MAID WA MJEDA

book cover og

Utangulizi

MAID WA MJEDA
EP01.
MTUNZI;HUSQER BALTAZAR

"Niseme sina bahati,ama mambo hayajanyoka,ninayemtaka simpati,labda tatizo ni nyota, ama usela uselaa, nipunguze uselaa"

Sauti ya Jolly ikiimba, tena Kwa sauti na kudance,wakati nyama na maharage vikiungua jikoni ilisikika.
Huko nje uwanja wote ulitapakaa maji, hakuwa akikumbuka kama amefungulia bomba.
Kuku waliingia na kutoka kwa sababu alisahau kufunga mlango.

Jovin akiwa amechoka sababu ya safari alishtushwa na namna maji yalivyokuwa yanamwagika. Alitembea haraka akafunguka bomba.

Kitendo tu cha kuingia sebuleni alipokelewa na harufu ya nyama pamoja na maharage yakiungua.
Alikimbia haraka jikoni akazima jiko
Hewa ilikuwa nzito ilimlazimu afungue dirisha

"Niseme sina bahati,ama mambo hayajanyoka,ninayemtaka simpati,labda tatizo ni nyota, ama usela uselaa, nipunguze uselaa"
Sauti hii ilipenya masikioni mwake, alitembea tararibu mpaka kwenye mlango inakotokea sauti

Hakuona sababu ya kubisha hodi, aliamini mtoto mdogo ndio atakuwa katika hiki chumba Kwa sababu ya kisauti kilichosikika kama cha kitoto.

Alishangaa baada ya kukutana macho na Jolly, kitu kilichomshtua zaidi ni kuona kavaa shati lake....alimchungulia miguuni alifanikiwa kuziona raba zake.

"Naweza kujua wewe ni nani!...kwanini unaingia bila hodi vipi kama ungenikuta nipo uchi? Aunt Linda kawazoesha vibaya sana laiti hii ingekuwa nyumba yangu nisingeruhusu Wageni" Jolly aliongea huku akiweka miguu vizuri, bahati mbaya akaachia uchuzi ulimpita.

Si mtu wa kuona aibu, alisimama akitaka kujua Jovin ana shida gani.

"Nani kakupa ruhusa ya kuvaa hilo shati pamoja na hizo raba...." Jovin aliongea huku akimsogelea, alikuwa kakaza sura yake kuna namna alianza kumtisha Jolly

"Su...su...subiri, jikoni kuna vitu vinaungua" Jolly ndio kukumbuka aliondoka kwa speed ya 4G.
Machozi ya uchungu yalinza kumwagika baada ya kukuta nyama pamoja na maharage yote yamekuwa kama mkaa

"Mjinga mkubwa mie leo nitaongea nini kwa Aunt Linda!" Jolly alijilaumu asijue ni kitu gani anapaswa kufanya

Huko nje kuna muuza nyama huwa ana mshobokea kupita kiasi, alihitaji kujitoa sadaka siku ya leo apewe mboga.

"Oyaa toka ndani nifunge mlango, sielewi wewe ni fundi umeme au kibaka sikupewa taarifa yoyote kuhusu wewe...." Jolly aliongea akiwa kavurugwa

Ile anataka kwenda ndani akamtoe Jovin simu yake iliita

"Bila shaka Kaka yako atakuwa amefika hapo, muwekee nyama kwenye lile bakuli kubwa jeupe, na maharage pia mpatie kama atahitaji nipo njiani nakuja" Linda (Mama yake Jovin) aliongea akakata simu

Jolly alijihisi kuchanganyikiwa, alihitaji kuweka mambo sawa.
Alimfuata Jovin aliyekuwa sebuleni akinywa maji

Bila aibu alianguka chini akapiga magoti
"Kaka nimetoka mbali sana, kama nitafukuzwa kazi siku ya leo sitakuwa na sehemu ya kwenda, pindi Aunt Linda atakapokuja naomba ukubali kuwa umekula nyama na maharage yote....tafadhali sana, nipo tayari kwa lolote, kuliko niipeleke k*ma yangu huko nje nipo tayari kukupa wewe ili tu ukubali kuwa umekula nyama na maharage" Jolly aliongea akiwa anatia huruma

Jovin aliachia tabasamu baada ya kusikia kitumbua cha bure.
Kwa kipindi chote cha miezi sita alichokuwa Sudan kikazi hakukuta na msichana.

Aliamuamuru Jolly amfuate chumbani kwake,

Jolly anashtuka baada ya kuona magwanda ya Kijeshi yakiwa yametundikwa ukutani. Moja kwa moja alijua huyu mtu ni Mjeda.

Jovin alivua suruali yake haraka, alimsogelea Jolly aliyekuwa anatetemeka hakutegemea kama Jovin atataka kweli😭.

Jovin hakuwa na utani, alimuweka kitandani kisha akaanza kumandaa, Jolly alitaka kuongea kujitilisha huruma, jamaa akawahi mdomo, Kila jolly alitaka kuongea jamaa anawahi mdomo na kumlegeza, mpaka akaiva, akamtoa nguo, alishangaa baada ya kuona huyu kichaa kavaa hadi boksa yake.
Nguvu za kumzagumua ziliongezeka.....

Jolly alijikuta akifumba macho baada ya mashine kuingia,ilikuwa na mtiti wa maana,Jolly hakuwa na uzoefu sana na haya mambo, na k yake ilikuwa ndogo sana ukilinganisha na mzigo wa Jovin, lakini hakuwa na ujanja ilibidi avumilie Ili asifukuzwe kazi, uku alimuomba Jovin asiingize sana inauma, ila Kwa ule utamu aisee mwanaume hakusikia lolote, zaidi ya kuikula tu.

Baada ya Jovin kumaliza haja yake, alimnyanganya shati, boksa pamoja na raba zake.

Jolly hakuwa na muda wa kuuliza aliondoka kwa kukimbia, ile anaingia tu chumbani kwake sauti ya Linda ilisikika

"Jollyyyyyyyyyy"

Itaendelea 💥
MAID WA MJEDA
EP 02.
MTUNZI; HUSQER BALTAZAR

"Abee Aunt...." Aliitikia huku akitafuta nguo
Dakika moja haikuisha alifika sebuleni

"Maji yamemwagika sana huko nje, bill ikija kubwa tutasaidiana kulipa" Linda aliongea

"Kijana wako alikuwa anaosha viatu vyake...." Jolly aliongea akiamini kila kitu kitaenda sawa

Linda akiwa kwenye mshangao alijikuta akiachia tabasamu baada ya kumuona Jovin.

Jovin alimsalimia Mama yake kishikaji ni wazi kabisa uhusiano wao si mzuri.
Jolly alishia kubetua tu midomo kwa namna Jovin anavyojifanya kauzu mpaka kwa Mama yake

"Alikula nyama yote na maharage?" Linda aliuliza huku akiona aibu kwa mpausho aliofanyiwa na Kijana wake

"K*mamaye zake hata kama ni Mwanajeshi hawezi kuwa jeuri hivi kwa Mama yake, wala sitishiki naye huenda hata ni muokota makopo huko Jeshini" Jolly alijiwazia moyoni mwake badala ya kujibu swali analoulizwa

Linda alimsogelea kwa karibu
"Nauliza nyama na maharage zimeenda tumboni kwa Jovin" Aliongea kwa sauti ya juu kidogo

Jolly alitikisa kichwa chake kuashiria ndiyo,
"Nenda chumbani kwake ukasafishe kila kona.... mshahara ya mwezi huu utapauta endapo utamfurahisha Jovin" Linda aliongea kisha akaondoka

Jolly alikuwa na mpango wa kununua viwalo vipya, kama asipolipwa mshahara wa huu mwezi mpango wake utayeyuka.

Aliingia chumbani kwa Jovin, akaanza kupanga kila sehemu. Moyo wake ulilipuka baada ya kukutana na box la condom.
Alichia sonyo kisha akaendelea na kazi yake

Kila alipohisi kamaliza alijikosoa mwenyewe, mwisho wa siku alijitupa kitandani akaanza kukitafakari chumba.

Kuna sehemu alikuwa hajagusa, alinyoosha mkono wake akavuta droo ya iliyokuwa imeunganishwa na kitanda.

Alikutana na picha iliyomuonesha Jovin akiwa kavalia combat, huku mikono yake ikiwa imembeba mrembo mmoja aliyevalia shela.
Walikuwa wamependeza sana, ghafla tu alishtukia bastola imegusa kichwa chake.

Hofu ilimtanda, aligeuka nyuma akiwa anatetemeka.... muonekano wa macho ya Jovin ulimtisha zaidi.
Mtu huyu hakuwa akicheka hata kidogo.

"Nani kakupa ruhusa ya kuingia chumbani kwangu....." Jovin alifoka

"Ni kazi yangu kuweka nyumba yote safi, ni...ni.. nisamehe" Jolly aliongea na kufanya dimpozi zilizokuwa shavuni mwake zionekane vyema

"Ondoka, chumba changu nitakimudu mwenyewe...." Jovin aliongea

Jolly alipiga hatua aondoke lakini alirudishwa

"Nisaidie kunyoosha hizi nguo, naomba ufanye haraka kuna sehemu naenda, hivi viatu pia naomba uving'arishe. Kuna gari yangu hapo nje nisaidie pia kuhakiki kama ni safi" Jovin aliongea kisha akatupia bastola kitandani

Jolly aliondoka akiwa anapumua juu juu.
Alishika pasi akiwa mwenye haraka, alianza kunyoosha nguo ya kwanza ile anaweka ya pili aliichoma.

"Mama yangu....." Jolly aliongea akiwa anaipuliza akihisi itajirudi. Alipoona haijirudi aliibeba akiwa anatetemeka, alielekea chumbani kwa Jovin. Aligonga mlango akiwa anatiririkwa machozi

"Pita...." Sauti ya Jovin ilisikika

Jolly aliingia, Jovin alikuwa anaongea na simu alimpa ishara ya kuweka nguo mezani akijua zimekamilika

Anashangaa baada ya kuona Jolly anapiga magoti

Itaendelea 💥
MAID WA MJEDA
EP03.
MTUNZI;HUSQER BALTAZAR

"Shida nini..." Jovin aliuliza baada ya kukata shati

"Sielewi nimeukosea nini umeme, shati lako limeungua....pamoja na kulipuloza sijaambulia kitu..." Jolly aliongea

"Ondoka...." Jovin alimtimua,

Jolly aliondoka akiwa haamini kama amesamehewa, aling'arisha viatu pamoja na gari.

"Kaka anaondoka lini....." Jolly alijikuta akimuuliza Linda kwa sababu ameshaanza kuchoshwa na mtu huyu

"Sifahamu pia, Wanajeshi ni sawa na Serikali si rahisi kwao kuzungumza ratiba zao" Linda aliongea,

"Nyumba ikikaliwa na Mwanaume inapendeza sana na ndio maana nimeuliza, " Jolly alijiongelesha

"Anapenda sana kula matunda, baada ya kumaliza kazi za humu ndani nikumbushe ni kuagize sokoni" Linda aliongea kisha akaelekea chumbani kwake

Jolly akiwa nje anavuta kioo alijikuta akikodoa macho baada ya kumuona Jovin.
Alikuwa kapendeza sana, hata Wanaume kuna namna wanapendeza.

Harufu ya marashi yake ilimuua kabisa

"Utanisaidia kuondoa hilo shuka kitandani..." Jovin aliongea huku akimrushia funguo Jolly

Bahati mbaya ilimgongo kwenye paji la uso kwa sababu hakuwa mwepesi wa kudaka.

"Nimeumia..." Jolly alilalamika lakini haikusaidia kitu kwa sababu Jovin aliondoka

Baada ya kumaliza kufanya usafi wa nyumba yote alioga kwanza ndipo akaenda kutoa shuka chumbani kwa Jovin

Halikuwa limechafuka hata, hakuelewa kwanini kaambiwa kubadilisha.
Ile anataka kuondoka aligongea pafyumu kidogo.

Barabara zima alilifunga kutokana na pafyumu aliyojipulizia. Wengi wao walitamani kumuuliza jina la pafyumu hiyo lakini hawakupewa nafasi hiyo.

Kabla hajafika sokoni alisimamishwa na Mkaka mtanashati hivi.
Aliachia tabasamu ndani ya moyo wake akijua kaupiga mwingi.
Alibadilishana namba na Mwanaume huyu.

Akiwa mwenye tabasamu usoni mwake, aliingia sokoni akaanza kuchagua matunda.

"Tobaaaaa!" Alijikuta akiongea baada ya kugundua hana pesa.
Hakuamini kama yule Kaka mtanashati anaweza kuwa ni mtaalamu wa chuma ulete

"Hapana Aunt, matunda umeshayatia kwenye kapu lako siwezi kuruhusu urudishe, fanya tu mpango wa kulipa" Muuzaji aliyeonekana kuwa na njaa ya pesa aliongea

Jolly hakujua anafanyaje, kama bahati hivi alimuona Jovin akiwa na kademu.
Moyo wake ulimuuma kwa namna fulani hasa akikumbuka namna alivyompatia K yake bure.

"Kaka J....." Jolly aliita

Jovin alimtazama, ilimlazimu amkaribie baada ya kumtambua.
Alijieleza haraka haraka huku akijichekesha

Jovin hakuwa na shida alilipa pesa, aliachia tabasamu kimtindo baada ya kugundua huyu fala kajipulizia pafyumu yake.

Jolly aliishi kumsindikiza kwa macho,
"Nilitarajia baada ya kumpa K yangu atakuwa msumbufu kwangu cha ajabu hana muda na Mimi kabisa, matako yake" Jolly alijisemea kisha akaondoka

Mzigo ulikuwa ni mkubwa, alifunua kava la simu yake ya kitochi akakuta 1000, alisimamisha bajaji akapanda.
Safari ikiwa inaendelea bajaji ilisimamishwa, alishangaa kumuona Jovin.
Alisogeza kidogo tako lake ili Mwanaume huyu apate kukaa.

"Gari lako umeacha wapi, au umempa yule Mwanamke!" Jolly aliuliza
Jovin alimgeukia macho yao yaligongana

Itaendelea 💥
MAID WA MJEDA
EP 04.
MTUNZI;HUSQER BALTAZAR

"Sikuondoka na gari...." Jovin aliongea
"Anhaa sawa.." Jolly aliongea

Alitaka kuuliza swali lingine lakini alijizuia baada ya kuona Mwanaume huyu anajitia kauzu.

Walifika nyumbani kipamoja, kikapu kilikuwa kizito..... Jovin aliamua kutenda msaada kwa kuingia nacho ndani.
Sijui nini kilimpata lakini alipitiliza nacho chumbani.

Linda na Jolly waliogopa kumkumbusha

"Kisa aliyalipia matunda ndio ameamua kusepa nayo, kichwa chake" Jolly alijisemea kisha akaingia jikoni kupika

Linda alimfuata akawa ana muelekeza, Jolly hakupendezwa kabisa kwa sababu alikuwa anakosa uhuru wa kupokea simu.

"Aunt Linda, ingawa sijui kusoma lakini linapokuja swala la kupika nipo vizuri, naomba uniachie jiko" Jolly aliongea

"Sawa, hakikisha unafuata matunda kwa Kaka yako" Linda alimtupia mpira

"Sa... sawa" Anajibu akiwa hajiamini

Baada ya kumaliza kupika, alielekea chumbani kwa Jovin. Aligonga mlango kama mara tatu hivi ndipo akafunguliwa

"Nikabidhi hayo matunda...." Jolly aliongea

Jovin alimruhusu aingie kubeba, kikapu kilikuwa kizito.
Akiwa ana hangaika alishtukia tu amepokonywa kisha kikawekwa kichwani mwake.

"Naomba usilale nakuletea chakula....." Jolly aliongea

Jovin alitikisa kichwa kuashiria ameelewa,
Linda anamsaidia kutoa kikapu kichwani, kwa bahati mbaya kiliponyoka kikaenda kupita na sufuria....vyakula vyote vilimwagika.

"Nilikutuma matunda kwa ajili ya Jovin cha ajabu umeleta mzigo kana kwamba tuna sherehe hapa. Utajua ni kitu gani unamlisha Mimi naenda kulala, naomba nisipigiwe simu wala kugongewa mlango" Linda aliongea kisha akaondoka akiwa kanuna kweli kweli

Jolly hakuwa tayari kubebeshwa lawama, alianza kupika upya akiwa mwenye hasira kali.
Alitumia saa zima kumaliza, tayari Jovin alikuwa amelala.

Jolly hakukubali kushindwa.... aligonga hodi mpaka mlango ulipofunguliwa.

"Siwezi kula chakula sasa hivi muda umeenda sana...." Jovin aliongea akataka kufunga mlango

Jolly alimpush kisha akaingia
"Naomba ule chakula tofauti na hapo sitalipwa mshahara...." Aliongea huku akimpa ishara akae

Jovin alijifikiria kwa sekunde kadhaa, alisogea kwenye meza akaanza kula.
Alijikuta akishangaa baada ya kusikia sauti za mtu akikoroma.

Alimnyanyua Jolly akamuweka kitandani akijiambia atamuondoa kabla hakuja pambazuka.

Katikati ya usingizi akiwa amelala alisikia sauti za ajabu

"Hapo hapo, wekaaa yote,.....aaaah taratibu" Jolly alikuwa anaota akishughulikiwa

Mwanzo sauti yake ilikuwa ni ya chinichini lakini ilienda ikiongozeka.

Jovjn alinyoosha mkono wake akamziba mdomo.

Jolly ndio kushtuka, mwili wake wote ulikuwa umelegea.
Alimvutia Jovjn kifuani kwake, hakutaka kufikiria nini kitatokea

Itaendelea 💥
MAID WA MJEDA
EP05.
MTUNZI;HUSQER BALTAZAR

Jovin alitaka kugoma lakini ushawishi wa Jolly ulikuwa wa kiwango cha juu.

Safari hii walifanya taratibu kwa sababu usiku ulikuwa ni mrefu kidogo.
Jolly alijituma kadiri ya uwezo wake, hakuwa tayari kudharaulika kuwa yeye si kitu.

Jovin pia alihitaji kulinda heshima yake, hivyo walijikuta wakioneshana ubabe.
Walilala muda ukiwa umeenda sana, lakini pamoja na vurugu zote za usiku Jovin aliwahi kuamka.

Jolly alikuwa bado ana koroma alitaka kumuamsha lakini hakuona sababu ya kufanya hivi.

Upande wa Linda anashtuka usingizini akiwa na njaa kali.
Anashangaa kuona jikoni bado kumezubaa.
Alimfuata Jolly chumbani kwake, anashangaa kuona hayupo.

Alijipa matumaini atakuwa anafanya usafi nje lakini baada ya kuona mlango wa sebuleni umefungwa aligundua hajatoka nje.

"Sitaki kuamini yupo chumbani kwa Jovin akideki....." Linda alijisemea kisha akaelekea chumbani kwa Kijana wake

Kabla hajafanya chochote mlango ulifunguliwa, Jolly alishtuka ndani ya moyo wake lakini hadharani aliachia tabasamu

"Andaa chai, usafi wa chumba utafanyika hata mwakani...." Linda aliongea kisha akasogea mlangoni alimjulia hali Kijana wake, kama kawaida alijibiwa kwa ufupi.

Jolly alibetua midomo yake ni wazi kabisa huwa hafurahishwi na namna Jovin anavyomjibu Mama yake.

Aliingia jikoni akaanza kuandaa chai kwa ajili ya matumbo ya watu,mara nyingi huwa hapendi kuamkia kula tu.

Baada ya kumaliza kuandaa chai aliingia chumbani kwake akaoga.
Kila akikumbuka usiku wake na Jovin aliona aibu.

Si mtu wa kutupia pamba kali anapokuwa nyumbani ila siku ya leo alijing'arisha. Hakujua kwanini hata anafanya hivi

"Kuna sehemu unaenda?..." Linda alijikuta akiuliza macho yakiwa yamemtoka.

"Hapana, naenda kukatia maua!" Aliongea

"Na huo muonekano!" Linda alishangaa

"Nguo za kushindia zote ni chafu..." Jolly aliongea akawahi nje

Linda alibakia kuzungusha tu macho

"Hivi huyu Mfanyakazi analipwa kiasi gani kwa mwezi, kazi za hapa ni nyingi sana" Jovin alimshtua Mama yake

"Elfu 80...." Linda aliongea

"Ni hela ndogo sana, achana na hilo swala kuanzia leo nitakuwa namlipa Mimi, hata kama nitarudi Kambini nitahakikisha analipwa kwa wakati" Jovin aliongea kisha akaondoka

Linda alizidisha kukodoa macho, hakuwa akiwaelewa hawa watu wawili.

Jolly akiwa anakatia maua alishtuka baada ya kumuona Jovin. Aibu zilimzidia na hata akajilaumu kwanini ametia make up usoni mwake

"Nenda ukasifishe chumbani kwangu, nipatie huo mkasi nikusaidie" Jovin aliongea

Jolly alikabidhi mkasi akiwa katawaliwa na aibu

Jovin alitabasamu sababu ya aibu za Jovin.
Alichukua mkasi kisha akaanza kukatia maua.

Jolly baada ya kumshuhudia Linda aliamua kumkwepa kwa kupitia mlango wa nyuma.
Aliingia chumbani akatoa shuka, aliweka mazingira vizuri.

Alitoa nguo zote chafu za Jovin akaanza kufua.
Linda alipeleka za kwake pia, kupitia dirishani alishangaa nguo za Jovin tu ndio zinawekwa kwenye kamba
Hakuelewa kwanini hapewi yeye kipaumbele.

Mida ya jioni, Jovin alitoka out....alikuwa na wanawake zaidi ya watano huko nje. Lakini K ya Jolly iliwazidi ubora wote.
Haikuwa na mambo mengi lakini ilikuwa na radha ya kipekee.
Alijikuta akipunguza foleni kwa kuwatema wanne wote akabakiza mmoja ambaye kidogo K ilikuwa na mvuto.

Alihitaji kumshukuru Jolly kiakili, alimnunulia zawadi ya smartphone.
Hakufurahishwa na zawadi hii kwa sababu hakujua akijua kusoma vizuri

Mlango wake uligongwa, alienda akiwa kanuna..... akili ilimtuma Linda anataka kukaangiwa mayai

"Mwisho wa siku ni kuachia mashuzi tu nyumba nzima" Alilalamika huku akifungua mlango
Alishtuka baada ya kukutana na Jovin

"Nisindikize saluni hatuchelewi kurudi, usiwe na hofu kuhusu Mama" Jovin aliongea

"Dakika mbili...." Jolly aliongea kisha akasogea kabati
Aliporomoa nguo zote, siku ya leo ndio aligundua yeye ni yatima wa nguo..... kila aliyoshika hakuielewa.
Alijitupa kitandani akiwa kakata tamaa na hata akasahau kama anasubiliwa

Itaendelea 💥


Soma Kitabu

SOMA MAELEKEZO

Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote