia kwenye gari akaniomba nipande aniludishe nyumbani nikavae vizuli....

Kusikia nyumbani ata sikuchelewa nilipanda faster, chezea usafili wa bule wewe, muda huo kumbe simu sina na ata sijui yani ukiwa single bwana kuna vitu ata havina dili aisee,nilianza kuongea Boss akawasha mziki wa kikorea tena kwa sauti ya juu, nikabaki kukodoa tu,tumefika mjini kati nikaanza kumwelekeza boss njia ya nyumbani kwetu, tumefika na yeye akashuka, Boss mbona unanifata🙄, " nahitaji kukukabizi kabisa kwa bibi yako, duh bibi tena akijua nimedanganya atanifinya uwiii,nilianza kumpaga boss ili aondoke tu, lakini hakukubali tena ajazidi kuwa mkali kweli...

Ikabidi twende tu, kufika bibi akatupokea,akamkalibisha Boss,mimi nikakimbia kwanza kubadilisha nguo bibi asione kumbe kashaona na nilisahau kuvua mkoti, bibi akawa ananisomea tu, nimeludi nakuta Boss bado yupo kabananishwa, alivyoona anatengenezewa kesi, akakubali tu ety yeye ni boss lakini pia nimchumba wangu, akaomba tu samahani nyingi nyingi mimi huku sina hili wala lile, nafika tu, nakuta mjumbe wa mtaa yuko nyumbani, Boss anatozwa faini na kishika uchumba, nikalopoka jamani uyo ni Boss wangu sio mwanaume wangu, Bibi aliinuka akanifinya wee uku ananiludisha chumbani...

" Mjinga wewe, unaweza ukadanganya bibi yako jambo kubwa kiasi hicho? Uyo Boss wake kashakili wewe unakataa nini? Nikashangaa boss kakili nini? Bibi akanikoa tena uku ananishushua, nikamkazia kabisa na uzuli ananijua vyema akahisi kweli huenda nasrma kweli, make ilibidi niseme tu nilichokifanya mpaka boss kunileta apa alikonitoa sikubakisha chochote,Bibi akasema basi ndo nishapokea kishika uchumba tayali, ngoja kwanza nikamalizane nao huko nije tuongee,usitoe hio miguu yako nje ya hiki chumba...

Nilikubali uku natafakali uchumba na boss, tena boss mwenyewe hana bandama, muda wote yuko serious kama mtegua mabom vitani, afu alivyomkubwa vile si na dude lake litakuwa kubwa jamani 🤔 nitaliweza mimi🙄...
Kupata full bonyeza link hii hapa juu au chini ukasome yote hadi mwisho...

Itaendelea....💥
JAMANI BOSS USIWEKE🫣

MTUNZI; BABY SMILE

EP 3.
Nilibaki nawaza au katafuta tu mbinu ya kunitoa kwenye kesi ya uongo kwa bibi🤔, niliwaza mpaka nikapitiwa usingizi, nimekuja kuamshwa na bibi saa 3 usiku tayali, nikaamka, naambiwa nikaage wageni, nilitoka nakuta mwenyekiti, na mzee jilani yetu na Boss, wengine niliwasalimia wakawa wananipa hongera ata sielewi hongera ya kusema uongo au 🤔, Boss kakaa tu kimya, walivyoondoka apo adi kula wamekula tena Bibi kachinja kabisa jogoo wake, na jike, na wapishi ni pili rafiki yangu na mama ake...

Niliambiwa nisindikize mwenzangu, nika🙄, mbona sielewi nikaamua kumtoa Boss, ata hakuwa anaongea ni kimya kimya tulivyofika kwenye gari, nilimtakia safali njema akaniuliza, " kwa nini hujibu sms zangu? Heee si ndo nikakumbuka ata simu yenyewe sina nimeiacha kituo cha kulelea watoto yatima,nilishika kichwa nakusema nimeiacha kule, alinitizama sana akasema " sawa shika hii kwa usiku wa leo, na usiifate hio simu mimi ndio nitaileta sasa kosea tena, unidanganye uone upande wangu wa pili...

Mmh Boss haina shida mimi huwa situmii simu usiku, nitasubili tu io kesho, " sikupi kwa ajili ya kutumia usiku, nakupa kwa ajili ya aram na nimeshai set, nataka uwahi kazini, sitaki kukwaruzana na wewe, chukua ikisaidie kukuamsha, mapema uwe ofcn vinginevyo jiandae kukaa nyumbani sitaki uzembe kazini", sawa boss nilijibu kwa unyonge, nikapokea kisimu chake na kuludi zangu ndani, ile nafika tu pili "eheee mwenzetu kulikoni kutuletea mzungu, mbona unakuja speed sana ata hujakutana na watoto wa farao, wakubuluze unadakia mbele moja kwa moja kanani...

Nilibaki tu namtolea macho mama ake alikuja, nakunipa hongela binti yangu umejua kutuheshimisha, nikawa nashangaa ivi si bibi nilimwambia ukweli mbona ni kama hawa wanajua kitu tofauti🤔, bibi alikuwa zake pembeni anakunywa juice tu, hata hana wasiwasi, aliniambia tu pakua chakula ule nina maongezi na wewe....

Nilipakua nikakuta na soda na kwetu soda ni mpaka kuwe na tukio sio ivi ivi cret la soda kuingia ndani kwetu,nilikula uku nawaza, nimemaliza tukasaidiana na pili kuosha vyombo usiku huo huo, kila nikitaka nimchimbe pili aniambie kinagaubaga, kuna tukio gani?, bibi anajipitisha mpaka vyombo vikaisha, bibi akawasindikiza mama pili na pili, alivyoludi sasa uyu mzee ...

Badala ya kunia maelezo yaliyonyooka akaanza kunifundisha langi za shanga, kazi ya shanga yani ananipa mafundisho ta ajabu ajabu tu nikawa simuelewi nasinzia tu, akawa ananifinya, bibi jamani tuongee kesho basi apa nimepigwa biti ba Boss nikichelewa kesho kazini Bibi mwenzio nitafukuzwa ivo, bibi alinitizama tu na kuniuliza kwanza umeshamuuliza mwenzio kama amefika salama?...

Alivyouliza tu ivo simu ya Boss nayo ikaita, nikaogoa kupokea, ikaita mpaka ikakata, make jina lilikuja My Heart, ilivyokata kwangu ikaita ya Bibi, aliitizama afu akapokea, Boss alimuomba bibi samahani anahitaji kuongea na mimi, Bibi akanipatia simu, " haloo Leonia, mbona nakupigia simu hupokea mpaka namsumbua bibi usiku wote huu? Boss kwani hii simu iliyoita kwa hili jina ni wewe ndie ulikuwa unapiga? Akajibu "ndio ebu ludisha simu ya bibi, nakupigia saivi upokee", sawa Boss...

Nilikata simu, akapiga tena kwa bibi akamshukulu afu akapiga kwangu, bibi akaondoka na kusema tutaongea kesho, Boss aliniuliza kama nimeongea na Bibi, nikajibu ndio nilikuwa naongea nae, lakini uyu mzee ata simuelewi anazeka vibaya jamani yani anayoniambia, ata kuelewa ni songombinde, mimi nataka kujua kwa nini napewa hongera na kwa nini kuna wageni leo walikuja ila sasa, ata hanijibu yani...

Ananifundisha mambi ya watu wazima tu,nikajishtukia ivi nalopoka vitu gani ivi kwa boss jamani mimi huu mdomo huu🙌, " viti gani ivo bibi anakufundisha,aliongea kwa utulivu yani adi nikashangaa kumbe Boss kwenye simu waga unaongea vizuli hivi? " Leonia ivi unaonaje nje na ofcn uniite jina jingine , sio kila muda Boss, Boss na vipi sauti yangu kwenye simu inakuvutis sana?"...

Mmh apo Boss kipengele, nikianza kukuita jiba lako, sichekewi kujichanganya kazini pia naweza nikajisahau, hivyo bola tu tuendekee na hii hii Boss, " tumia jina langu phillip itatosha nimechoka kuitwa Boss, kila muda, sitokufukuza kazi kwa sababu ya jina, kwahiyo kuwa huru, nilikubali, aliniomba nipumzike sasa hivi iliniwahi kazini,maswali yangu nisubili keshokutwa nitakuwa off, nitumie huo muda kupata majibu ya maswali yangu, nilikubali japo kishingo upande....

Kulikucha, nikaamshwa na simu, nilikimbia kuoga nikavaa zangu nikamuaga bibi, huyo nikatoka nafika nje nakuta gari ya Boss, nikapewa lift, mpaka kazini, kufika kila mtu macho kwangu, ata sikuwa naogopa nilichukulia tu kawaida, muda wa chai niliagizwa na boss nimpelekee chai mimi mwenyewe alipiga kile kisimu,nilienda kumchukulia nikapeleka, kufika akaomba nimsaidie kitu kwenye laptop yake, nilienda kumlekeza nikainama akaja kwa nyuma yangu, kuangalia maelekezo...

Ila nikawa nahisi mtekenyo wa pumzi zake shingoni kwangu, na alibadilika akawa haongei anagugumia tu, nikahisi hatuelewani, ni kama hayuko sawa, nikamuomba nilekebishe mwenyewe, lakini hakunipisha nikama vile hakusia nilichokisema...
Kupata mwendelezo wite full hadi mwisho bonyeza link hii hapo juu au chini ukasome yote hadi mwisho kwa buku tu...

Itaendelea...💥
JAMANI BOSS USIWEKE🫣

MTUNZI; BABY SMILE

EP 4.
Niliamua kugeuka kidogo nidondoke alinidaka, akanikumbatia, huku anaomba " leonia naomba utulie kidogo tu mama, aliongea kwa upole adi nikashangaa huyu ndo yule yule ninaemjua ama 🤔,nilitulia tuli ila kuna kihali flani cha pumzi shingoni kwangu kilikuwa kinanisumbua nasikia kutekenyeka kabisa,nilijikaza nikashindwa ikabidi nimwambie, Boss unanitekenya shingoni, ila nikajishangaa sauti niliyotoa, ni laini na ya upole mno sio kawaida yangu, ndio ninasauti nzuli sana, ila kali na naongea kama chiliku, cha ajabu apa nineongea kistarabu mno, adi mwenyewe nikajishtukia,Boss yeye akatoa kisauti cha kuunguruma, cha besi nzito ikazidi kunipa mtekenyo adi nijaanza kuninyonga nyonga...

Boss alivyoona hivyo aliamua kujikaza akanisogeza kwenye sofa nikae, akanichukulia maji ya baridi nitulize joto, na kimuhemuhe kidogo ilinisaidia, alivyoina nimetulia akaniomba tunywe wote chai,kwanza akafunga mlango kisha akaja, muda huo nilianza kupata uoga, kikomba ni kimoja Boss tutakunywaje wote? Mimi ngoja tu niende nina ya kwangu kule nikanywe, " usija Leonia hii moja tunaweza kushare hakuba tatizo, nilishtuka nishee na Boss🙄, muda huo anaongea uku ananisogezea kikombe mdomoni, nilikunya akanya na yeye...

Nilibaki kustaajabu, tulishea chai mpaka ilivyoisha, akaniluhusu sasa naweza nikaendelea na kazi,nilitoka nijapishana na secretary Amir,alivyoniona alitabasamu ajanichangamkia na kuniita shem, nikashangaa shem?...

Amir Alitabasamu tu akujibu, akafungua zake mlango akaingia, kafika kakuta mshijaji wake kapoa anamawazo, Naona shem katoka kukupet pet, kakini ajabu huonishi kuwa na furaha kulikoni?..

" Amir rafiki yangu, uyu shemeji yako anazidi kunichangnya,ila nafikili kuna haja ya mimi pia kuongea nae kwa upana, nisimuachie kila kitu bibi yake, " wazo zuli, jiamini" , lakini sijui kwa nini nimempenda, "bado anautoto mwingi sana, na mimi kwa sasa namhitaji apa ili kazi ziende aghalau aje kukaa mbele yangu awepo tu jilani na mimi,lakini nitaanzia wapi kumwambia, asije akapayuka tukaabika, namuona anautoto mwingi, natamani kabadilike angalau kwenye hili, anielewe😭, sina uhakika kama kataelewa sijui huu moyo unanitakia nini mimi, nimejitahidi kujizuia nimeshindwa Amir,nimeamua kufanya maamuzi ya moyo wangu, nitamuoa niwe na amani....

" Bro nakuelewa sana, ila shemu hana shida kubwa, tatizo tu ni utoto, na unaweza kuuzibiti mbona, ni lahisi huyo ukimpa mala moja tu atapanuka akili mpaka utashangaa, ataanza kubehave kama mtu mzima, inaonekana hajaingizwa ukubwani ndio maana, 🙄 " Amir unaongea vitu gani? Uyo uko uswahilini kwake uko awe ajaguswa sio kweli ni akili yake tu, kwa jinsi alivyo awezi kuwa bado bro, ebu kwanza tuachane na hii mada inazidi kunivuluga tu...
Kupata full bonyeza link hii hapa chii au juu ukasome yote hadi mwisho...

Itaendelea....💥
JAMANI BOSS USIWEKE🫣

MTUNZI; BABY SMILE

EP 5.
" Unavyomzania mimi nazani sivyo, ngoja tujipe muda ila jalibu hilo wazo langu kwanza tuone matokeo, Boss akujibu kitu akaendelea na kazi zake tu, Amir akaamua kumuacha ajitafakali, upande wangu nilikuwa nafanya kazi uku naimba, naivi ofc yangu niko peke yangu, wengine walikataa napiga sana kelele, bila mdundo mimi kazi sifanyi ata, ila wakati nafanya kazi mawazo ya pumzi za boss yakaanza kunisumbua....

Nikajikuta natamani ata bola angeendelea tu kidogo, wakati nawaza kumbe Boss, uvumilivu umemshinda akaja ofcn kwangu, kagonga kimya akaingia, kakuta nimekas kihasala hasala tu, afu nimepotelea kwenye mawazo,alisogea mpaka nilipo, akanishushia kauni ili kufunika mapaja, ile tu kunishika nikama tulipigwa shot adi nikashtuka, kwenye mshituko, tukajikuta midomo imekutana...

Boss alishindwa kusubili akaanza kunideep kiss, niligeuka juice kwa muda, na mimi sijui ata ilikuwaje nikawa tu nakubali, nasikia raha mno yani,nikawa nafurahi tu tena nikasogega kalibu vizuli aendekee,wakati tunaendelea, kumbe Amir alikuwa anamtafuta Boss kuna dharula, alivyomkosa ofcn kwake alijua tu lazima atakuwa kwangu...

Alifika akagonga ndo tukashtuka kila mtu kivyake, macho yameiva yani tuko nyang'anyang'a, mimi nina jicho zuli mno hasa likilegea, Boss alivyoniona alifumba macho akanikumbatia nakuniomba, nisamee nimewahi sana, lakini hapa sio sehemu sahihi kwa sasa vumilia kidogo nikutoe apa mamaa,najua hauko sawa ila naomba ufunge ofc yako mtu yeyote asiingie kama huwezi kufanya hivyi naomba tuondoke wote ukakae ofcn kwangu, alishajua Amir ndie anaegonga kwasababu aliita kwa sauti ili Boss asikie asipuuze...

Ila hali yangu haikuwa njema jamani, mbaya zaidi, aliongelea sikioni kile kijoto cha sauti chote kikapita na mimi,nikawa siwezi hata kuongea nimelainika vibaya mno, Boss kuona ivo aliniomba tutoke wote tu, nikakataa kwa kichwa, alinitizama kwa mala ya kwanza nikamuonea aibu, nikashusha jicho, huwa sina hio kawaida kabisa ni kavu kavunila leo sijui nini tu kimenikuta namuonea aibu Boss mno...

Alinisisitiza basi nifunge ofc ila suluali yaje mbele ilikuwa inetuna imegoma kutulia, alichukua faili mezani kwangu akajifunika,alivyofika mlangoni akageuka kunitizama kwa huruma na uchu, kisha akafungua mlango,na kuuliza kuna nini, alipewa taarifa wanatakiwa kuondoka, alihofia nikibaki ofcn, mfanyakazi wa kiume anaweza ingia na jinsi nilivyo nikampa utamu, aliganda kuwaza mpaka Amir akamshtua kulikoni?...

Alisema tu " ili nikafanye kazi kwa amani uyu Leonia lazima nimludishe kwao saivi, kubaki hapa ni hatali, Amir hakuelewa akakubali tu, Boss aliludi na kuniambia ninyanyuke kuna mahaki twende sasa hivi, sikukataa nilisimama ila miguu haikuwa na nguvu nikawa kama mlevi, alitaka kunibeba nikakataa akalazimisha nikamuomba nitembee, jinsi nilivyokuwa naongea, akajikuta anakuwa dhaifu tu na anakubali...

Nilitoka peke yangu baada ya kujimwagia maji mpaka kwenye gari ya Boss, kuna wafanyakazi niliwapita, mpaka wakashangaa sio kawaida yangu kumpita mtu bila kumsemesha, wakahisi huenda naumwa ama ninatatizo la kifamilia linanisumbua,niliingia kwenye gari mpole, Boss aliingia pia nyuma dereva akawa Amir, Boss alinilaza mapajani kwake akawa ananipapasa kichwani, nikawa nasikia raha tu mpaka nikapitiwa usingizi..

Tumefika nyumbani ndo akaniamsha, akanipeleka mpaka ndani nakunikabizi kwa bibi huku akiomba nisitoke nyumbani, bibi alikubali, alivyotoka tu Boss, bibi akaingia chumbani akanitizama afu akaanza kuongea, tayali mmeshaanza michezo michafu, nikashtuka bibi nini? Bibi hakujibu kitu, alimpigia pale pale simu Boss akamwambia jioni afike nyumbani na mahali, sijui alijibuje, nilinyanyuka kwa msgangao, Bibi unakosea hatuna mahusiano, " huoni aibu kunidanganya mtu mzima haya umeivishwa nini kama sio kuchezeana uko?, niliona aibu bibi anavyoongea jamani...

Alitoka chumbani akaja na shanga nzuli zinavutia mno, alinivalisha nilipendeza mno,aliniletea na zingine, na kuna zingine zilikuwa na maneno magumu jamani nikawa nazionea aibu ata kuzishika, bibi akanambia sitakiwi kuzionea aibu akati tayali nimeshasnza kumluhusu boss wangu kunichezea,nilijitetea lakini haikusaidia, nilianza kupewa maneno ya wakubwa ata sikuwa nazingatia kabisa...

Jioni ilivyofika Boss alikuja na mzee mmoja, nilimuona nae kule kituo cha kulelea watoto yatima,niliwakalibisha, muda huo tulikuwa jikoni bibi na mama pili wanapika, niliambiwa nikaoge halaka, nilioga nikaja kuitwa na bibi, nikaenda sebleni, nakuta bibi, mwenyekiti, yani kifupi timu, nikaambiwa tayali nimeshatokewa mahali na boss wangu, wameipokea, sasa nitaishi chini ya sheria na uangalizi wa Boss, nilishtuka Boss nikataka kuongea jicho la bibi jicho, nilikaa tu kimya...

Walivyoondoka tu wengine, Boss akaniomba ety niende nae ili akanitambulishe kwa Bibi yake, bibi aligoma ni usiku sana tuende kesho, Boss alitoa maelezo mpaka bibi akamluhusu,nilitoka tulipanda gari togauti na Amir na yuke mzee aliemtambulisha kama bamdogo wake, Boss alinipeleka nyumba moja ivi nzuli tuliingia ndani nyumba ilikuwa kimya ni mbwa tu na mlinzi ndo waliokuwepo, tulivyofika ndani alinitizama sana muda huo tupo kwenye sofa, akanisogelea nikaanza kuludi nyuma, mwisho nikadondoka kwenye sofa na Boss akaja kwa juu...
Kupata mwendelezo bonyeza link hii hapa juu au chini ukasome yote hadi mwisho...

Itaendelea.....💥


Soma Kitabu

SOMA MAELEKEZO

Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote