Follow Channel

NILIZAMA KWA MJUBA

book cover og

Utangulizi

NILIZAMA KWA MJUBA 1
HUSQER BALTAZAR
Kwa majina naitwa umaymah ally, ni binti wa pili katika familia ya watoto wa nne, nimezaliwa kwenye hospital ya levolosi mkoani Arusha, na elimu yangu ya msingi niliianza kwenye shule ya serikali ya ngarenaro mkoani arusha na mpaka namaliza darasa la saba nilikuwa napenda sana kukaa na wale vijana wahuni wahuni, ndio nilikuwa nasikia rah asana, na nilipomaliza la saba napo nikachaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwenye shule ya sekondari ya ngarenaro hivyo hivyo, na maisha yangu ya kupenda wanaume wahuni hayakuwa yameisha, yaan mimi mwanaume akiwa muhuni nikikaa nae najisikia amani sana moyoni mwangu….

Licha ya kuzaliwa kwenye familia ya dini sana, ila nilikuwa napenda kuvaa yale maviatu ya kiarusha, kiatu kubwa kuliko mguu, na nilikuwa navaa gauni la tight na mshati mkubwa kama nafukuza, na hakuna nyimbo ya wadudu hata moja ambayo sikuwa naijua kuanzia nimekuwa, nimekuwa nikivutiwa na nyimbo za rosa ree na nickminaji, na wasanii wa chuga, kama mnavyojua wanavyochezaga bila jasho na kuimba kwa kufoka, ndio ilikuwa burudani yangu…

Nilikuwa ni binti ambae sipendi kuwa kwenye mahusiano ila napenda sana kukaa na wahuni, na siku moja moja shisha napuliza ila sio kama ugomvi ni kwa kugusa tu…

Sasa siku moja tulikuwab tumetoka kwenye mechi, hapo tulikuwa tunacheza na arusha sec, na kikawaida ngarenaro wakicheza na wekundu ambao ndio asec ni lazima vita itokee, nilazima mmoja wapo atoke na mangeu, na magari yanaypojikatizisha siku hio hayana bahati, maana yatavunjwa vioo, na mpaka umjue muhusika umesanda, maana hatusemanagi hata mara moja, na hatuchawiani, yaan msala wa msela ni msala wako…

Sasa siku hio kuna chalii yetu mmoja alilengwa na gobore, yaan unapigwa na silaha za mungu, akawa anavuja ma ehee, yaan sharti zima limejaa wekundu kama lipstic ya changudoa, tukasema tumpeleke kwao, maana tukisema twende hospital, basi bila shaka hatutakuwa tunajipenda kabisa yaani, basi hao mpaka nyumbani kwao, tulipofika tu tukawakuta kaka zake wawili, mmoja alipomuona tu akasema “ yeleuwiii, nani kamfundisha ukomando dogo langu…

Mwingine alikuwa kimya anavuta zake bangi, yaani mtu ameumia mmoja anadai kuwa anafundishwa ukamanda na mwingine wala hata hajali, nikaona ehee hii ndio familia ya wajuba hii, a.k.a wadudu..

Basi yule ambae alikuwa hajali, akaenda kununua pombe sijui hata ni pombe gani, kisha akaja kumwagia kwenye kidonda na baada ya hapo akamfunga na plasta, sasa sijajua hio pombe na vidonda ina uhusiano gani, kisha akarudi zake kuvuta bangi kama vile hajafanya chochote kile…

Sasa mimi na kihere here changu si ndio nikamfata kisha nikaanza kusema “ aisee wewe ni noma, sitaki kuamini kama umemtibu kidonda bila dawa, yaan najikuta siwezi kuishi bila wewe, nikawa naongea kama utani, ila mwamba akacheka kisha akanambia “ unaitwa nani?...
“ umaymah, nikajibu kwa sauti ya kujiamini, ila akaniangalia na kupiga pafu lingine la bangi kisha akanigeukia macho yakiwa mekundu kama mtu ambae alikuwa analia kisha akase,a “ kumbe nikikuita mama la mama sitakuwa nimeharibu jina lako eee, haya kuanzia leo wewe ni mama la mama wangu, umesikia, akasema…

“ aweee na ninavyopenda wahuni, yaan utanioa bila mahari, nikasema kumbe mwamba anayashika kwa makini yale maneno yangu, maana mimi nilikuwa nachukulia kama utani tu, na sikuwa nina wazo hata moja kama mwamba kanielewa, nilikuwa namuona kama ninavyowaona wahuni wengine tu wa chga, na sikuwa hata nina mawazo nae hata kidogo yaan, kumbe mwamba kuniona na kuniona kashakufa kaoza, ila hakuweza kunimbia kwa kuwa nilikuwa mwanafunzi na kama tunavyojua kutembea na mwanafunzi ni kama kuiba nyara za serikali, hivyo akavunga na kuniambia “ jitunze,kuna wadudu hawachezewi, wanang’ata kama panya na kuruka kama mamba…

Nikacheka tu na kuamua kuendeleza utani na kusema “ sema kingine hilo kwangu limepita bila mabega…

Sasa tukiwa pale kuna mama akapita na kusema “ wewe wabanga jana ulilala saa ngapi…
“ mamlai tangulini mdudu akalala, yaan nililala leo, kwa hio ni kama sijalala, akasema kisha nikajikuta naanza kucheka, na nikiwa nacheka kumbe moyo wa mwamba unasuuzika balaa, mimi hapo sijui kama kuna mtu namkosha moyo mpaka maini…

Basi siku hio ikapita ila Yule wabanga kama ambavyo Yule mama alimuita akataka anisiundikize, wenzake wote wakawa wanashangaa, maana inasemekana kuwa hanaga muda na mademu, yeye demu wake bangi na sio mtu…

Ila akanisindikiza mpaka nyumbani kisha akasema “ usije ukawaza ududu, nilikuleta nyumbani maana nilikuwa nalinda nyara za serikali…
Nikacheka tu kisha nikamuaga, basi mwamba akawa ananiangalia akiwa kakunja sura huyo, ila alikuwa ananiangalia kwa jicho flani hivi, mpaka nikawa nahisi kama ananitaka flanin hivi, ila kwa namna ambavyo ndugu zake huwa wanamzungumzia, ni kama hakuwa ananitaka ila ananilinda kama mdogo wake…

Basi kuanzia siku hio kila muhuni ambae nilikuwa namfahamu akawa ananiita shemu, na kiukweli sikuwa najua kuwa alikuwa ananiita shemu kwa sababu gani, maana sikuwa na mahusiano hata ya kusingiziwa, ila kila muhuni akiniona, utasikia “ mpishe shemu, yale mazoea ya ajabu ajabu kwa baadhi ya watu wakaanza kuyapunbguza kitu ambacho sikuwa najua kinatokana na nini, kumbe mjuba ameshaweka pingu kwa yoyote Yule atakae nisogelea hana bahati, hapo mimi sina ninachokijua…

Yule rafiki yangu ambae wabanga ndio kaka yake, alikuwa anaitwa simon, ila kishule shule akawa anaitwa davoo, sijui ni kwa sababu gani, akawa anataka niende nae sana kwao, na kila nikienda nae nashangaa ananiacha na kaka yake, yaan huyu mwamba sio mtu wa kucheka cheka hovyo, ila alikuwa akiniona anajitahidi hata kutabasamu kwa mbali, na nikifika hgapo ni mwendo wa chips kavu na viepe, yaani nikaanza kula kuku kama nakula pipi, mie tena siwazi kitu chochote kile . Na baada ya hapo akawa ananisindikiza mpaka kwetu, kwa kipindi chote hicho hakuwahi kunitamkia maneno yoyote yale ya kuonesha kunitaka na mimi kwa akili zangu mbovu nikawa namchukulia kama kaka tu wa kawaida, kumbe ana mambo yake kichwani……

Wakat wazaz wangu wananiombea dua kuwa nifaulu mitihani yangu, ila wabanga ananiombea nifeli ili aweze kunitongoza maana anaogopa nyara za serikali, sasa hizi dua mbili zikawa zinavutana, kuna muda najitahidi Napata hata division four, maana kichwani nilikuwa kiazi, najua tu machimbo ya shisha na miraa, ila kusomaa aaaa, nikisemwa sema na wazaz wangu ndio kidogo nasoma tu, ila kusema ukweli shule ilikuwa ni bahat mbaya, nilikuwa napenda kwenda shule kukutana na wasela ila sio kusoma….

Basi siku zikaenda na nikafanya mitihani yangu ya kidato cha nne, wazaz wananiombea nifaulu na wabanga ananiombea nifeli, kweli baada ya mitihani tukawa tunasubiri matokeo ya kidato cha nne, na kiukweli sikuwa na wasiwasi hata kidogo maana nilikuwa najijua akili sina, matokeo yakatoka, Yule davoo akanambia twende tukaangalie kwenye simu ya kaka yake, ambae ni wabanga, mimi tena sikuwa na shida, huyo nikaenda, kweli nakuja kuangalia matokeo nikajikuta nina division zero…

Aisee wabanga alinibeba juu juu kisha akasema “ nilijua tu demu wangu hawezi kupatana na shule, aiseee mama la mama nakupenda kinyama…
ITAENDELEA ….

NILIZAMA KWA MJUBA 2.
HUSQER BALTAZAR
Nilishangaa huyu mwamba ameanza lini kunipenda? , maana alikuwa anaonekana kama ananiheshimu sana, ila kumbe alikuwa ananielewa kitambo mimi sijui kama kuna muhuni kafa kazoa, ndio davoo akanambia kuwa kaka yake alinielewa kuanzia siku ya kwanza ananiona, ndio maana wadudu wote na wahuni wa kitaa wananiita shemu, maana ameshaenda kupiga mkwara kila anaenimezea mate…

Si ndio nikamuangalia, akaangalia chini kwa sekunde kadhaa kisha akasema “ mama la mamaa hauna nguvu ya kukataa, yaan utaki utanidere, usitake utanidere, na ukiniletea usengerema nitakula utamu bila hata kukuandaa, mpaka nihakikishe umebeba kijambazi changu…

Nikaona sasa hiki kizaa zaa, maana sikuwa na wazo hata kidogo kuwa wabanga anaweza kuwa ananitaka, na kiukweli kutoka moyoni, nilitamani niendeleze misimamo yangu ya kutotaka kuwa na mchumba zaidi ya wasela, hivyo nikamuangalia kwa sura ya unyonge na kwa mara ya kwanza ubabe wangu nikauweka mfukoni na kusema “ naomba kwenda nyumbani…

Aiseee davooo na kaka yake wabanga walicheka sana, kisha wakasema “ hatimae chui kawa swala, mbona sasa unaniangusha mama la mama, mimi manzi yangu haikaagi kinyonge kiasi hicho, unanishusha sana thamani, hapa nimesema tu nakudere umeanza kuwa mnyonge nikisema natakaa unisafishe mkonge si ndio utalia kabisa…

Nikawa kimya na davoo akadakia na kusema “ embu akakusafishe bro, akabebe na kagaidi kabisa ili asiwe na wazo la kukukimbia, si ndio wabanga akanishika na kunibeba juu juu, aisee nilipiga ukunga kana kwamba ndio nabakwa, davoo alicheka ila kaka yake akamkata jicho mpaka akaondoka zake, kisha akanishusha chini na kunipakata, kisha akasema “ mimi ni mgumu sana, ila sijui kwanini hayo maji maji ya maeye yako yamenilendemsha, usilie mama la mama, siwezi kufanya jambo lolote lile kama haujataka, maana wewe ni mtu muhimu sana kwenye maisha yangu na ukweli ni kwamba nakupenda sana, na siwezi kuruhusu mtu yoyote Yule akukwaze, maana nitamla mzima mzima, maana mimi ndio simba mfalme kwenye hichi kitaa…
Nilikuwa namuona namna ambavyo anapambana sana kuwa mlaini kwangu, maana alikuwa anaonekana kabisa kuwa mwamba amekaza balaa ila akalegea mpaka sijategemea…
Ikashangaa kwamba amelegeza jicho kana kwamba kuna utamu anausikilizia, nikataka kujitoa kwenye mwili wake, ila akanizuia na kusema “ unaenda wapi wife…

“ natak kwenda nyumbani, nikasema…

“ mbona kinyonge hivyo aisee, au nimekutisha, ila si kawaida, wewe si demu, na mimi si tango, kutamaniana ni kitu real kabisa, ila ni kwamba nilikuwa nakuona mdogo tu, maana kwa hizi bangi zangu ningeshakutorosha bila wewe kutaka, maana sichemshagi mawe hata siku moja, akiwa anamaana ya kuwa hanaga muda wa kusubirisha subirisha mambo…

:”unataka nini kutoka kwangu? Ikabidi nimuulize…
“ wanasemaga mademu wanataka sijui lile tunda la nyoka, sijui wanataka mambo za wazungu, akasema na kiukweli sikuwa nimemuelewa kabisa amemaanisha nini kusema tunda la nyoka, nikashangaa anaenda na mimi nyuma kwao, kisha akawasha pikipiki, na kunambia “ haya panda mama la mama…

Basi sikuwa na hiana zaidi ya kupanda ila ukweli wa mungu nilikuwa namuogopa balaa…
“ nishike vizuri maana nataka nitoke mwendo wa kimondo, sasa sikuwa nimemuelewa amemaanisha nini akisema kuwa anataka atoke mwendo wa kimondo, nikashangaa pikipiki inatoa sauti, hizi piki[piki zenye kelele kwa arusha zikipita na ukaonekana umepanda unaonekana mtu flani muhuni sana, huwa wanakawaida ya kuzinfuna exsost sijui, yaan ukiwa na pressure usikae karibu na bara bara hata kwa bahati mbaya….
ITAENDELEA….


NILIZAMA KWA MJUBA 3
HUSQER BALTAZAR

Kweli akatoka mwendo wa kimondo, a.k.a mwendo wa baruti, yaan nikajikuta namkumbatia bila kutaka, sasa kitendo cha miili yetu kugusana tu, mwamba akaweka break ya ghafla kisha akashusha pumzi na kunigeukia kisha akanambia “ siku nyingine yawekee jeki, maana nitakuwa nakukagua, sikuwa nimemuelewa amemaanisha nini, kumbe alikuwa amemaanisha kuwa siku nyingine nivaa brazia, maana vichchu vyangu visije kumgusa mwanaume mwingine ndio maana akasema kuwa ataanza kunikagua…

Basi hao tukaenda mpaka pale kilombero, akaingia shoperz akaninunulia ice cream, chocolate, apple, kisha aliponunua apple ndio akasema “ hili tunda ndio tunda la nyoka, limesababisha mpaka tunateseka, kisha akaninunulia vizawadi zawadi, baada ya hapo akapaki pikipiki, tukaingia kwenye mitumba, akawa ananiangalia sana kifuani, ni kama alikuwa anakadiria saizi ya maziwa yangu, kisha akaninunulia sidiria tano na kunipa na baada ya hapo akasema “ ukitoka bila kufuli nitauwa mtu, hakikisha unabadilisha na unavaa kama nguo ya ndani, laa sivyo utaona ukichaa wangu…

Hapo ilikuwa saa kumi na mbili, tukaanza safari, hapo wakati wote nilikuwa naogopa balaa, maana sikujua anataka kufanya nini, nilikuwa naelewa kuwa amenipenda, ila akili za wahuni hazijawah kueleweka hata kwa bahati mbaya, sikujua kwa kweli alikuwa anataka nini..

Basi akarudisha toyo mpaka kwao, kisha akanishika mkono, hapo natetemeka balaa, nina mashaka sana na akili zake, maana hawachelewi kubadilika hawa watu, basi akawa anataka anione nikila ice cream, nikawa natii tu, maana sikutaka kugombana nae, akawa ananiangalia anatabasamu, akataka nile ice cream zote, sasa kuna muda ice cream ikawa imenichafua mdomoni, si ndio nikasema nijifute na kidole, kumbe wakati wote mwamba alikuwa ananitamani balaa, sasa ni kama nikaanza kumsha yaliolala bila kujua, nikashangaa ameshusha pumzi kisha akasema “ uvumilivu wangu ni mdogo sana, usinitege mama la mama, maana zikishapanda hazishukagi mpaka nioshwe, akimaanisha kupiga mechi…

Kwakuwa sikuwa nina uzoefu wa mapenzi na mahusiano sana, sikujua nimefanya kitu gani ambacho ameona kama namtega, kumbe hapo mwamba anajikaza tu, ila ukweli ni kwamba hjajiwezi hata kidogo, basi nikashangaa mwamba kanishika mkono wangu huku akiwa anahema haraka haraka, kwa kama dakika moja, ila akajikaza, hapo bibi mimi sijui hili wala lile, nimebaki namshangaa tu…

Kisha akakaa sawa, ila hakuniachia mkono, akawa kama ananifinya finya, mpaka nikafika nyumbani, nilipofika nyumbani ikabidi nimuage, ila hapo tupo kwenye chochoro moja hivi hapo kitaa na kagiza kalikuwa kameshaingia, ikabidi nimuage tu bye, tutaonana kesho…

“ una niaga je kinyonge hivyo mama la mama, akaseama..
“ unataka nikuagaje kaka, nikajikata na mimi kichwa maana nilikuwa namuogopa ila sikuwa nataka kuingia kwenye mahusiano nae, wala mahusiano na mtu yoyote Yule, maana nilihisi labda mahusiano yanaweza kuninyima uhuru wa kufanya uhuni wangu, na usela maandazi wangu…

“ kaka!, akasema kwa sauti ya mshangao kisha akacheka kile kicheko cha dharau kisha akaniangalia na kusema “ ngoja nikuoneshe namna ambavyo bro wako unatakiwa kumjuanga, kisha akanivuta na kunipa busu moja matata, mpaka nikajikuta nimetulia tu, na alikuwa anaonekana kama anahisia sana, ila ni kama anajikaza tu, basi akanikiss kwa takriban dakika mbili, kisha akanikumbatia kwa nguvu, na kuhema kwa nguvu kwenye masikio yangu , kitu ambacho kilinipa msisimko mkali sana na kusema “ kaka huwa anaagwaga hivyo kisha akaondoka zake…
ITAENDELEA…


NILIZAMA KWA MJUBA 4
HUSQER BALTAZAR
Kuanzia ameondoka akili yangu ni kama iligoma kabisa kufanya kazi, nilikuwa nawaza kuhusu alichokifanya muda mchache nyuma, nilikuwa kama nimevurugwa hivi, maana siku hio yote sikupata hata lepe la usingizi na zaidi sana nilikuwa namuwaza yeye tu na nawaza namna gani nzuri ambayo naweza kufanya mpaka akawa ananifiukiria mimi tu, nilikuwa nawaza namna ya kuwa nae na nilitamani awe pemben yangu muda wote…

Usiku wangu ulikuwa mrefu sana, maana usingizi kwangu ulikuwa kama dhambi kubwa sana kwangu ambayo sikuwahi kuifanya, niliogopa hata kufunga macho yangu maana nilihisi huenda yale mawazo mazuri juu ya kaka yangu wa kujitakia naweza kuyatawanya, nilitamani sana nisiwe namuwaza tu, bali hata niwe namuona, maana alikuwa kama dhahabu ndani ya moyo wangu ndani ya dakika chache sana…

Nikiwa nafikiria mara nikasikia sauti ya mama yangu ikiniita..
“ wewe umaymah umerudi saa ngapi?, yaan mtoto wa kike unazurura kana kwamba umekula miguu ya kuku, embu njoo kwanza uniambie matokeo yako, maana mtoto wa mama njire amepata division one, na amina wa mama mdogo wako salma nae kapata one, inaonekana mwaka huu watoto wamefaulu sana, embu nambie na wewe umepata ngapi?...
“ nimepata zero, nikasema kwa sauti ya kujiamin, kana kwamba nimefaulu sana..
“ nini wewe mtoto? Mama yangu akauliza kwa sauti ya ukali kidogo maana ni kama hakuwa amesikia ninachokiongea kabisa..
“ nimefeli mama nimepata division zero, nikaendelea kuongea..
“ yaan nilijua tu kuwa nimezaa kiazi, wakati wazazi wenzangu wanapambana kusomesha, bora hata mimi ningenunua ng’ombe ingekuwa wakati huu inanipa maziwa kuliko litoto lisilokuwa na faida, yaan na nauli zangu ukawa unachukua, na pesa za mitihani ukawa unaniomba kila wiki, kumbe ulikuwa unatafuta namna nzuri ya kuiremba zero yako, yaan kweli mimi nimezaa hasara tupu, mama yangu akaanza kulalamika, ila kiukweli hata sikuwa namsikia, nilikuwa nawaza lile busu la wabanga tu, na vile ndio mara yangu ya kwanza kupata busu basi akili haikuwa yangu, yaan mama yangu alikuwa kama anaongea na gogo, ambae hana anachoona wala anachosikia kabisa yaan…

Basi nikamuacha mama awe anaongea zake, maana nilikuwa kama nimevurugwa, na kama unavyojua ujana na mahusiano ni mapambano makubwa sana…
Siku hio usiku wangu ulikuwa mgumu sana, kila wakati nilikuwa nahisi kama mwili wangu unasisimka na kila wakati nikawa nawaza tu namna nzuri ya kuacha kumuwaza wabanga ila ndio sikuwa na namna zaidi ya kumfikiria tu..

Kesho yake asubuh wakati nafanya shughuli zangu za nyumban za kila siku, mara kakaja katoto ambacho kwa makadirio unaweza hisi kana kama miaka minne au mitano, kakanifata mpaka nilipo kisha kakaniambia “ dada kuna mkaka pale nje anakuita….
Kabla hata sijajibu chochote kile nikasikia mama yangu kadakia, akasema “ usikute ndio huyo ambae alikuambia upate zero ili akuoe, hakuna mwanaume siku hizi ambae anapenda mazuzu hata mmoja, sasa ni hivi nenda kwa huyo mpuuzi mwenzako, alafu mimi nitanunua mashine ya kuoshea vyombo na kufulia na kila kitu kitajifanya chenyewe umesikia…

Yaan hata nguvu za kutoka nje zikapotea ghafla, nikajikuta nakaa kimyua, kisha nikamjibu yu;le mtoto kuwa “ mwambie sipo, kisha kale katoto kaka ondoka zake, hapo ungekaa moyoni mwangu ungejua ni namna gani nilikuwa nimemmiss wabanga ila ncdio hivyo sikutaka kupigishana kelele na mama yangu…

Basi nikafanya zangu kaqzi nikmamaliza, kuna muda mama yangu akatoka akaenda zake vikobna, nikasema sasa nitoke, hapo nimemmiss wabanga balaa, ila ndio hivyo hata nguvu ya kumtafuta sikuwa nayo, na kingine mimi ni mtoto wa kike hivyo kujionesha dhaifu sana ni kama ushamba, na kingine sikuwa hata na simu ya bahati mbaya, nikatoka nikiamini huenda nitakutana nae….
ITAENDELEA…

NILIZAMA KWA MJUBA 5
HUSQER BALTAZAR

Basi nimetoka zangu sina hili wala lile, na katika mtaa wetu kuna sehemu kuna uchochoro, ile nakatiza tu nashangaa navutwa, kuangalia vizuri nakuta ni wabanga, aisee alinikumbatia kwa nguvu na kusema “ nimekumiss sana mamlai, alafu nikatuma chalii akute ile bimdash akakaza aisee, nilikuwa ninataka kuja kukuteka, maana siunajua mwamba nikishavurugwa sielewi kitu oote…

“ umekuja saa ngapi huku mtaani kwangu? Ikabidi niulize…
“ yaan aisee mamlai, unajua usiku sijapata hata kausingizi, kila nikifunga machoe enyewe nakuona tu huyu hapa, nikajikuta nakuwa kama poyoyo, nikatoka kule ninapokaa nikaja hapa manight hta nikubahatishe maana ile kiss aiseee ilikuwa inanitesa kikuzi, kila saa nakuona tunafanya nanii, ila ndio hivyo wewe mwenyewe unalala hata ufikirii kama kuna mwamba unamtesa ila barida tu, unaendeleaje mama la mama, akasema…
“ sijambo naendelea vizuri, nikajibu, hapo nimekuwa na heshima na adabu, hata hio nguvu ya kujibu8 kihuni tena sikuwa nayo…
“ mbona kinyonge sana mama la mama aisee, ila unaonaje ile busu ya jana mamlai, unaona kama nafaa kuwa nakupiga maeheee kila siku, maana mwenzako sijui kutongoza , nataka kukumiliki pekee yangu si unajua, akasema…

Nilikuwa naona aibu sana kumjibu, maana si unajua tena watoto wa kike tulivyo na aibu, na alipoona sijamjibu nikashangaa mwamba kanikumbatia kisha akasema “ asante sana kwa kunikubalia, nakuahidi kuwa nitakuwa pemben yako milele, na nitakupenda siku zote za maisha yangu, maana wewe ni dira na nguzo imara ya maisha yangu…
“ ohoo umeshaharibu mambo, akasema.
“ nimefanya nini? Ikabidi nimuulize maana sikumuelewa, nikashangaa amenishika mkono mpaka kwenye bgeto flani hivi la msela, kisha akanambia “ kwanini haujapiga jeki, kumbe alikuwa anamaanisha kwa nini sikuwa nimevaa sidiria, yaan ingawa alikuwa ameninunulia jana yake, ila kama mnavyojua mtu ukiwa haujazoea kitu namna inavyokuwa, nikajikuta nakaa kimya tu, nikashangaa mwamba anakaa nyuma yangu kisha akaanza kupitisha mikono yake taratibu kwenye kifua changu, alafu akawa anahema kwa nguvu nyuma ya shingo yangu na kusema “ kwanini haujavaa, ohooo mungu wangu wewe mtoto siwezi kujizuia tena, ohooo naomba nioshe, naomba nioshe rungu langu mamaa, naomba nioshe, nikawa sasa skimuelewi nimuoshe nini, akaanza kunipunguza nguo taratibu kisha akawa anasema “ wewe sio nyara ya serikali tena ni mke wangu, ahhhh ungevaa jeki nisingefika huku, na hautakiwi kunilaumu maana umeyataka mwenyewe mamaa…

Mama ohooo, akawa analalamika kisha akanivua shart, na nilikuwa nimeshasisimka vya kutosha kiasi kwamba hata nguvu ya kumzuia sikuwa nayo, alipoona namna tuchuchu twangu tulivyosimama akata macho kama gorong’ondo kisha akanikumbatia kwa nguvu, kumbe lengo lake ni vimchome chome ili azidi kupata msisimko…

Asieee alitunyonya mpaka nikaanza kuhisi nahama kwenye hii sayari alafu naenda kwenye sayari ya pekee yangu kimsisimko, mwisho mwamba akanilaza kitandani na kusema “ samahani sehemu hii sio rasmi, ila ikiingia hii jua siwezi kukuacha na kimkakati kabisa mamaa, unakuwa ndio mama la mama wa mile, millele, hapo nipo kimya tu, natamani aendelee, basi mwamba si akasema apitishe rungu ili alioshe, na kwa namna ambavyo alikuwa na hisia hata hakuweza kuanza taratibu, akasokomeza kitu mpaka ndani, aiseee nilipiga hio kelele moja, maana sio kwa maumivu yale ambayo nilikuwa nayasikia…
Na ile kelele yuangu ndio kama ilizidi kumpa mwamba msisimko wa hali ya juu, akajikuta anaongeza spidi, nikawa nataka nimtoe maana nilikuwa nasikia maumivu balaa, ila mwamba kaning’ang’ania hataki kubanduka kisha akawa ananiambia kuwa “ mamaaa vumilia mama la mama maana siwezi, ohhhh siwezi mamaaa, ashhh siwezi vumilia mchumba nitakupa dunia…
ITAENDELEA …..


Soma Kitabu

SOMA MAELEKEZO

Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote