Follow Channel

MJEDA TARATIBU BASI

book cover og

Utangulizi

MJEDA TARATIBU BASI
MTUNZI :BABY SMILE
EP 1.

Naona tu mnaitana, kama ni majambazi poleni, cha thamani hapa ni roho yangu tu, simu niliyonayo nikipigiwa nikapokea tu imeisha charge, siwezi uza ata Kwa buku, mfukoni sina hela, Wala hata hio harufu ya Hela tu sina, nguo nazo nimeazima tu, ata hii roho yangu yenyewe inadhambi sijatubu, ata nikibatizwa ayo maji yatachemka moto Kwa hizi dhambi....

Niliongea Kwa kujihami, jamaa walikuwa wawili wamevaa vipensi uku wako vifua wazi,walinitizama mmoja akajibu, binti unajua hapa uko wapi? Na Kwa nini umeingia eneo lisilokuhusu umetumwa?...

Heee we jambazi vipi, Yaani nitumwe Kwa majambazi kwamba �� roho yangu siipendi au? Yaani roho yangu hata kama inadhambi siwezi iweka rehani, na MSISAHAU hii ni nchi huru, maeneo mazuri yote mnayatumia kuteka watu, afu eti nchi Ina jeshi looh ��...

" Binti unaelewa unachokiongea Yaani ukituangalia sisi unaona ni majambazi sio?
Sasa nyie nao Kuna Cha kuuliza, picha inajieleza kabisa, mnajaza vifua kutukaba mwisho vifua vipasuke, izo nguvu mlipaswa kutumia na wanawake zenu, mdomo koma mniache niende sina kitu jamani...

Binti naona kwanza tumekustahi mno, hapa uko Kambi ya jeshi, na tuna nguo chafu nafikili utazing'arisha, na but usisahau,
Nilijikuta nacheka Kwa sauti, Kuona majambazi wamejigeuza kuwa wajeda, ha ha ha ha, mbavu zangu jamani, Yaani nyingi mwe wajeda, ivi mnawajua vizuli wajeda nyie, Yani wale viumbe wa mapigo na mwendo ��, kwanza kukutana nao tu ni nuksi nahisi hata ningekuwa...

Kabla sijamalizia kuongea, nikawa nasikia wengi wanaimba tena kibaya zaidi wanamagwanda na hawako mbali, nyie nilihisi mkojo, umekaba mpaka Koo, sio tu kibofu...

Niliwatizama Kwa hofu mno, mmoja alinionea huruma masikini akanipa ishara nipotee, wee ata sikusubuli kuoneshwa njia, nilijua awa viumbe hawapendi maswali, binamu yangu aliuliza njia wakamuonesha njia ya kuingia zaidi kambini, alitusimulia akiwa mahututi, anapigania roho na Israel wanavutana, yote ayo ni adhabu za wajeda, nikajiongeza kichwani, sitouliza hapa ni miguu nisaidie...

Dua yangu, ilikuwa nikuombea miguu, mnisamee hata sijajitambilisha...

Naitwa Mariam, nimemaliza chuo Cha ualimu nasubili ajira, Leo nilikuwa na mawazo chungu nzima, nikaamua nikatulie zangu mahali peke yangu, huku ni Kwa mjomba wangu nimelelewa na mjomba Toka nikiwa na miaka 8, wazazi wangu wote walifaliki, na huku tulipohamia ni wageni kabisa...

Mjomba kajenga huku Musoma Makoko, tuna siku nne Toka tuhamie, Sasa mwenzenu nikaamua kwenda mahali nikapuge upepo wa ziwa, nikiwa nimetulia zangu nahasira mpaka saivi sijapata ajira, ghafla nahisi mijemba inakuja inakishindo nikajua mamaaaa wamekuja majambazi hao, nikaona niwasaidie tu kujieleza wasipoteze muda kunikaba mtu ambae ata mia mbovu sina, kumbe mwenzenu nimeyabananga, ni wazee wa mitutu, nilivyooneshwa ishara ya kupotea nyie hamkuwepo ila Mungu wenu alikuwepo....

Nilikimbia Kwa mara ya kwanza Toka nizaliwe Leo ndo nimegundua kumbe ninakipaji Cha kukimbia bila kuchoka tena Kwa kasi kubwa bila kupumzika��...

Itaendelea...��


MJEDA TARATIBU BASI
MTUNZI :BABY SMILE
EP 2.

Nilifanikiwa kuchomoka, nimekuja kufunga break jilani na nyumbani baada ya Kuona maduka ya bidhaa, ndio nikafunga break, lakini Sasa sikuwa na kiatu chochote mguuni na ata sikumbuki wapi nimetupa, nilikuwa na kiu ya hatali...

Moja Kwa Moja nikaenda duka moja, lilikuwa la jirani yetu na binti zake nimesoma nao sekondari, japo mitaa ilikuwa tofauti, niliwaona na mabinti zake, walinichangamkia ila nikawatuliza Kwa ishara ninywe kwanza maji..

Nilikunywa maji Lita Moja na nusu, yote Kwa mara moja, bila kituo nilimaliza kopo zima ndo nikashusha chupa...

Kila mtu alinishangaa, Sophia na Saphina wakaniuliza Kwa pamoja, Mariam kulikoni mwenzetu sio kawaida Yako na mbona uko hivyo?...

Nilishangaa, wamewezaje kuwaza Kwa pamoja, swali la kuniuliza, nilivyowauliza hivyo walinicheka nakusema " umesahau kama tumelala mfuko mmoja, hivyo mawazo yetu ni sawa...

Ilibidi tu nicheke hawa vichaa sitowaweza, ikabidi niwape mkanda oya mwenzenu Leo siyamenikuta bwana, nimepitia hii njia nikatokezea ziwani nikachaniza Kwa juu niliona kumetulia, Sophia akadakia tobaaaa, Kambi ya jeshi io umetoka salama kweli?

We acha, ata mimi mwenyewe siamini kama nimenusulika, yaani hawajanigusa hata unywere, na wamenikamata kabisa, Cha kushangaza wameniachia kizembe kabisa , Yaani kama ningekuwa ni gaidi wale tayali wangekuwa wameniuza, nilichogundua saivi nchi Haina tena ulinzi ni vile tu manyemela hawajasanuka...

Wajeda wa saiv ni milenda, midebwedo hawana mizuka kama wazamani, Yaani nimeshangaa mjue...

" Wee Mariam wewe acha kutupanga awawezi kukuachia ivi ivi we sema tu ukweli, umepewa adhabu umetoroka au umemraghai mjeda na utamu, lakini napo inagoma ivi, ata kama ni utam lazima adhabu ufanye, au umeshtuka Kwa mbali kabla hatujafika umeamua kutupanga��...

Niwapange ivi mnazani natania ee, ndio maana nimewambia Sasa hivi hakuna wajeda ni migwanda tu, wajeda wamejazia tu vifua sura Kaa yangu Yaani ni warembo afu wakiume, ukute ni pisi za watu, afu sie tumebweteka tunajua nchi inamajembe, kumbe majembe butu ya Karne ya utumwa....

"Heee Mariam mbona huna viatu na unamajeraha, kumbe ni kweli utakuwa umewatoroka...

Sophia elewa basi, sijawatoroka, wale midebwedo, wameniachia Kwa hiyali Yao wenyewe, mpaka mwenyewe nimeshtukia wale huenda wanakulana wale, mjua wamenikamata walikuwa wawili, afu walikuwa vifua wazi kabisa na vipensi tu vidogo, �� afu mmoja hakuwa anaongea kabisa, huenda yule mkimya ndo �� ebu ujue najaribu kuwaza ....

Nyie kumbe wakati naongea yule wale wajeda walikuwa hapo dukani wananunua maji, na wamenisikia Yaani ni Ile nageuka Ili niwape mkanda vizuli, nakuta jamaa wananitizama macho Kwa macho....

Yaani kulopoka Kule wajemba kumbe wapo nyuma yangu��, niliganda kama sanamu...

Itaendelea....��


MJEDA TARATIBU BASI
MTUNZI :BABY SMILE
EP 3.

Nilijikuta natetemeka, Sophia na Saphina, walinitizama Kwa sura za maswali ya kulikoni, huku nao wakiwatazama so wakaka, hawakuwa wanacheka hata kidogo, walichofanya nikusema tu, nyingi bebeni hizi carton za maji mtusaidie kupeleka kambini, bila shaka njia mnaijua...

Hee kusikia hivyo na wenzangu wakasanuka hapa kimeshaumana, wakapiga magoti kuomba msamaa lakini haikusaidia jamaa wakasema wakifika na sisi tuwe tumefika...

Nikawaza Yaani waondoke tujipekeje thubutu, wakigeuza tu migongo Yao Mimi natimua mbio, kwetu hawapajui, ikiwezekana nasafili Leo Leo, kwenda Kwa binamu yangu Arusha, baba wa kina Soph alikuwa dukani ikabidi nae atuombee msamaa lakini wapi, jamaa wakaondoka wakatuachia maji tupeleke...

Nilivyoona tu wamesogea mbali, Mimi nduki, Dua zangu zote ni kwenye miguu, nilikimbia kama mshale,lakini ghafra tu nikala mtama mmoja huo, kufika chini, nikalamba mchanga na lips ikatoa damu kumbe imechanika...

Nyie nilishindwa hata kuamka magoti yalikuwa yanavuja damu, kuinua hivi kichwa niangalie ni kibaka gani kaniburuza hivi mimi, ilihali hataambulia hata sent 10...

Jamani ni uyu mjeda mkimya��, hakuwa na maongezi aliniburuza Kwa kutumia makalio yangu, nahivi nilibarikiwa, lakini hii Leo mtu ananiburuza tu ovyo mpaka kambini nguo ikawa imechanika chanika, Yaani �� alinifikisha, nikaambiwa kwanza kusafisha Kambi nzima,mpaka barabara nizifagie...

Nilikuwa hoi nilianza kufagia tena Kwa mifagio ya kuchuma majani��, huku damu zinanitoka, jamaa haongei nikisimama ananilenga jiwe la mgongo mpaka giza linaingia sijamaliza ata robo ya adhabu...

Mjeda nakuomba unisamee, naomba niende nyumbani kesho nitakuja kumalizia, familia yangu itakuwa na wasiwasi sana ��, nilivyosema tu hivyo nilishangaa nakula kofi, mpaka damu zikatoka shavu likavimba...

Hakuwa muongeaji ila kipigo ndo ilikuwa kipaumbele chake, na hapo ilikuwa giza ata kuona vizuli sioni, nilikuwa nalia uku nafagia, maumivu yalikuwa makali mwili mzima, nilijikuta nahisi kizunguzungu jumlisha njaa nimekula asubuhi hi tu kachai kidogo na andazi moja...

Mpaka saivi sijui hata ni usiku wa saa ngap, nilihisi giza ghafra, nikakata moto, nakuja kushtuka nimemwagiwa maji Niko na kina Soph na baba ao na uyo mjeda, muda huo ni saa 9 usiku, kumbe mjomba, na binamu zangu wameshapigiwa simu nimepatikana walikuwa wakinitafuta, wameenda adi kituo Cha polis...

Walifika uku wanawasiwasi, nyie kitu sikuwaambia Mimi napendwa, Yaani mjomba hana watoto wa kike ni mimi tu, anawatoto wa kiume 9 mimi mmoja na binamu zangu 7 wote niwakubwa kwangu kasoro hao wawili tu ndo nawazidi, hivyo mimi ni yai la familia....

Walifika Kila mtu anataka kunigusa, Kila mtu anahofu mpaka machozi, walitaka kujua kulikoni, huku walitaka wanipeleke hosptal, Mr mjeda aka kauzu akasema haina haja, Kila mtu alimtizama...

Ebu kwanza huyu ni nani? Alivyouliza hivyo nikajikuta naanza kulia, binamu yangu Isa, Kuona nalia akajua tu Moja Kwa Moja ni uyu pepo kahusika, hakusubili majibu akamvaa pale pale...

Kukakucha, kufumba na kufumbua binamu yangu akawekwa chini wee, familia ikaungana, tulijitahidi kuzuia lakini wapi, ilibidi, nijikaze nisimame kuwazuia ndugu zangu, make hawajui wanaebutuana nae nikajifanya kupiga ukunga, kila mtu akakimbilia kwangu...

Mjeda akapewa ishara na baba ake Soph asepe, akatoka ila kafika na amewanyoosha binamu zangu pamoja na wingi wao...

Kulikucha nikawapa mkanda familia yangu, aisee walichukia, wakaapa watamfanyizia hawawezi kubali, mke wa mjomba akawa analia jamani ananihurumia binti yake, nikawa najikaza nisimtie majonzi, zilipita siku tatu, mjomba na kina binamu Isa wanamuwinda na visu mjeda wamkomeshe, siku ya nne muda ya saa 4 usiku wakamkama chocho moja anapita mitaa ya makoko, wakamkaba akawaacha wakampeleka kwenye jumba moja bovu, wakatoa mpaka zao Sasa wamtie ngeo, ila jamaa kumbe hakuwa mzembe alikuwa mkufunzi wa wajeda, Yaani Ili mjeda awe mjeda lazima apitie mikononi mwake amfue, ni Moja ya matop wanaotegemewa na jeshi la nchi, alichowafanyia ndugu zangu na mjomba wangu��, hakifai ata kumsimulia,kibaya zaidi kwenye hasira zao wakamuita shoga ��, alipata hasira akasema Sasa Hilo atawathinitishia dada yenu, na naona kuthibitisha kwa mdomo haitapendeza, mtashuhudia Kwa macho yenu nyie picha ndo kwanza linaanza...

Itaendelea...��

MJEDA TARATIBU BASI
MTUNZI :BABY SMILE
EP 4.

Mjomba na mabinamu hawakumuelewa, siku hiyo tulikesha tunawasubiri mjomba na mabinam zangu lakini wapi, wakatutumia tu txt kuwa wanadili hivyo tusiwasubili na sisi tukaamini, na asubuhi mke wa mjomba alikuwa na safari ya kwenda nje ya nchi kwa siku tatu..

Hakujua kama mmewe yuko kwenye janga, yeye kaamka na kisrani tu, kisa baby wake hajaja kumuaga, niko zangu nafagia uwanja binamu zangu wale wadogo kwangu mmoja alikuwa anapika mwingine anadeki nyumba, kwetu hakuna kazi ya mwanaume wala mwanamke make wangenionea…

Mke wamjomba alijiandaa huku anagomba sasa nasafiri, muda huo anaongea kashatoka nje uwanjani anaongea hadi majirani wanasikia, “ nasafili tangazeni nilogwe, nipate ajali nife, mbaki yatima, na wewe Ronado , usisahau kwenda kucheza mpira sawa Ronado?..

Na wewe kiguu na njia, Toka tena kalandelande, kuzidi kuku za umu ndani, wakukamate tena ao mabwana zako, kifuatacho ni maembe mabichi naona unaona umu ndani tuko wachache sana….

Sasa unatafuta kuongeza familia Toka mama nitalea, au wakurudishe ukiwa umelala yooo, utuitie msiba wa kutuua tufe na wewe, ndo utalizika hatuna pesa za mazishi Mariamu narudia hakuna hata pesa ya kukuzikia…

Nina pesa ya harusi Yako tu Sasa nitafutie kifo kama umenichoka toa kwato zako binti mfalme…

Aliongea huku huyo anaondoka zake na toyo, nilibaki nacheka na binamu zangu, tushamzoea , sasa apo aliwatangazia majirani kuwa anasafiri ni nani jamani��, kapaza sauti majirani wote wamesikia ila, mke wa mjomba, sema ananipenda mno…

Nampenda mno shangazi mzuri, ananipenda mpaka najua, kumbe wakati mke wa mjomba anaaga kuondoka tayali yule mjeda kauzu, alikuwa maeneo hayo kasikia kila kitu, alibaki kutabasamu Kwa yake maneno akajisemea..

Kumbe familia nzima ni vioja acha niwafundishe kujiheshimu, siku nyingine wajue mipaka yao, Ili siku nyingine wasijekuingia kwenye mikono mibaya, alifika ghafla tu akanitizama na Mimi nilishtuka, bahati nzuli, Ibu wetu aliona, akahisi tu huyu mtu ni mbaya, akamtimue kwa kushtukiza na pilipili ya unga machoni mimi niliona nikawahi kujifunika, alivyomwagiwa tu mimi nikakimbia ndani, wote tukajifungia ndani…

Hakuja ata kugonga akaondoka, tulishinda ndani muda kidogo mjomba na kina Isa wakaja wako hoi hawatamaniki, heee tulisikia tu sauti zao tukafungua mlango, nyie walijua kupigika, wamevulishwa magwanda ya kijeshi, nilivyoona hivyo nilipata hasira…

Nikataka kutoka Isa akasema aisee ccta usithubutu kutoa miguu wako ata hapo uwanjani, uyo jamaa anakuwinda wewe, heee Mimi tena ��, “ehee yoooo kumbe ndio maana kaja mpaka hapa nyumbani tumemwagia pilipili Ile ya unga tukajifungia ndani….

Mjomba na mabinam zangu wote wakainuka nini? Ibu akaelezea, apo tukajadiliana nisitoke kabisa ndani mpaka kutulie…

Ata ndani nisitoke kabisa, tutaelewana kimbembe wakati tinamsema mjeda maneno machafu machafu Ibu wetu kumbe anayatunza tu, na ni anamdomo uyu binamu yangu, lastborn wa kiume ila mdomo wote karithi kwangu na anty hii midomo yetu ni promax…

Yuko darasa la Saba, alitoka kwenda kucheza, Sasa si akaanza kuropoka kuna mjeda shoga, nyie aliyatapika kumbe mle Kwa wacheza mpira wenzie kuna ndugu wa muongewaji akataka ahakiki, akamdanganya mjeda kapata tatizo aje kumusaidia…

Kaja kakuta dogo bado anayamwaga, tena wakimpinga anakazia kabisa, angekuwa sio shoga, asingekasirika nakuwaandama kaka zake, mbona walikuwa wawili aumie yeye tu, lazima ana pakuliwa ama alishafanyiwa hivyo, anakuwa hajiamini anahisi watu wanajua…

Dogo alijimaliza kabisa, apo usiku, saa mbili kisa kutangaza umbea, jamaa alichofanya sasa, alikuwa kwenye bonge la hasira, Yaani mishipa yote ya hasira imefunguka, na shetani nae akapita hapo hapo, alikuja nyumbani , aliingia bila hodi, walipomuona kila mtu, akasimama, Kwa kujihami, alichofanya alichukua simu zote akawafungia chumba kimoja Mimi nikachukua tena pilipili, nikamwagia lakini safali hii haikufua dafu, ni macho tu yakizidi kuwa mekundu baada ya kuwafungia ajawafunga mikono na miguuu…

Itaendelea…��


MJEDA TARATIBU BASI
MTUNZI :BABY SMILE
EP 5.

Niliogopa nikawa narudi nyuma nyuma nikimbie ama hata nichukue panga nimtwange nalo, nilipata panga lakini, ujasiri wa kumtwanga nayo sasa, nilikuwa muoga ila kwa usalama wangu nilisema acha nikaze roho...

Niliinuka ili nimkate nikimbie, lakini kabla ata haijamfikia alinikwapua, alinikaba nakunibeba , nilimng'ata mpaka nikamtoa damu lakini haikusaidia...

Hakusikia hata hayo maumivu, alinipeleka mpaka mlangoni wa kile chumba alichowafungia binamu zangu adi Ibu alikuwa kasharudi, alivyofika pale ajawaambia sasa nataka msikie sio kusimuliwa nimewaheshimu tu kuwatenganisha mlitakiwa mjionee kwa macho yenu ninavyomlizisha dada yenu, mjomba alizimishwa hakuachwa akiwa macho yeye alitenganishwa, ata hakuwa anajua nini kinaendelea...

Alibinywa mahali akazima, binamu zangu ndo waliachwa wasikie,�� "hii sauti ya dada yenu itawapa jibu kama Mimi ni kidume, ama ni kama dada yenu, bila kusahau muda nitakaotumia, hii siku nilihisi Mungu amenileta duniani kuteseka kudhalilika kuaibika, muda huo kina binamu hawawezi kutoa hata sauti sijui aliwafanyaje��....

Alinichania nguo zangu, bila huruma mbwa uyu, akatoa na zake, hata bila godoro, kwenye sakafu��,yaliyonikuta sitamani ata kukumbuka, mbaya zaidi sikuwa mzoefu, hakuwa na huruma mbwa yule, akanitoa bikra yangu kinyama uku kaka zangu wanasikia...

Masaa mawili mpaka nikazimia, ndo akili yake ikarudi, aliniingiza chumba asichokijua, alisafisha, alichofanya akaenda kumchukua mjomba, na kumleta sebleni, Kisha akamzindua na kuchomoka kama mshale....

Mjomba kupata akili vizuli, akaniwaza Mimi, akawa ananiita, anapita Kila chumba, akakuta nimelala sijitambui tena nimevalishwa Dera ilihali sikuwa nimevaaa dera, alihisi hatali, machozi yakimtoka bila kikomo, alitoka mbio kuwatafuta wanae...

Aliwakuta wamefungiwa na kufungwa mikono na miguuu ni machozi tu yalikuwa yamewajaa, kila mtu alivyofunguliwa alikimbia kunitafuta wote walikuta nimezirai Kila mtu alilia, hakuna aliyetamani ata kuongea chochote, awakuwa na akili ata yakunipeleka hosptal...

Upande wa MJEDA, alijikuta analia na kujuta, " nimefanya nini hiki, nilipaswa kujizuia, nitamueleweshaje yule binti, mbaya zaidi namuhitaji ��, nilijua ameshatumika alijikuta anaumia isivyo kupita kiasi, akiwa analia jamaa ake alitokeza, akashangaa sio kawaida uyu kumbe kulia Leo vipi wanamiaka hawajaona chozi lake, mara ya mwisho kulia walikuwa kidato Cha pili, mpaka Leo ndo analia tena ��...

Itaendelea...��


Soma Kitabu

SOMA MAELEKEZO

Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote