Follow Channel

NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS

book cover og

Utangulizi

NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS
MTUNZI; BABY SMILE
EP 1.

Nyie ulishawai kukutana na dume kauzu afu kubwa, kumbe hata halijawahi kumkula mwanamke Toka lizaliwe, linatuchukulia poa tu wanawake kama vile hatuna maana yoyote ya kuwa duniani, ebu mje mjisomee huyu wangu nilikotoka nae...

Naitwa Manka kuoga, yaa napenda kuoga kuliko kula mtaani wakaona waniongezee na kuoga, mchaga mwenye Shep yake adimu, sijui hii Shep nilitoa wapi ila nimebarikiwa haswaa na langi yangu flan hivi, nafundisha kuoga Yani kwangu kuoga ni kitu muhimu mno...

Leo nilipitia Kwa lafiki yangu koku mhaya wangu huyu, alinipigia simu Kuna ishu tujadili, nilienda mpaka room kwake, oyaaa koku fungua basi nje, jua linachoma aisee, siwezi kuungua jua duniani na mbinguni nikaungue na moto...

Alinifungulia, Yani koku Sasa ni nini kufunga mlango mchana wote huu? " Manka Niko nakula sitaki shobo na majilani, Kuna wakaka wako hapa kazi Yao kucheki nani kapika wazamie kula, ila wao kupika awataki, Sasa koku ndo unawahofia hao Kwa nini usiwatoze pesa ya kupikia na kuhemea chakula, unafeli wapi jamani keruuuu🙆...

Wako wapi Mimi nikaongee nao chap, "ebu manka nitolee uchaga wako hapa, utanitia aibu Mimi, naomba ule tuongee usepe usinitie aibu, hio tenda unachukuwa wewe ni mama ntilie? Au biashara ya kufundisha watu kuoga na kunukia imedolola🤔, ni bola useme nikukopeshe mtaji mwingine kuliko kunitia aibu ya kupikia wanaume magetoni aisee..

Koku hujui kitu wewe, Yani Hela zinajileta hapa unazipiga teke? Mimi huo moyo sina nahitaji pesa, dear mjini sikuja kuangalia majengo nimekuja kusaka pesa popote ilipo, Yani siwezi acha hili dili niamini, kama kuongea tuongee ila hili dili siliachi...

" Najuta kukuita sijui nimejichanganyaje kukwambia, Sasa ni hivi Kuna tour ya kwenda ngorongoro tuchangie twende tukatulize akili dear...

Tunachangia sh ngap? " Million Moja Kila mtu, apo Kila kitu utakuwa umelipia mpaka chakula, keruuuuuu!! We koku Yani nitoe mshahala wa mwalimu wa miezi kadhaa, tena Kwa ajili ya kwenda kutishiwa maisha na Simba, mala tembo atukimbize wewe🤔 Yani nikitoka hapo lazima nipelekwe hospital, milioni? Na dhambi zangu naziacha uko au naondoka nazo?...

" Manka manka ata kama ni uchaga, shoga sio hivyo Yani unavyoteseka kusaka pesa Kila siku, kutenga siku mbili tu, unaona kazi...

Koku tatizo sio kutenga siku mbili tu, tatizo ni kwamba natenga siku mbili, siingizi pesa yoyote na kibaya zaidi naenda kutumia pesa tena ilihali siingizi wewe Mimi siwezi, nakuapia koku nikitoa ata muda wa safari haijafika nitakuwa mahututi kitandani natetemeka, milioni!!!!🤔 keruuuuuu...

Upande wa pili kulikuwa na genge Moja kubwa, linamiliki makampuni ya walinzi, na viwanda vya siraha kubwa kubwa, mpaka nje ya nchi, ni kampuni inayotegemea na nchi zaidi ya 20 Kwa kuandaa vifaa vya kivita mpaka visu, mabomu, lakini pia ilikuwa inategeneza magari ya kivita,Meri,ndege nk...

Mmiliki wa hizi kampuni alikuwa kijana mdogo tu wa miaka 28, lakini alikuwa ni hatali, hacheki na mtu, hahusiki, Hana udhaifu, hajawai kumiliki hata demu wa bahati mbaya, mshipa wa hisia kwake ni kama haipo kabisa ulishakatika, alikuwa anaogopeka mpaka na nchi zingine, jina lake lilikuwa ni tishio duniani...

Hana wazazi kalelewa na mafia, aliokotwa na huyo mafia akiwa kichanga katupwa, kalelewa kwenye Kambi ya majambazi sugu kuanzia akiwa mtoto mpaka hivi Leo mlezi wake alifaliki akabaki yeye kama mrithi, mlezi wake anamtoto mmoja wa kike, lakini hakuwa karibu nae hata kidogo, alichagua kukaa nae mbali Kwa usalama lakini, nahitaji yote alitoa Kwa Siri sana, na mtu pekee aliejua hii Siri ni CEO DARIAN...

Jamaa anaogopeka mno bandidu Moja hatali, ndie pekee alitambulishwa amtambue ndugu yake, koku Phillip, hivyo mafia boss anamdogo wake wa Siri koku, lafiki yake manka, ndio maana million kwake sio kitu,
" Sasa sikia manka mambo yasiwe mengi, Mimi nitakulipia, na nitakuongezea na pesa yakufidia hizo siku mbili...

" Ama bado hatujaelewana? AAA koku tunaachaje kuelewana kwenye pesa Yani apo roho yangu kwatu, ila Kwa nini hio Hela tusingeizalisha kwanza afu ndo twende my dear, " Manka jamani ivi huo ubahiri wako jamani, tutakuja kula Bata kweli bila kuzozana? Yani apa unatamani Sasa mpaka pesa yangu unifanyie biashara, ila umaskini mbaya sana, ni hivi kama unataka nikupe million 3 cash Kubali twende vacation hutaki hupati hata sumuni, keruuuu koku, tunaenda mama, nijiandae saivi ama sa ngap?...

Upande wa Darian, alikuwa akijiandaa, kumlinda mdogo wake Kwa Siri akiwa huko vacation, hakumshilikisha yeyote kati ya vijana wake....
Full unaipata kwenye hio link kipenzi Kwa buku tu bonyeza link ukasome yote huko kipenzi...

Itaendelea....💥


NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS
MTUNZI; BABY SMILE
EP 2.

Upande wetu tulikula, nikamtoloka koku nikaanza kugonga vumba na kuomba tenda za kupika, na kufanya usafi kufua sipendi, nilipata tenda koku anakuja kuamka jioni nishamaliza kazi Kwa wote na pesa nishalipwa, hakujua chochote, jioni hio tulilala kuandaa bajet ya kwenda vacation ngorongoro,Manka Mimi ni bahili lakini sio kwenye kuoga linapokuja swala la kuoga Nina sabuni zaidi ya Aina 5 tena sio za Bei chee ni Bei haswaaa, naanza kunukia tokea bafuni, ukiniona tu lazima kukubali kweli nihalali niitwe manka kuoga, mtoto sina harara Wala kipele ngozi laini na nyororo mtu huchoki kunitizama...

Usiku huo Darian na genge lake, walionda kwenye casno Moja Kuna biashara ya mitutu, walienda kufanya, casino inawatoto hawavai Yani ni unaamua tu ipite na yupi,lakini Kwa Daria haikuwa kitu anapenda, hakuwai kuamsha kabisa, walijitahidi kusogea kumkatikia bila hata kitu ndani watupu, nawengine hawakuvaa chochote, walipita mbele yake, lakini hakushtuka Wala kuwahitaji, wote walitambua jamaa ni hanisi, Kila mtu wake wakaribu aliamini hivyo...

Hata wadada wa casno waliacha kumshobokea, kwasababu haisimami kabisa Kila mbinu walizotumia hazijawai kufaulu, walishalipwa mpaka pesa lakini hakuna aliefanikiwa, jamaa hakuwa kabisa na hisia, walibadili wakamletea vidume huenda ni mtu wa sodoma lakini wapi, hii iliwachanganya sana watu, hasa wanafanya nae kazi, walitaka wapate udhaifu wa uyu jamaa...

Walinunua warembo tofauti tofauti, lakini wote waliambulia patupu, na wengine waliishia kuuawa Kwa kuforce mambo,leo pia waliandaa plan ya kumwekea kiamusha hisia kwenye kinywaji, walimtumia mtu wake wa karibu Tomas,huyu alikuwa pamoja na Darian, walikuwa maragiki Toka utotoni...

Lakini kumbe ,Tom alikitamani cheo na Mali za Darian, hivyo alikuwa adui wa Siri sana, hata Darian akuwahi kumuhisi japokuwa hamwamini yeyote duniani, ndio maana Kuna Siri hasemi hata Kwa watu wake wa kalibu, hata biashara zake hashei na mtu...

Leo tom aliamua kumwekea kiamusha hisia, kweli alifanikiwa, wakati huo Darian alishahisi hatali kabla dawa hazijaanza kufanya kazi, alichomoka, walianza kufatilia Ili wafanikishe jambo lao lakini alishasanuka, aliwakwepa, alitafuta mahali akaamua kujichua, Hali bado haikutulia,alijibinya mahali akazimia, amekuja kupata fahamu dawa zimeshaisha nguvu, Moja Kwa Moja akagundua lazima tom kamsaliti, hakutaka kumkacha mapema, alijipanga kumtegea mitego amweke kwenye 18...

Kulikucha sisi na mahemezi ya tour, tulihemea vitu vingi sana, wakati tunahemea koku alipigiwa simu na huyo kaka ake asiejulikana, wakaongea, alivyokata nikamchomekea swali ivi koku uyo kaka Ako mbona ni kama simuelewi Yuko nje ya nchi miaka Sasa, Toka tuko sekondari tumemaliza advance, chuo shoga, na huna mzazi yeyote zaidi yake au anamatatizo huko aliko wewe hujui?...

Manka rafiki yangu, mama kabla hajafariki aliwahi kuniambia nisifatilie chochote Wala kuuliza chochote Kwa baba, na nisijihusishe na ndugu yangu yoyote Toka Kwa baba, mwenyewe nahisi huenda Kuna Siri mbaya mbaya ndio maana sitaki kujua huenda ni hatali ata sielewi Kwa kweli😭...

Basi dear relax, twende tour Kisha tukitoka huko tutatenga muda tuchakate wapi pakuanzia, tulikubalia vizuli hao tukaludi home kujianda...

Safali iliiva, tukafika ngorongoro, siku ya kwanza ikapita vizuli tu, siku ya pili tukiwa tour, tulipitia njia kumbe Kuna tembo nyie nyie, acha tembo itutishie, nilijikuta nalia, koku akajikojoleta Yani, afu wanatuambia tusipige kelele Kila kitu kitakuwa sawa, kinakuwaje sawa, akati tena Yuko mbele ya gari yetu muda wowote anatufinyanga finyanga...

Bahati nzuli ilitokea gari nyingine kutuokoa, na ilikuwa na dereva mkaka Mmoja mzuli, dah nikasahau kama Kuna tembo mbele yetu nikaanza kumpigia hesabu kwanza....
Kupata full bonyeza hio link hapo juu itakupeleka Moja Kwa Moja kusoma na maelekezo yote ya namna ya kulipia buku tu yapo kwenye hii link vipenzi...

Itaendelea...💥


NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS
MTUNZI; BABY SMILE
EP 3.

Alihatalisha maisha yake mno, ili kutupa sisi nafasi ya kukimbia, na yeye akaluka tembo aliikanyaga kanyaka ile gari mmmh ikawa ujiuji, mpaka tunafika sehemu salama kila mtu hakuamini tulijua ndo basi tena historia yetu itakuwa imeishia kwenye matumbo ya wanyama,tulifika kila mtu kimya kimya tukaingia kuoga kwanza, lakini manka mimi ety nikawa na hofu na mtu nisie mjua kabisa, sijui katoka salama yani naoga roho juu juu...

Nilichukua muda mrefu sana kutoka bafuni, na ajabu nilisahau hata kuvaa ndala,nilitoka nikiwa mnyonge, ghafra namuona koku na yule kaka chumba tulichofikia, nilishangaa nikashtuka kitendo cha kushtuka tu nikashangaa nishakabwa na yule kaka, koku akasema kaka muache uyo ni manka rafiki yangu, hana shida, nikashangaa inamaana huyu ni kaka ake na koku🙄, sasa mbona ananikaba tena, wakati nashangaa na kutafakali nikashtukia tu kasindano na ufahamu wangu ukapotea nakuja kushtuka nimefungwa mahali tofauti na tulipokuwa na niko peke yangu tu na kaka ake na koku...

Nilimtizama akanitizama uku anahangaika nikabaki nashangaa anaonekana kulazimisha chuki kwangu alafu anashidwa, alinisogelea, alivyonisogelea tu akajikuta anafumba macho na kuludi nyuma, akiwa kwenye hio hali simu yake ikaita hakutaka kuipokea ila Mungu alikuwa upande wangu badala ya kukata, akapokea ikabidi tu aongee...

" Kaka endapo utamfanyia kibaya chochote rafiki yangu, ujue mimi na wewe undugu umekufa, kisha simu ikakatwa yule kaka alinitizama sana mpaka nikaona aibu,alisogea nikazima tena nakuja kushtuka niko kwa koku nimelala, hii ilinipa hofu mmmh...

Nilianza kuwaza, koku akaingia chumbani alinitizama kisha akasema, " mank najua unawaza mengi ila niamini mimi hakuna kitakachokukuta kaka alikuwa na hofu tu akahisi wewe ni mtu mbaya...

Nilimtizama kisha nikaamua kuongea, koku ujue mimi sikuelewi kabisa, wewe ulisema kaka ako ayuko tanzania hii, yuko marekani, sasa hivi dah mbona unanitisha, koku aliamua kufunguka japo alinificha kama kaka ake ni mafia, badala yake akasema tu ni tajili anaejificha, hivyo anahofia kujulikana na kuonekana na watu wake wa karibu kuhofia watu wake kutekwa ili aingie kwenye kumi na nane za maadui...

Wapinzanj ni wengi sana, hivyo anaishi kwa tahadhali mno, na yuko hapa hapa nchin japo mala moja moja sana huwa anaenda nje kwasababu anamakampuni yake huko, namuamini sana koku, hivyo sikutia tena shaka nikaamini...

Zilipita kama siku mbili, nikiwa nawauzia wadada flani shower jell, scrub, rose water, na maua rose na vitu kadhaa vya kuogea na ngozi, walikuwa wakioneshana picha nakuambiana, mkaka mzuri ila sio ridhiki, wakamjadili vibaya mno, nikatamanj kumuona kuoneshwa kwanza nikatoa macho ila nikaficha mshtuko wangu, wakaanza kusimuliana make walikuwa niwale wadada wakwenye casino, ni miaka ata mwanamke apite mbele yake uchi, haisaidii kitu...

Dah walivyoondoka tu, kimuhe muhe nikampigia koku na kumuomba aje leo kwangu,ninaumbea mzito ila unauma tunahitaji kutafuta suluhu...

Kusikia umbea ata hakusubili saa moja mbele tayali na kimkoba chake katimba dukani kwangu,ubuyu unamuwasha, nikimtizama namuona kabisa huu ubuyu unaomuwasha unaenda kumuuma zaidi ya kidonda cha oparation, wakati namkadilia atakavyopata maumivu, akaanza na yake , " unaonaje manka bithday yangu, wiki ijayo tukailie zanzibar?...

Heee keruuuuu!! Koku we umeshindikana nfugu yangu, yani tumenusulika kifo cha tembo, sasa hivi unataka tukaziweke rehani roho zetu kwenye maji mle, tutekwe na majini au maji yatuteketeze ndo utalizika? Mbona naanza kuhisi kama vile 🙄🤔, unatumia panadol za kenya ee? Naomba uniambie siku izi panadol unazonunua kwa ajili ya kutuliza maumivu ya kiuno cha piliodi unachukua za wapi? Ninauhakika zitakuwa za kenya hizo, zishachezesha ubongo wako kiasi kwamba huogopi kifo, yani unakitaka kwa lazima kifo, hata haufikilii mala mbili mbili saivi ni kukibipu tu kifo muda wote, my dear sheree nzuri sio lazima usafili my dear sio lazima hio part tutaifanyia hapa hapa, sijui kama tunaelewana?...

" Ha ha ha ha ha Manka ujue uoga wako utafanya tusifaidi mengi, kifo kipo tu dear hatuwezi kuzama kama sio siku yetu, kiruuuuuu!! Ebu ona hii ng'ombe ya mhaya 🤔, usisahau kuna siku za Mungu afu kuna za binadamu sasa neng'eneka wakutoa kafara ndo utanielewa muda huo ushakuwa msukure....

Acha kunitisha, ayo mawazo yakimasiki, sijui unayatoa wapi funga twende kwanza nyumbani, nimeitizama sura yako inaonekana kabisa umbea inaotaka kunipa ni special, hivyo hauwezi kuutoa hapa, na ninavyojiona siwezi kusubiri hio subra sina...

Tulifunga chap chap, mpaka geto kwangu kwenye chumba na sebre self,tulifika cha kwanza ni kuoga, kisha tukaingia kupika tumepika, tukaoga ndipo tukaja kula,tukiwa tunakula simu ya koku ikaita, alikuwa kaka ake...

Walisalimuana akaulizwa uko wapi akajibu, akajibiwa sawa, simu ilivyokata akasema Manka naomba iki chakula tumtunzie kaka,sisi tuagize tu chips tule, uyu akiuliza tu uko wapi ujue hajala ananjaa anaogopa kula huko, sikubishia tuliweka kwenye hotpot, tukapigia toyo simu alete chakula na matunda tumwandalie kaka juice...

kabla boda hajafika, alifika kaka Darian, koku ndie alienda kufungua mlango, aliingia tukamsalimia akaitikia, hakuwa muongeaji, ika ule uzuli wake, niliona kabisa, naingiwa na tamaa, nikakumbuka kuwa haisimami, pozi likaniisha...
Kupata full bonyeza hio link hapo juu ukasome yote mpaka mwisho kwa buku tu...

Itaendelea....💥


NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS
MTUNZI; BABY SMILE
EP 4.

Nikatulia tuli, ila kila nikipiga jicho ivi kumtizama nakutanisha nae macho nikama nae ananitizama 🤔, nikawaza uyu vipi, au ananichunguza? Nikakausha, ila nikawaz uyu ata kuongea hamna mbona anaonekana ni mtu wa ajabu sana 🙄,boda alivyogonga hodi, yani ni sec, jamaa kapotea sebuleni na chakula chake, yani mimi nainuka...

Kwenda kufungua mlango, nahisi tu kitu kana upepo, kugeuka hakuna mtu, nilijikuta tu nacheka kwa nguvu, ata nguvu za kufungua mlango zikanikosa 😃,ikabidi koku akafungue akapokea nakulipia, tukaingia kuandaa juice tunaoenda kufatana kama kumbikumbi...

Uvumilivu ukanishinda, nikajikuta naanza kumsimulia koku kika kitu,koku akachoka huenda kweli manka, kaka angu ajawai kunitambulisha kwa demu yoyote, yani hata mimba tu basi nipewe mtoto shangazi lea damu yetu hio hakuna, huenda anatatizo maskini kaka angu, koku alijikuta anatoa machozi uku akisema na hivi hatuna hata wazazi huenda kaka angu hana mtu wakumweleza tatizo lake...

Nilisogea nikamkumbatia rafiki yangu, kisha nikamwambia usijali koku tutatafuta suluhisho kwa pamoja, nashauli tutafute dawa sisi wenyewe, hatuwezi shindwa tumtibu kimya kimya, " ila tuwe makini sana kwenye kutafuta dawa, tusije kuingia kwenye matatizo ama kumuingiza kwenye matatizo...

Nakuelewa koku,nafikili tukatafute vijijini huko tufunge safari kwa ajili ya hili, " hee manka ni wewe au naota? Huwa haukubali kusafilli mpaka nikuraghai na hela, ika kumbe kwenye matatizo haujali muda ee? Acha ujinga apa tunazingumzia afya na kesho ya ukoo wenu, bila kuzaa ujue ndo ukoo utakuwa umeisha ivo...

" Manka hii mala ya tatu unanisaidia bila gharama , wala kulalamika muda, ila ningesema tutoke tukatulize akili, ungeanza kunisomea mapato na matumizi hadi deni la raifa ungeliunganisha, nakuja kuinua hivi shingo nimchane koku, nakutana na jiko nyanya, kafula ananitizama..

Nikaogopa inamaana alikuwa hapa anatusikiliza muda wote? Koku alivyoona kimya, akainua kichwa na kunitizama, akaona niko kwenye mshangao, akaamua kugeuka,alivyogeuka tu kaka mtu akawa kashasepa, hivyo hakuona hofu ikabaki kwangu...

" Manka unashida gani mbona nikama umeona akitu chaa kutisha? Shoga tumeumbuka kaka ako katusikia kila kitu, " acha utani manka🙆, ndo ivo sikutanii we ulivyogeuka tu akaondoka, tuliamua kukaaaa kimyaa tuhakiki kama kaondoka...

Tulitoka tukacheki kila kona, lakini hakuwepo, aisee nilikula kwa hofu na mawazo mno, nilimaliza nijaoga nikaingia kulala, koku alitaka kuibua tena mada nikamuomba aache kwa leo imetosha,tulilala kumekucha asubuhi, nimeamka mapema nijaandaa chai, koku huwa sio mtu wakuwahi kuamka nilishamzoea, na hapendi kupika, mpe kufua utafurahi, ila mimi kufua mpaka nimualike koku😃, au nikafue kwa dobi kila mtu na udhaifu wake aisee...

Nimemaliza kuandaa chai, nikadeki nyumba nijaongia kuoga nineoga nikatoka ile nataka nijipaje mafuta, nikakumbuka kuna mafuta ya nywere nikuja nayo jana, nimeyasahau jikoni, nijatoka nakitaulo changu kwenda kuchukua tena nikiwa na taulo kiunoni kifua wazi kabisa...

Nimeenda nikachukua wakati naludi, paaaa kaka Darian huyu hapa, kupiga kelele nikashindwa, kukimbia nikashindwa nikabaki namshtuki tu tena kibaya zaidi taulo ikadondoka chini, jamaa akawa ananitizama kwa uchu kabisa yani uwiiiii....
Kupata yote mpaka mwisho bonyeza hii link juu au chini ukaisome yote hadi mwisho kwa buku tu...

Itaendelea...💥


NIMEMUONJESHA ASALI MAFIA BOSS
MTUNZI; BABY SMILE
EP 5.

Alikuwa kama kachanganyikiwa hivi alinisogelea ila kabla hajanifikia, koku akaanza kuita, alitoka nje halaka kama upepo, ndo namimi nikashtuka huyo, hata sikumwambia koku niliigiza niko sawa kabisa,tukaachana kwenda kwenye pilikapilika zetu...

Upande wa darian, moja haikai mbili haikai, alikuwa kachanganyikiwa sio kawaida, "kwa nini huyu binti nashindwa kujizuia juu yake kwanini 😭, sitakiwi kupenda, sitakiwi kuleta ukalibu na wanawake nitakuwa dhaifu, kuanzia leo sitamkalibia, natakiwa kuwa makini sana, alijiwazia na kujiaminisha ataweza kukaa mbali na manka, binti aliefanya ajihisi tofauti kwa mala ya kwanza, na kufanya kitu yake isimame imara kuliko siku zote toka azaliwe...

Aliamua kuludiaha akili yake kwa kufanya kazi ngumu, aliingia kiwandani, na kuanza kupiga kazi ngumu, hakuna aliehisi utofauti kwa sababu sio mala yake ya kwanza kufanya hivyo, hakuna anaemuelewa akikasilika anakuwaje na akiwa na furaha anakuwaje, muda wote yuko na sura ya kazi kama mtegua mabim vitani,hata kama kapata taarifa ya furaha, huwezi muona akicheka au kuonesha furaha yake...


Tom alikuja kwa bashasha na kumsalimia, alijibu kawaida kamz hakuna kosa katambua, akaja na maji kumpa anywe, asante tom, niko sawa kuna jambo nalishughulikia, sitokunywa wala kula kwa raha mpaka liishe, nitakuwa nikila mala moja kwa siku, hivyo usihangaike na ida zangu, nikimaliza hili jambo naomba ratiba yangu ya chakula na maji iludi kama kawaida...

Tom; Bro ujue mwili ili ufanye kazi vizuli, unahitaji uwe umeshiba, sizani kama ni wazo zuli, kuandaa project ngumu, ilihali huli...

Dariani; usijal naelewa nini na fanya, hii project inauhusiano na uzito pia wa mwili wangu, kuwa na amani ndugu yangu, alijibu nakuendelea na mazoezi lakini Tom aliendelea kuongea mpaka Darian akatumua uboss kumfukuza kwa ukali tena mbele wa watu wengine, Tom aliondoka huku akilaaani vibaya mno, nakuongeza chuki zaidi,alitoka hapi nakwenda kukutana na genge jingine hatali, hili linajihusisha na madawa ya kulevya, linabifu kubwa na Daria kwa sababu, Daria alikataa kuendelea na biashara haram...

Akajitanua na kutengeneza jina lake kwa ukubwa zaidi, bila kutumia wazoefu wa umafia hivyo, wakaona kama dogo anawazibia ridhiki na kuwadharau, wakaunda kikundi kwa ajili ya kumuangusha chini Darian, kila mbinu wanayotumua inafeli, kila wanachokifanya kibaishia pabaya, miladi yake Darian, inakuwa na inasoko, wao wakijalibu wanaishia kufilisika....

Wakimtumia majambazi , wanaludi watu wao wakiwa walevavu wa viungo, wanaludi hawatamaniki, wamepigika mawengine wanaludisha wakiwa wameongezeka majina, kama ni juma, wanakuwa marehemu juma...

Ikafanya sasa hivi wanamuondolea watu wake wa karibu, lengi ni kutafuta udhaifu wa Darian, lakini pia kuiba formula za kampuni yake, pasipokujua hajawai kumwamini mtu kila kitu huwa anachanganya mwenyewe, kiwanda na wasaidizi wao wanaendelea na kuunfa ila kuna kitu kimoja huficha mti yeyote asitambue siri ya ubunifu wa bidhaa zao...

Walimchukua tom na kumlipa pesa ndefu sana, ili tu wapate siri, lakini hawajapata sasa wanamtumua kuhakikisha anaangamia, zilipita siku tatu, hatujaonana na kaka Darian, nilikuwa natamani hata kumuona tu,kumbe hata yeye huko hajiwezi alikuwa akiniwaza kila muda, akaona ya nini kujitesa...

Acha aje ata kuniona kwa mbali tu,kafika kwangu kimya kimya sikuwa nimeludi ndo nilikuwa njiani natoka kwa koku, nimefika ndani kwangu sina hili wala lile kumbe mtu yuko ndani kwangu, kaingiaje sijui, nafika moja kwa moja chumbani nikaoge kwanza...

Lakini nikasikia harufu ya chakula, ila nikapuuza nimetoka tu ivi kuoga, mwamba uyu hapa, nilipiga kelele, akaniwahi na kiss ya mdomo, nilipoa mpaka ananiachia nikawa najionea tu aibu uku najisemea tu moyoni, uyu ananilainisha akati ata kunitia hajui...

Muda huo kashanivuruga vibaya mno, na kibaya zaidi nilikuwa tayali nina latiba ya kwenda kwa boyfriend wangu, nikazipunguze, japo sikuwa nimefanya maamuzi yakueleweka nilikuwa nasita sita, boy mwenyewe ashanichosha kabisa, kila siku ananipiga matukio, mpaka hata hisia nae tena sina...

Nililudi kwenye ufahamu wangu nijamkalibisha, hakujibu chochote aliniambia tu vyas uje tyle chakula tayali, nilishukuru Mungu leo na mimi nakuta nimepikiwa, nilivaa chap chini nikafunga khanga tu sikuona kama kuna ubaya ukizingatia dume nililonalo wala halifanyi kazi, sikuogopa kabisa hata kibrauz nilichokivaa kilikuwa cha ajabu ajabu tu cha kulalia vichuchu vinajichonga...

Nilifika tukaanza kula kimya kimya simu yangu ikaanza kuita, kucheki mpigati, ni msubili mzigo, nikaipuuza iliita wee na misms kibao, mpaka kaka akachukua simu yangu, nilimtizama kwa mshangao, lakini hakujali, alikagua, akaona sms za ahadi ya mzigo, alinitizama kwa hasila...

Nikaogopa akaipiga pale pale ile namba, akampiga biti, ajae mbali na mke wake, mimi 🙄, alivyomaliza nijamwambia kaka, kabla ata sijaendelea ajadakia mimi sio kaka ako, nikashtuka huyu kulikoni, akaanza kunigombeza kibaya zaidi na kofi akanipiga, nikapanic yakichaga yakaamka, aya umekataa wewe sio kaka angu aoa unanifokea kama nanj yangu?

Mimi nimekamilika ninahisia sio mtoto wa kunichunga nakula na shiba, aliuliza tu swali moja " unahisia?
Nikajibu kama ulivyosikia mimi nimekamilika,nilishtukua tu nimebebwa uyo mpaka kitandani...
Kilichonikuta mimi 🙌...
Kupata mwendelezo bonyeza hii link hapo juu ukasome yote hadi mwisho kwa buku tu, namna ya kulipia ukibonyeza hii link itakupa mwongozo wote ukipata shida nicheki whatsup nitakusaidia...

Itaendelea...💥


Soma Kitabu

SOMA MAELEKEZO

Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote