KISURA WA DAMPO

book cover og

Utangulizi

NILIZALIWA NA KICHAA NIKAZAA NA CEO..
Kama ilivyo hakuna mtu ambae aliandika barua kuwa akija dunian azaliwe na mzaz wa aina gani, ndivyo ambavyo hata mimi sikujua kama nitazaliwa na mama kichaa..

Kuna wakati nilikuwa namlaumu mungu kwa kujikuta jalalan kuanzia nazaliwa ila baadae nilikuja kujua kila kitu tunachokipitia maishan kiwe kizuri au kibaya hatuna budi kusema assnte mungu.. ..

Huenda nisingekuwa na mama kichaa leo hii wanangu wasingekuwa na baba billionea, ni baada ya mama yangu kuniokoa wakati nataka kubakwa na vijana wa puuzi, wale vijana wakampiga sana mama yangu mpaka akapoteza fahamu, katika harakat za kutafuta msaada nikajikuta nimeangukia katika chumba cha tajiri mmoja ambae ndio alinitoa usichana wangu na kumbe nilitoka na mimba...
Ingawa mama yangu alifariki ila Mungu hakuwa mchoyo kwangu maana alinitengenezea nguzo nyingine imara zaidi kwenye maisha yangu ambayo sikuwah kutegemea kama ingewezekana...
Unataka kujua ilikuwaje usikose mkasa huu wa kusisimua wa KISURA WA DAMPO( nilizaliwa na kichaa nikazaa na ceo)

KISURA WA DAMPO 1
(nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo)
HUSQER BALTAZAR
Maisha ni fumbo ambalo hakuna binaadamu hata mmoja ambae alishawah kufikiria kama ataweza kulifumbua, kwa maisha ambayo nilikuwa naishi ni dhahiri nilijua kuwa maisha yangu yote nitakuwa ni mtoto wa mtaani maana nimezaliwa mtaani, kwa maana mama yangu alikuwa ni kichaa kabisa, maana kuanzia amenizaa sijawah kumsikia hata mara moja akipongea zaidi ya kucheka cheka tu, yaan kuna muda nahisi kama alibakwa na baada ya kubakwa akapewa mimba yangu, hivyo kuanzia Napata akili nilikuwa mtaani tu, nililelewa na mtaa. Na hata chakula ambacho nilikuwa nakula kila siku ni mipango ya mungu na huruma za watu, maana mama yangu alikuwa ananiletea vyakula vilivyuooza, na mara kadhaa nilikuwa nakula na sijawah kuumwa hata mara moja, yaan ingawa sikuwa nakula vizuri wala kulala vizuri iola sikuwah kuumwa hata malaria ya kusingiziwa, na siku zote namshkuru mungu kwa hilo….
Nilipoanza kukuwa nilitaman sana kwenda shule, ila mama yangu hakuwa anataka niwe mbali nae hata kwa bahati mbaya, na mara kadhaa nilipata wasamaria wema ambao walinipeleka shule ila mama yangu alikuwa anatafuta nilipo kisha anaenda kuleta vurugu mpaka nikawa naacha shule, na kuna baadhi ya watoto wakawa wananicheka kwa kuwa na mama kichaa, na kusahau kuwa mimi sijawah kuchagua hatma yangu hata mara moja, ila mungu mwenyewe ndio ambae alinichagulia hatma kama hii, maana hakuna binaadamu hata mmoja ambae anatuma barua dunian ya kuchagua azaliwe na wazaz wa aina gani, ila unajikuta tu umeshazaliwa…….
Basi nikaacha shule na sikuwa na namna yoyote ile zaidi ya kutembea na mama yangu kila ambapo anataka niende nae…
Nikakuwa nikaanza kuwa bint, kwa mara ya kwanza navunja ungo hata sikuwa najielewa, nikashangaa mama yangu anakuja nyuma yangu kisha akanifunika na salfet, kisha akaanza kunkichania makaratasi akitraka nivae, nikawa sielewi na nilipokuja kujiangalia nikaanza kuona damu, nilishtuka ila mama yangu ingawa alikuwa kichaa ila alinikumbatia kisha akataka kunivua nguo zangu ili anivishe yale makaratasi kama pedi zangu, ndio wasamaria wema wakaona jitihada zake za kunilinda wakanichukua kwa nguvu kisha wakaenda kunipa elimu na kuninunulia pedi na wakaninunulia na nguo, niliporudi kwa mama yanghu nikamkuta na mawazo sana, ila aliponiona akafurah sana kisha akanipa mkate ambao ulishaanza kutoa fungus, ili nile na anaonekana kuwa alikuwa ameniwekea mimi ili nije kula…
Sikukataa maana ndio vyakula ambavyo vimenilea wakati wote huo…
Basi maisha yakawa yanazidi kwenda, na nikaanza kunawiri ingawa sikuwa na matunzo, na umbo langu maridadi pamoja na kangozi nyororo kakaanza kuonekana, na vijana washenzi wakaanza kunisumbua, maana nilikuwa mrembo sio haba, ila mar azote mama yangu alikuwa ananilinda, maana aliamini kuwa natakiwa kuwa salama ingawa alikuwa kichaa ila alibaki kuwa mama bora sana kwangu…

Siku moja nikiwa na mama yangu, tulikuwa tumelala zetu nje ya jengo moja maana kulikuwa na mvua, tukawa tumejifunika na maboksi, kwaajili ya kujikinga na baridi, ndio nikashangaa anakuja mwanaume mmoja kisha akaanza kunipapasa, kiukweli nilijisikia vizuri sana, maana kuanzia nazaliwa sijawah kushikwa na mwanaume, kuna msisimko flani hivi niliupata, Yule mwanaume alipoona simzuii akaanza kunipapasa, na kiukweli sikuwa najua kama natakiwa kumpa ushirikiano au kufanya nini, na kama ni kumpa ushirikiano sikujuwa natakiwa kumpa ushirikiano wa namna gani…
Mama yangu sijui aliamka saa ngapi,m akaenda kuchukua gongo akamuweka la kichwa Yule mwanaume akaanguka chini, na nilipomuangalia vizuri nikagundua sio hawa vijana wenzetu wa mtaani, bali alikuwa amevaa vizuri sana, ni dhahiri alikuwa ni mwanaume ambae alikuwa anajiweza sana…
Na mara baada ya Yule kijana kuanguka tukashangaa wanakuja wanaume kama watatu hivi kisha wakaanza kumpiga mama yangu, wakampiga sana mpaka akapoteza fahamu, nilihisi kuchanganyikiwa, maana ndugu pekee ambae nilikuwa nae ni mama yangu, ingawa alikuwa hana akili ila alibaki kuwa nguzo yangu kuu…
Basi bana wakambeba Yule mtu wao kisha wakaondoka nae na kumuacha mama yangu akiwa chini amepoteza fahamu, nilihisi kuchanganyikiwa, sikujua kama natakiwa kupiga kelele au natakiwa kulia, nilihisi kuchanganyikiwa, na kila ambapo nikimtikisa mama yangu alikuwa hata hafumbui macho, nikaanza kulia bila kujua cha kufanya, nikiwa katika hali ya majonzi nikakumbuka jambo, kuna siku nilimsikia mtu mmoja akisema kuwa kuna mwana sheria kwenye jengo la PsP , hilo jengo ni jengo la kiserikali, ila kuna taasisi binafsi na taasisi za kiserikali humo humo ndani…

Na kwa uelewa wangu mdogo niliamin mwanasheria ndio mtu pekee ambae anaweza kutetea haki ya mama yangu, maana nilikuwa kama nimechanmganyikiwa, usiku huo huo nikaenda kwenye hilo jengo, ilikuwa kama saa saba usiku, na mlinzi aliponiona alinijua, maana hakuna mtu ambae anakaa maeneo yale asinijue mimi wala mama yangu, aliponiona akaniuliza nataka nini, nikamjibu kuwa nataka kuonana na mwanasheria ili akamsaidie mama yangu…
Alinambia kuwa muda umeenda sana na siwez kukutana nae kwa siku hio labda nijipe siku nyingine au nije kesho yake, kiukweli sikumuelewa kabisa, maana mama yangu yupo kwenye hali mbaya, alafu anakuja mtu ananiambia kuwa natakiwa nirudi kesho yake, nilimuona kama amechanganyikiwa, ingawa nilikuwa natakiwa kumuwahisha mama yangu hospital ila kiukweli sikuwa na hilo wazo kabisa, na kitu pekee ambacho kilikuwa kipo akilini mwangu, nikumuona mama yangu anaamka na mtu pekee ambae niliamini anaweza kumuamsha ni mwanasheria na sio daktar, sijui hata nilikuwa nawaza nini….
Nilipoona haelewi elewi, nikajifanya naondoka ila nikazunguka kwenye lile jengo kwa nyuma huku, ambapo nilikuwa natafuta namna nzuri ya kuingia ndani, nikaona kuna sehemu ukuta wake haujawekewa zile shpti, nikapanda haraka haraka kisha nikaruka ukuta, sasa hapo tatizo ni naingilia wapi, na je kwa usiku kama ule naweza kumkuta huyo mwanasheria kama ninavyowaza au ndio najisumbua tu…..
Nikaingia kwenye lile jengo, nikawa nashangaa shangaa tu, maana sikujua hata natakiwa kuingilia wapi, mara akaja kijana ambae alikuwa amevalia mavazi meusi, kwa maana kavaa suti, tai, viatu na saa nyeusi, na alikuwa amenuna huyo kama wale wanaodai madeni ya oya…
“ una shida gani binti, akaniuliza kwa sauti ya ukali kidogo..
“ nina shida na mwana sheria, nikajibu ila nilikuwa na wasiwasi sana, maana sikujua kama nay eye atanisaidia au atanitimua, akakaa kimya kwa takriban dakika moja kisha akasema “ sawa nitakupeleka kwa mwanasheria, ila kwa ssharti, hauwez kuonana nae ukiwa mchafu hivi, twende ukajiandae kisha utaenda kukutana nae, sikuwa na hiyana, basi nikamfata, nikaingia bafuni nikaoga, kisha nikaletewa gauni la penseli, yaan lilishika vyema hips zangu na viatu vya chini chini, nikapaka mafuta pale kisha nikaingizwa kwenye vhumba kimoja, ambapo nilipoingia nikakuta kama kimepembwa vizuri sana, kisha nikaambiwa kuna kinywaji natakiwa kunywa na baada ya hapo nikae nimsumbiri mwana sheria…
Sikubisha kweli nikaingia na kuanza kunywa kile kinywaji, nikawa nasikia kama kuna mtu bafuni anaoga na kwaakili zangu za kipuuzi nikajua huyo anaeoga labda ndio Yule mwanasheria, ila baada ya kunywa kile kinywaji nikaanza kusikia mwili wangu unasisimka balaa, sikuwah kulala na mwanaume kabla ila nikawa najikuta nataman kuguswa guswa, mara akatoka kijana akiwa anatiririka maji akiwa amevalia bukta akitoka bafuni, sijui nilipata wapi ujasiri wa kwenda kumvamia na kuanza kumpapasa…
NAKUJA….

KISURA WA DAMPO 2
(nilizaliwa na kichaa nikazaa na ceo)
HUSQER BALTAZAR
Yule kijana ni kama nay eye alikuwa na hamu zake, akaanza kunipapasa hips zangu, nikamuona mwamba anagugumia, hapo sielewi kama ndio zimepanda au ni vipi, kisha akaninyanyua juu juu kisha akaenda kunitupa kitandani, na baada ya hapo, akaanza kazi, kiukweli nilikuwa nasikia rah asana, ni raha ambayo sikuwah kuisikia kuanzia nazaliwa…

Alipoona nimeshalainika akaanza kupitisha mtalimbo wake taratibu katikati ya mapaja yangu, ulipofika sasa nikaanza kusikia maumivu kana kwamba nachanwa chanwa na viwembe, nikaanza kupiga kelele, ila hata hakujisumbua kuniziba mdomo, akawa amefunga macho anatetemeka kama anadegedege, huku anaongeza spidi bila kujal kama mimi naumia au laa…

Nikaanza kumsukuma maana nilihisi ananichana, aisee alinishika kwa nguvu kisha akaendelea zake, akiwa amefumba macho na anatetemeka vile vile bila kusema kitu zaidi yua kunguruma kama samba na kuendelea kupamp…

Nililia mpaka sauti ikakauka, nay eye alikuwa bado yuko juu, alikuwa kama kavurugwa vile, nilikuwa nimeshasahau kabisa kuhusu mama yangu, akawa anapamp kwa karibu nusu saa, alipomaliza akajityupa pemben yangu hapo shuka limejaa damu na vile mashuka yalikuwa meupe ndio kabisa…

Nikawa nalia pale bila msaada wowote ule, na alipoona kuwa nimelia sana akasogea pemben yangu klisha akanikumbatia kwa nyuma na kusema “ unaitwa nani?....
“ naitwa husqer nikajibu kwa sauti ya uoga uoga, akanikumbatia kwa nguvu sana kisha akasema “ wewe ni mtamu sana, unaishi wapi?...

Swali lake lilikuwa gumu sana kwangu, maana sikujua hata natakiwa kujibu nini, nikisema naishi majalalani sikujua kama ataniamin au laa, nikakaa kimya, nikashangaa mwamba anaanza kunipapasa kisha akasema “ nataka tena, naomba tena mamaa…

Nikaona hiki kizaa zaa, ni muda mfupi sana nimetoka kuchanwa chanwa alagfu mtu anaomba tena, nikaanza kulia na kusema “ mama yangu atakiufa naomba tukamsaidie mama yangu, akaniangalia kwa sekunde kadhaa kisha akanipiga picha ni kama akaituma sehemu kisha akarudi na kunikumbatia na akaanza kuniandaa…

“ nyie kuandaliwa ni raha, ila kufanya sasa ndio shughuli, akaniandaa kwa kartibu nusu saa mpaka nikaanza mwenyewe kuutaka, akaanza kusema “ najua bado una maumivu ila nashindwa kujiuzia mamaa, nashindwa kabisa kujiuzia nataman unipe kila saa, wakati wote huo mimi nikawa nipo kimya tu…
Mwisho akaanza kupitisha tena, kwa kuwa bado sikuwa nimepona kwenye maumivu ya kwanza basi hata na hapo nikaanza kuumia tena, akawa amelegeza macho kama vile anakaribia kukata roho, kisha akawa anahema haraka haraka kama anakimbizwa vile, sasa nikawa naumia, katika kumshika shima ndiuo nikagundua mgongoni anajeraha, na lilikuwa linamuuma, maana hata nilipomshika ni kama alishtuka ila hakuweza kuachia utamu..


“ nimechoka naumia, nikaanza kulalamika, ila nikama nilikuwa sisikiki, maana mwamba alikuwa tayar yupo kwenye sayari nyingine kabisa, nikamshika ile sehemu ambayo niliamin kuwa alikuwa anapata maumivu, nikasikia kasema tu ahhhhh, nimeumia ila nashindwa kuuchia utamu, nashindwa mamaaa, ahhhh nashindwa mimi siwez, niumize tu ila siwez kukuacha, ahhhh mamaaa wewe ni mtamu mpaka nahisi kuchanmganyikiwa, ashhhhh tamu ahhhhhh nakupenda sana….

Nikaona kama najisumbua na chakufanya ni kukaa na kutulia na kusubiri amalize, ila mwamba ni kama alikuwa amekunywa mkongo maana hakuwa anamaliza kabisa, yaan ni anaguna guna mwanzo mwisho…


Yaan hii mara hii sijui alienda kwa muda gani, maana nakuja kushtuka nashangaa tunasikia adhana ya asubuh, hapo mwamba bado yuko juu tu amejikaza kama anajizuia kujamba…

Alipomaliza akanibeba, sikujua ni kwanini kanibeba, kumbe alikuwa anajua kabisa kuwa sitaweza kutembea, maana aliniumiza sana, tumefika bafuni akafungulia maji ya moto kisha akaanza kunikanda, basi akanikanda pale kwa kadri ya uwezo wake, na baada ya kunikanda kanda, akaanza kuniogesha, akaanza kunisugua ila nilikuwa nahisi kama anataka tena,, nikama mwamba alishanogewa vile, nikamkwepa akacheka kisha akasema “ sijui ni kwanini kila nikikaa na wewe nakutaman, unaonaje kama ukiwa wangu….

“ nilishtuka sana, nikawa najiambia kuwa hawez kunipenda kwanza akijua mimi sijasoma nahata jina langu sijui kuliandika, na licha ya kutokusoma sina hata pa kukaa zaidi ya kukaa jalalani na mama yangu tu…
“ haunijui sasa kwanini unataka kunioa? Nikauliza maana niliona kama ananivuruga tu pale…
“ nimeshawah kutembea na wanawake kadhaa ila sijawah kukuta mwanamke mrembo kama wewe ambae hajawah kutumika, na licha ya hivyo hajawah pia kushikwa na mwanaume, na nimtamu, yaan najua wanaume wengine wangebahatika kuuonja huu utamu ambao naupata kwako, basi wasingekaa wakakuacha, na hakuna mtu ambae angeweza kunilaumu kwa mimi kukung’ang’ania, akasema….

“ nimekuja kumtafuta mwanasheria, kuna mtu kamuuwa mama yangu, nataka unisaidie, kama wema wa kunilipa kwa kitu ambacho umenifanyia, nikasema kwa sauti ya upole, maana niliamin kuwa mungu anasababu ya kunikutanisha nae, na huenda akawa msaada wangu wa kumsaidia mama yangu tu, na hata kama yeye sio mwana sheria ila anaonekana kama anapesa na huenda pesa zake zikanisaidia kumtafuta mwanasheria kwa ajili ya mama yangu…

Akaniangalia kwa sekunde kadhaa kisha akanambia “ nitakusaidia, ila kabla hata hajamaliza kuongea mara tukasikia mlango unagongwa kwa fujo kana kwamba kuna kitu kimefichwa mule ndani, Yule kijana hata hakuwa na wasiwasi, akanipa nguo nivae, kisha nay eye akavaa na baada ya kuvaa akatoka, na akaenda kufungua mlango, akaja mwana mama mtu mzima alikuwa anaonekana kama mama yake bvile kwa maana walikuwa wamefanana sana, pamoja na binti mwingine mweupe mwembamba….

“ tuambie umeenda kulala na nani, maana ulisema kuliko ulale na precious ni bora ukalale na kichaa haya tuambie huyo kichaa wa kulala nae umempata, maana nasikia ulienda kule, ila kabla hajamaliza, nikashangaa yile kijana kamziba mama yake mdomo, kisha akamsogeza mpaka nilipo, na kusema “ nambie mama yangu kuanzia umeanza kunileta wanawake warembo kunamwanamke ambae anamzidi huyu mwanamke wangu kwa uzuri?....

Mama yake pamoja na Yule binti wote wakatoa macho, Yule binti akaniangalia kwa jicho la chuki kisha kwa hasira akapondoka zake, ila Yule mwanamama aliponiona akanisogelea kisha akatabasamu na kusema “ unait5wa nani bint yangu…

Kwa sauti ya upole iliochanganyikana na uoga nikasem “ husqer…
Yule mama akatabasamu kisha akasema “ naomba umtunze mwanangu kisha akaondoka zake…
Tukabaki chumban mimi na Yule kijana na mpaka wakati huo sikuwa hata najua alikuwa anaitwa nani…
Akasogea nyuma yangu na kuanza kunikiss nyuma ya shingo nikaona hapa leo kazi ipo, njikajitoa na kusema “ nataka kwenda kumuona mama yangu..
Akaniangalia kwa huzun mpaka nikashangaa kisha akanikumbatia kwa nguvu zaidi na kusema ‘ hata kama mama yako asipokuwa hai nakuahidi kuwa mimi nitakuoa na kukufanya mwanamke wa thamani sana kwenye hii dunia, na utasahau shida zote ambazo umeshawah kuzipitia kwenye maisha yako….
Sikuwa namuelewa, ila akatoa card ya benk na kunikabidhi kisha akasema “ humo kuna million tano, naomba utumie, na namba ya siri ni 1994, nikachukua ile card kisha nikaondoka zangu, na kuamin kuwa zile pesa ambazo zipo zinaweza kumasaidia mama yangu na huenda zakanisaidia hata mimi kuepukana na yale maisha ambayo nilikuwa naishi, hivyo nikamuaga na akaniahidi kuwa atanitafuta niwe na amani kisha nikafungua mlango na kuanza kuondoka zangu………
NAKUJA……


KISURA WA DAMPO 3
(nilizaliwa na kichaa nikazaa na ceo)
HUSQER BALTAZAR
Sasa ile nimetoka tu nje ya ule mlango, na hapo ilikuwa ni tayar asubuh, nikakutana na Yule dada ambae alikuja na mama yake Yule kijana, ambae hata sikuw namjua jina lake kisha akaniambia “ najua una maisha magumu na umekuja hapa kuchukua pesa za mwanaume wangu, yaan wanawake wengine hata akili ya kujiongeza hawana, unavyoona kuwa huyu mwanaume anaweza kuwa na mwanamke mchafu na unaenuka dhiki kama wewe, mackmill ni wangu na daima atakuwa wangu kwenye maisha yangu yote, akasema kwa kijitapa…

Kiukweli sikutaka hata kubishana nae, nikaanza kuondoka zangu kimya kimya, ila alipoona nampuuza sijui ndio hasira zake zikampanda, akaanza kunitukana na kusema “ hizo pesa ambazo amekupa mac usifikirie kama zitakutoa kwenye umaskin wako…

Hata kama nilikuwa nina dhiki na shida kiasi gani, ila sikuwa nataka kabisa kudhalilishwa, aisee niliitu[pa ile kard ambayo yuule kijana ambae baadae nilikuja kujua anaitwa mackmill alinipa kisha nikaanza kuondoka huku machozi yakiwa yananitoka….

Nilienda mpaka nilipomuacha mama yangu, nikakuta watu wamemzunguka pale, nikasogea mpaka alipo, nikashangaa anatoa wadudu, aisee nilishangaa, hata kama nilikuwa sijasoma ila isingewezekana kwa masaa kadhaa tu ambayo nimeondoka ndio mama yangu aoze na atoe wadudu kama alivyokuwa wakati ule…

Kuna watu wakaanza kuhusisha tukio la mama yangu na imani za kishirikina, wengine wakawa wanasema ni kichaa huenda alikuwa na maradhi yake, yaan kila mtu akawa anasema jambo lake, kiukweli sikuwa na la klufanya zaidi ya kulia tu, yaan nimetoka kuliwa huko nikijua mama yangu nitamkuta salama, na badala yake nimemkuta kafa tena kaoza vibaya mno…


Nililia sana, mwisho watu wa manispaa wakaja na kumchukua kisha wakaenda kumzika kimanispaa maana hatukuwa na ndugu, jamaa wala rafiki kwa kipindi chote kile ambacho nilikuwa naishi na mama yangu pale jalalani…

Basi sikuona haja ya kuendelea kukaa pale pale mtaani, nikaona nihame kambi, nikaja kusikia kuna watoto wa mtaani ambao wanajifichaga kwenye lorry, nikataka na mimi wanifundishe, haikuwa kazi rahisi, ila niliingia kwenye moja ya mzigo , yaan niliingia kwe ye salfet kisha wakaja kunijazia majani kwa juu, na huyo ambae alikuwa anasafirisha alikuwa anasafirisha mchele, hivyo nikawa nimekaa na kama gunia la mchele kisha nikatoka mkoani mpanda mpaka jijini arusha…

Nilipohakikisha nimefika nikatafuta namna ya kutoka kisha nikaondoka zangu, na kwakuwa sikuwa na pa kuishi nikaishia kuwa naishi jalalani maana ndio maisha ambayo nilikuwa nimeyazoea, nilikuwa mrembo sana, na machokoraa wa eneo hilo wale wa kiume wengi ambao walikuwa wanalala pale samunge wakawa wananipenda maana ni kweli nilikuwa na sura nzuri na umbo flani hivi maridhawa, wakawa wanataka kunibaka mara kadhaa ila nikawa napambana nao…

Siku moja tumelala zetu kwenye yale maboksi pale pale samungee saa ngapi sungu sungu wasije kutudaka na kutupeleka ndani wakidai kuwa sisi ni wezi, yaan nilijisikia vibaya, maana kwenye maisha yangu yote nilikuwa nakula maembe yale yaliotupwa na makatiti, yaan sijawah kula chakula kinachoeleweka hata mara moja, na hapo sikuwah kuona siku zangu kwa miezi kama mitatu, na kwakuwa sikuwa na elimu sikujua kama nina mimba au ni hali ya kawaida tu…
NAKUJA….


KISURA WA DAMPO 4
(nilizaliwa na kichaa nikazaa na ceo)
HUSQER BALTAZAR

Basi hatukukaa sana sero tukatolewa ila wenzangu walipiogwa ila mimi niliachwa na nikamsikia mmoja wa maafande wa kike akisema, “ msimpige huyo ana mimba, ila watu wengine hata kujionea huruma hawajionei, yaan yeye mwenyewe hana hata pa kukaa ila anapanua tu…

Sikuwaelewa, ila tukatoka, ila wakati tunatoka kuna kijana alikuwa ni mtangazaji kwenye radio moja, ambae alikuwa anapambana sana kutetea haki za wasiojiweza, anaitwa nuhu suleyman, unaweza kumtafuta istagram ukampata, ni kijana ambae anapambana sana kutetea haki za watu, na alikuwa ni mtangazaji flani hivi bomba sana, alishawah kuwaahidi wenzangu kumbe siku moja atakuja kuwahoji na kulifikisha jambo letu dunian na huenda tukapata msaada ambao tulikuwa tunauhitaji……..

Akatuchukua na kutununulia mikate na juice, tulifurahi sana, maana ni mara chache sana tunakula vyakula visafi, kisha akakaa na sisi kisha akaanza kutuhoji, kuna mmoja wa kike ambae hakuwa ananipenda hjata kidogo maana alikuwa analalamika kuwa bwana ake alikuwa ananitaka bila hata kumjua huyo bwana ake ni nani, akaanza kusema…

“ najua watu wengi wanatuona sisi watoto wa mtaan kama hatuna maadili au hatuna adabu na kila siku mnatutuhumu kwa makosa ambayo mengine sio hata sisi ambayo tumeyafanya, ila naomba niwaambie watanzania kuwa, wengine tulizaliwa kwenye familia nzuri tu, ila siku zote wanaume tunawaomba muwekeze kwa wake zenu, maana siku moja mkija kutangulia mbele ya haki n I ndugu zenu wa chache sana ambao watamsaidia mke na watoto wako, hata kama wewe ukiwa umewasomesha na hizo kazi ambazo wanafanya umewatafutia wewe…

“ tulizaliwa wawili mimi pamoja na mdogo wangu, akasema Yule bint kisha akamuita yule mdogo wake na akaja mpaka walipo kisha akasema “ huyu hapa, na baba yangu alikuwa anafanya kazi bank mpoja hivi, ila nilipokuwa nina miaka saba na mdogo wangu akiwa na miaka minne, baba yangu alipata ajali, tena kwenye gari lake mwenyewe, aligongwa na lorry na kufariki hapo hapo, na hapo ndio maisha yetu yalibadilika, maana nilikuwa nasoma pale green valley na wakati huo nilikuwa darasa la pili, ila baada ya baba kufariki nikaacha kabisa shule, na ile miradi ambayp baba yangu aliifungua alifungua kwa majina ya ndugu zake, na hakuwa anamuamin kabisa mke wake, na hata nyumba ambayo tulikuwa tunaishi ilikuwa ina majina ya mdogo wake wa mwisho hivyo tukafukuzwa kama mbwa na mama yangu akawa anatulea, na kwa kuwa hakuwa na elimu, wala na ujuzi wowote ule wa biashara, akaamua kujiuza ambapo alipata ukimwi mimi nikiwa na miaka kumi na alipojua kuwa anaukimwi alikata tamaa na kukataa kutumia dawa mpaka alipofariki, na hapo ndio safari yetu ya kuwa watoto wa mitaani ikaanza….

Ingawa sikuwa nampenda huyu bint, ambae alikuwa anatoa historia yake, na alikuwa anaitwa Semeni ila nililia sana, maana kweli watoto wengi wa mtaan sio kama wanataka yale maisha ila hawana namna tu ya kuishi…

Yule mtangazaji alipoona nalia sana, akaniita na kutaka na mimi nije kutoa ushuhuda wangu, noilishindwa kuongea kwa karibu dakika kumi na tano nikawa nalia tu, maana kila nikikumbuka nimeuuza usichana wangu nikujua nitamsaidia mama yangu ila mwisho wa siku amefariki, na kila nikiwaza ile story ya semeni ndio kabisa machozi yalikataa kukauka kwenye macho yangu….

NAKUJA…..


MREMBO WA DAMPO 5
(nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo)
HUSQER BALTAZAR
Basi Yule kijana mtangazaji akanisubiri nilie mpaka uchungu wangu uishe kisha nikaanza kusimulia na mimi kuwa “ kiukweli mimi simjui baba yangu, ila mama yangu alibakwa sijui na nani, maana alikuwa kichaa, yaan Yule kichaa kabisa wa kuokota makopo, na sikuwah hata kumsikia akiongea zaidi ya kucheka cheka tu, kwa hio kuanzia nazaliwa nilijikuta ni mtoto wa mtaani, nililelewa na mama yangu kichaa, na alikuwa mkali huyo balaa, yaan mtu akinigusa anaweza kumlenga na mawe mpaka akashangaa, hivyo alinilea mwenyewe tu, mpaka nakuwa bint ambae mnaniona hivi sasa, ila nilizaliwa mpwapwa na sio arusha, nikaendelea kusimulia…

“ ilikuwaje mpaka ukafika arusha kutoka mpwapwa ? akaniuliza Yule mtangazaji….
“ siku moja nikiwa nimelala na mama yangu na siku hio kulikuwa na mvua, akaja mwanaume mmoja ambae sikuwa namfahamu na hakuwa chokoraa mwenzangu, maana alikuwa amevaa vizuri na alikuwa ananukia akataka kuniingilia, ndio mama yangu akampiga ili aniachie na watu wake wakampiga mama yangu mpaka akapoteza fahamu, nikawa kama nimechanganyikiwa, nikawa natafuta msaada wa mama yangu, nimekuja kurudi namkuta mama yangu anatoa wadudu na manispaa wakamchukua kwaajili ya kwenda kumzika, na sikuwa nataka kuendelea kukaa tena pale ndio nikapandishwa kwenye lorry na wenzangu kisha nikajikuta nipo mpanda, nikasema na Yule kijana akawa anaonekana kutuonea huruma sana yaan…

Basi akamuohoji kila mmoja na kumbe maisha yetu yalirushwa kwenye moja ya page ya mtu ila haikwenda sana na haikuonekana sana ila kumbe Yule bwana kaka ambae ni mackmill aliona na kumbe alikuwa ananitafuta kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote yale, na hapo nilikuwa nimeshajigundua kuwa nilikuwa na mimba, maana mtoto alishaanza kucheza tumbon na tumbo lilikuwa limeshakuwa kubwa tayar, na mtu yoyote Yule laiti akiniona ni dhahiri atajua kuwa nilikuwa ni mjamzito tena bila kujificha kabisa yaan…

Kumbe siku ile baada ya kutupa ile card ya benk, yule dada akaichukua, na haikuwa na million tano kama ambavyo niliambiwa, ilikuwa na zaidi ya million thelathin na Yule dada akaichukua ile card na alikuwa anaijua namba ya siri ya mackmill hivyo hakuteseka kutoa pesa na kutumia na akahama kabisa na sehemu, sasa kama tunavyojua pesa ikitolewa muhusika anatumiwa kiwango cha pesa kilichotolewa, hivyo akawa anatumia sms mara imetolewa million mbili, mara imetolewa million tano, mara imetolewa million tatu na mambo kama hayo……….

Sasa mackmill akajua kuwa nimechukua ile card na kwa matumizi ambayo nilikuwa nafanya akajua kuwa naishi maisha mazuri sana, kumbe ndio hivyo nilikuwa naishi maisha ya kuunga unga tu yaan, hayana mbele wala nyuma, ila akaja akaona ile interview, ingawa haikuwa na watu wengi ambao waliitazama, ila ni kama mungu tu alitaka mackmill aione , a;lishtuka sana kuniona na mimba, tena nmilikuwa kama chokoraa na wakati alinipa card yenye pesa nyingi sana….

Akaanza kusema kuwa anataka nitafutwe na anataka aelee mimba yake mwenyewe, hata hata mimi sina ninachoelewa kama natafutwa au laa, siku moja kulikuwa na mvua, na hata kama wale migambo walikuwa wanatujua ila walikuwa wanataka zile pesa zetu kidogo ambazo tulizipata baada ya kufanya kazi za kubeba mizigo na kusaidia watu mchana hivyo wakaanza kushika watu hovyo, na wakati huo nilikuwa naweka pesa ili angalau mwanangu apate nguo, ,maana sikuwa na pesa za kueleweka , wala sikuwa na uhakika wa kupata pesa za moja kwa moja…..
NAKUJA…


Soma Kitabu

SOMA MAELEKEZO

Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote