PENZI LA MAFIA
Mtunzi ALICE
Mwandishi ALICE
Epsd 1.
Nilikuwa natembea nikitafuta kazi kila ofisi niliingia ofisi nyingi sana nilikataliwa kazi na nilikuwa ninamawazo sana kwani natakiwa nipate pesa nikamtibie mamaangu ambae alikuwa yupo hospital na hakuna mwengine wakumsaidia zaidi yangu japokuwa nilikuwa ninakakaangu nae alikuwa kama mzigo tuu alikuwa ananiongezea matatizo kilasiku kwa kucheza kamari na kudaiwa hovyo huko natakiwa nimlipie mimi yaani ninapitia mitihani sana nikiwa barabarani bado sijapata ufumbuzi nilipigiwa simu na nilipopokea alikuwa ni nesi
"Hallow"
"Hallow Reina?
"Yes"
"Unaongea na nes hapa hospital alipolazwa mamaako"
"Ndio nes"
"Mamaako anahali mbaya sana na niwewe tu wakumuokoa unatakiwa uje ulipie laki mbili na elf themanini na nne ili aingizwe chumba cha upasuaji haraka iwezekanavyo ana siku mbili tuu unapaswa uwahi vinginevyo hatokuwepo tena duniani"
Niliogopa haswa na kuishiwa nguvu nitaweza kupata wapi hiyo hela ya operation haraka hivyo jamani nilikaa chini hapo hapo nilipokuwa nimesimama alipita dada mmoja akanitizama alinionea huruma akanisogelea na kisha alinisalimia na kuniuliza
"Msichana mzuri vipi mbona unahudhuni namna hiyo eeh unatatizo gani?
Nilimtizama kwa huzuni nachozi likinitoka nikamjibu
"Dada mamaangu yupo hospital natakiwa nipeleke pesa ili afanyiwe operation ninasiku mbili tuu nimuokoe nitawezaje na sina ajira kila ninapo ingia hawaitaji mfanyakazi"
"Pole kipenzi ila kama utaweza mimi nafanya kwenye kasino moja kubwa hasa uko mjini kupata tip kwa siku kawaida sana unapata mpaka lakitatu nne ukiwahudumia vizuri wateja kwani wanaokuja hapo wengi nimatajiri wafanya biashara wakubwa kama utapenda twende nikaongee na meneja uanze kazi leo hii hii nitasema wewe nindugu yangu unasemaje?
"Sawa dada twende haraka sasahivi kwa jinsi nilivyo sihitaji kuchagua kazi nikama mungu kakuleta kwangu nakataaje sasa eeh twende"
Niliinuka na kuongozana nahuyo dada hadi katika hotel moja kubwa sana hotel yenye hadhi ya nyota tano ilikuwa yakimataifa hasaa tuliingia sehemu ya casino huko kulikuwa kunawatu wanahela sana wanacheza makari wengine wanachezea wapo mezani wanakunywa na kula burudani zakila aina zinatolewa hapo nilikutanishwa na meneja akatuambia twende ofisini tulimfuata huko ofisini na kisha tulimuelezea akanijibu
"Niwewe tuu kuamua hapa kazi umepata naulivyo mrembo unapataje shida eeh! Hembu inuka"
Niliinuka nikaambiwa zunguka nilizunguka aliniambia
"Nenda ubadili nguo uingie kitengo cha vip upesi kuna madoni wameingia ukofanya haraka"
"Sina hata nguo mbona zakubadili"
"Nenda mwenzio atakupa zipo huko huko pendeza sasa uwe mrembo aswaa"
"Sawa"
Niliongozana na mdada alienileta na kunionyesha chumba chakuvalia kisha alinikabidhi kwa mtu wa mavazi nikaingia yeye aliondoka nilianza kufanyiwa simple mecap kisha kilitolewa kigauni kifupi kama brauzi yaani kilishika mwili na vile ninakijishep changu cha uchokozi wewe acha tuu nilimuuliza
"Huwezi kunipa ndefu ndefu kidogo isibane sana eeh?
"Hapana hii ndio itakufanya uwachanganye zaidi matajiri na wakulipe pesa nyingi"
"Mh! Sawa"
Nilikuwa naogopa sijui nini hiki nimeingia kufanya yoote nilijiambia nataka mamaangu tuu apone vingine sijali nilisikiliza maelekezo yao niliambiwa niende nikapeleke vinywaji vya nilipewa trey ilikuwa ina chupa ya whisky na grass mbili kisha na kikombe chenye barafu nilipokea na kuelekea nilipoambiwa niende kilikuwa ni special rooms nilipofika nilifunguliwa mlango nikapita na baada ya kuingia niliwakuta wababa wanne wamekaa wanakunywa pombe kama hii nikiyo ileta wanaonekana niwatu wenye hela haswaa nilipofika nikaweka mezani hapo kisha nilitaka kuondoka nilishangaa nimevutwa tuu mkono niliogopa haswaa kisha yule alienivuta akaniambia
"Leo utaenda namimi kwangu"
Nilibaki nimetoa macho kisha niliondoka haraka hapo na kurudi kwa wenzangu nikiogopa yule dada alienileta akaniuliza
"Vipi mbona haupo sawa?
"Ninahofu sana kunambaba alinivuta mkono na kuniambia leo nitaenda nae nyumbani kwake nini sasa hivyo jamani?
"Hahahaaaa wewe nae kwani huoni nibahati umepata wenzio tunazitafuta kama hizo wewe ndio unefika tuu na umeipata"
Nilimshangaa anaongea nini huyu yaani wakati namshangaa alikuja kijana mmoja akauliza kunabinti katoka kupeleka whisky vip room anaitajika nilishtuka wakasema wenzangu
"Huyu hapa"
Yule dada niliekuja nae akaniambia
"Nenda sasa ila kuwa makini sawa mimi naitwa Mariana wewe"
"Reina"
Nilishikwa mkono na kutolewa nikipelekwa nje nikamuuliza yule kaka
"Mbona unanipeleka nje?
Yule mkaka hakujibu kitu yupo siliazi hacheki amevalia suti nyeusi alikuwa haongei yupo kama body gady alinipeleka hadi kwenye gari moja nyeusi aina ya v8 tulikuta wengine wamevaa kama yeye wakafungua mlango haraka wagari kisha niliingizwa humo dakika mbili nikiwa nasumbua kwani nilikuwa siwaelewi nataka nitoke nilimuona anakuja yule mbaba alieniambia nitaenda nae kwake leo akiwa na watu kama wanne nyuma kisha alifunguliwa mlango wa gari niliyokuwa mimi nipo akaingia na gari zikaanza kuondoka hapo hapo
Je nini kinaenda kumtokea Reina endelea kufuatilia...........
PENZI LA MAFIA
Mtunzi ALICE
Mwandishi ALICE
Epsd 2.
Tulienda hadi nyumbani kwake huyo mbaba ilikuwa ninyumba yakifahari sana ilikuwa ninyumba nzuri mno inamageti matatu makubwa ilikuwa kuifikia nyumba inaeneo kubwa haswa kunabustani nzuri zakuvutia niusiku lakini taa zilimulika kama mchana na palikuwa panaonekana vizuri sana walinzi kilamahali tulipoifikia nyumba gari ilipaki na kisha walikuja kumfungukia mlango wa gari wale watu waliokuwa karibu nae muda wote kisha alishukana kumuambia mmoja wao anaonyesha ndio kiongozi wa mabody gad
"Mlete chumbani kwangu"
Kisha alikuja na kunifungulia mlango wa gari namimi kisha alinishika mkono na kunipeleka ndani yaani asikuambie mtu hali niliyo kuwa nayo mimi nimbaya sana ila nilijikaza tuu nilikuwa natetemeka vibaya kwa uoga nilikuwa nawaza mambo mengi sana hadi chumbani kwa huyo mbaba kisha nilikuta yeye tayari yupo kwenye jacuzzi katulia nilipoingia mlango ulifungwa nilibaki nikitetemeka alikuwa nimtu mzima tuu kwangu alinianitizama kisha akaniambia
"Njoo hapa karibu"
Nilitamani kukataa lakini nawezaje nipo kwenye himaya yake nikajisogeza taratibu huku nikiwa natetemeka nilipofika nilisimama hapo akaniambia
"Wewe nimgeni hapo casino sio?
"Ndio na sijui nikazi gani haswaa huwa zinafanyika hapo naomba nisamehe mimi niruhusu tuu niondoke"
Alicheka kwa dharau kisha aliniuliza
"Kwani nini kilikuleta pale casino mrembo?
"Nishida zangu babaangu mamaangu anaumwa sana nimepewa leo na kesho nitafute laki tatu ili aweze kufanyiwa operation nilikutana na mdada mmoja mfanyakazi wa hapo ndio akaniambia nije pale kufanya kazi"
Alitikisa kichwa na kisha akamiuliza
"Sasa ungeipataje hiyo hela na pale mshahara nimwisho wa mwezi eeh?
"Ata sijui itakuwaje?
"Ok fine kwangu sio tatizo utalala namimi usiku mmoja nitakulioa milioni moja upo tayari?
Nilimtizama kwa hudhuni na kimoyo moyo nilijiambia kwa garama yeyote mamaangu lazima apone niliitikia
"Ndio nipo tayari ila nipe kabisa hiyo hela"
"Nipe simu yangu hapo nakisha unitajie account gani nikuingizie hiyo hela"
Niligeuka na kuchukua simu yake nikampa nakisha nilimtajia account yakuingiza hiyo hela nakweli aliingiza milioni moja alipomaliza akaniambia
"Haya tayari njoo uniogeshe hapa vua nguo upesi"
Nilianza kutoa nguo zangu taratibu na kisha nilibaki na chupi na kifuani sikuwa hata nakitop kwani huwa siwezagi kuvaa sidilia chuchu zangu nindogo sana huwa navaa singled kwa ndani hapo sasa huyu mbaba aliponiambia nitoe nguo nilitoa zoote kasoro chupi nakisha nilimsogerea hapo na kuanza kumpaka paka sabuni na kisha nilianza kumwagia machi alikuwa akinitizama sana usoni kisha aliniambia
"Unajua wewe nimrembo sana jinalako nani"
Nilimtizama kwa uwoga sana kisha nilimjibu
"Naitwa Reina"
Alinyoosha mkono na kushika chuchu zangu nilitamani nimtoe kofi lakini nitafanyaje mimi nilikuwa nahasira vibaya mno ila yeye alikuwa anatamaa sana kisha aliniambia
"Jina lako nawewe ulivyo nisawa kabisa ona chuchu zako zilivyo nzuri"
Aliongea na kunisogerea akaidumbukiza mmdomoni chuchu yangu nilipatwa namsisimko kwani nimalayangu yakwanza naruhusu mwanaume anachezea chuchu zangu mwili mzima ulisisimka nilijizuia tuu kumfanyia fujo alininyonya nahuku mkono mwengine alikuwa akiichezea chuchu nyingine kisha aliamua kusimama akatoka kwenye maji akachukua taulo kukausha maji kisha alininyanyua hadi kitanda alinilaza taratibu kisha alikuja kwa juu yangu alinitembezea ulimi kuanzia masikioni hadi kwenye ukucha nilikuwa natetemeka mithili nimepigwa shoti hadi aliniona kwa uoga niliokuwa nao akaniuliza
"Upo tayari kweli maana naona unatetemeka sana"
"Ndio nipo tayari usihofu"
Alitabasam nakisha akaanza kunivua chupi kisha aliniweka vizuri na kuanza kuingiza taratibu huku akinitizama usoni huwezi amini nilikuwa najikaza haswaa hadi alipoizamisha nusu nilikuwa nahisi maumivu makali sana mithili ya mtu ananichana chana viwembe ndani yaani maumivu makali haswaa alielewa anavyoingiza kuwa huku ndio mala ya kwanza kunapitishwa mashine akaniuliza
"Reina unajisikiaje?
Nilijibu huku nikitabasam kinafki maumivu makali
"Najisikia raha"
Aliendelea kufanya lakini asikuambie mtu hadi nilikuwa nalia huku nalifinya godoro alipomaliza alitoa nakisha alienda bafuni kujisafisha nilijizoa zoa huku nikiugumia haswaa nikaingia bafuni kujisafisha nilipomaliza kujisafisha nilichukua nguo zangu na kuvaa yule mbaba alikuja na kunikumbatia kwa nyuma na kuniambia
"Wewe mtoto mtamu sijawahi kukutana na msichana mtamu namnahii"
Nilikua kimya kwani nilifanya hivyo bila mapenzi yeyote kwa huyo mbaba nilifanya kwaajili yakumsaidia mamaangu ilinibidi nijikaze nifanye hivyo yule mbaba kisha aliniachia na kutaka kupanda kitandani alipoitazama shuka kitandani akaona damu kisha alinigeukia na kunitizama alafu akaniuliza
"Ulikuwa bado sio?
Nilimtizama nakisha nikainamisha kichwa chini kwa aibu nilijikaza na kujibu kwa kichwa kuwa ndio yule mbaba aligeuka akanikumbatia na huku akiwa na furaha sana akaniambia
"Wewe utakuwa wangu mimi tuu"
Nilishtuka na kuogopa sana alikua anamaanisha nini huyu mbaba jamani ata simuelewi kwani sina hisia zozote nayeye nilikuwa hata sitaki hayo mambo jukumu langu nimelimaliza tayari leo anaongea hivi simuelewi kabisa kisha alimuita muhudumu wa ndani nakumuambia abadili mashuka haraka na baada ya hapo aliniuliza
"Kunakitu unahitaji labda kula hivi au kunywa"
"Hapana nahitaji kulala tuu ili kesho asubuhi niondoke haraka niwahi hospital kuwaruhusu waanze kumfanyia operation mamaangu tu"
Alinivuta na kunikumbatia alitokea kunipenda sana inaonyesha maana muda mwingi amekuwa akinikumbatia kumbatia tuu kisha akaniambia
"Usijali kuwa na amani Reina"
Kisha alipanda kitandani na kuninyooshea mikono ili nimfuate nilimsogelea akanivuta kifuani kwake kisha alinilaza kifuaniani kwake na kunikumbatia hadi kulipokucha asubuhi nilijitoa taratibu kwa kunyata nikaingia bafuni kuosha uso na kisha nilitoka na kuvaa nguo zangu nilikuwa nazo kwenye pochi yangu kwani niliondoka na nguo za pale casino nikiwa nimezivaa na nguo zangu zilikuwa kwenye pochi nilipotaka kuondoka alinivuta mkono na kuniambia
"Unaondokaje hivyo wewe niwangu mimi sasa"
Nilizidi kuogopa nikamjibu
"Nawahi kuenda hospital kwa mama"
"Sawa ngoja nikupeleke"
"Hapana nitaenda mwenyewe usijali kuhusu mimi nitafika tuu mimi"
"Najua utafika lakini wewe kwangu tayari wathamani sana kwangu nisubili naingia kuoga sasa"
Aliinuka na kuingia bafuni kuoga na baada ya kumaliza kuoga alitoka na kuvaa kisha aliniambia
"Twende dining kwanza"
Kisha alinishika mkono na kunipeleka dining asikuambie mtu ninyumba kubwa sana na ilikuwa nzuri sana tulipita sebure ilikuwa ina fenicha zamaana haswaa zakishua hadi nilikuwa naona kama naota hicho chumba chenyewe nilicho lala nikama chumba cha mfalme kabisa sasa hapo dining mama acha tuu tulipofika hapo yule mbaba alinivutia kiti nikae nilikaa nae alikaa kulikuwa na kilakitu hapo mezani
Je unazani nini kitamtokea binti Reina tafadhari endelea kufuatilia .............
PENZI LA MAFIA
Mtunzi ALICE
Mwandishi ALICE
Epsd 3.
Tulikaa na kuanza kula nilikuwa nakula lakini sipo hapo sina njaa ila nolishindwa kumkatalia huyo mbaba kwani nipo kwake na nyumba nikubwa haswaa na ipo mbali sana katikati ya pori na inamageti karibu matatu walinzi sasa ndio usisema na kunawafanyakazi wengi humo jamani tulipo kuwa tunakula alikuja jamaa mmoja alikuwa ni kama baunsa hivii kajazia hatari akamnong'oneza sikioni hata siku sikia chochote walichoongea gafla yule mbaba alifoka kwa hasira aliinuka na kuniambia
"Reina inuka twende"
Niliinuka haraka haraka nakisha nilimfuata alitoka hapo na kuelekea nje kwenye gari kisha tulifunguliwa milango na wale mabody gad wa yule mbaba tukaingia kwenye gari kisha gari ilitolewa hapo tukaanza safari kulikuwa na dereva anatuendesha na nyuma yetu kulikuwa na gari nyingine ya mabody gad wake aliamlishwa dereva aendeshe gari mpaka hospital niliyomuambia alipolazwa mama tulifika hapo gari ilipaki na kisha milango ilifunguliwa na baada ya hapo tulishuka nakuelekea ndani nilienda moja kwa moja na kumkuta doctor nikamuuliza
"Vipi mamaangu anaendeleaje?
"Mamaako anasubili kuingizwa kwenye chumba cha operation kama utaweza kulipia sasahivi fanya hivyo aingizwe thieta"
Akaongea yule baba
"Aingizwe haraka maramoja naenda kufanya maripo sio muda"
Nilimjibu kuwa
"Asante muheshimiwa usilipie wewe nitafanya hivyo mimi kwenye ile hela uliyonilipa"
"Usijali Reina nipo kwaajili yako doctor anzeni proses haraka Reina twende nikalipie nakisha ukanionyeshe mamaako"
Alinishika mkono nilishindwa kubisha japo nilikuwa natamani tuachane kwani nilisha fanya kazi yake nae alisha nilipa nilikuwa sina amani kwakweli juu ya huyo jamaa kwani nilikuwa nashindwa kumuelewa anaonesha nimtu hatari sasa nini nifanye mimi nilikosa cha kufanya tulienda hadi kulipia hapo nakisha nilimpeleka hadi alipokuwa mama kalazwa nilimkuta mama amechoka kalala nikamshika mkono na kisha aliamka aliponiona akaniambia
"Reina wangu umekuja?
"Usijari mama nipo hapa kilakitu kitakuwa sawa sasa unaingizwa chumba cha operation sio muda na utapona"
"Mwanangu Reina kwani unajichosha sana hivyo umeitoa wapi hela ya operation na huyu hapa ni nani eeh?
Yule mbaba kabla sijamtambulisha alimpa mkono mama nakumsalimia kisha akajitambulisha mimi mwenyewe nilikuwa naongozana nae hata jina silijui ndio nikalijua hapo
"Jinalangu naitwa Alex nataka kuwa mume wa binti yako mama nimempenda sana"
Nilishangaa huyu mbaba anaongea nini mbona tofauti namakubaliano yetu nilichukia kusikia hivyo asikuambie mtu ila nilishindwa kuonyesha hisia zangu mbele ya mama na ukizingatia anaumwa na anaenda kufanyiwa operation sikutaka nimfanye apaniki nilionyesha tabasam ili asipaniki mama alinitizama kisha akaniambia
"Kama unampenda sina lakusema mwanangu ndio chaguo lako wewe"
"Asante mama"
Wakati huo huo alikuja nes akatuambia tumpishe amuandae mgonjwa wake tulitoka hapo na kuwapisha wafanye kazi zao tilipofika nje nilishindwa kujidhibi nikamuambia tena kwa hasira
"Unajua sikuelewi Mr Alex"
"Hunielewi nini Reina?
"Umemuambia nini hivyo mamaangu?
"Nikweli nakupenda Reina"
"Tafadhari tafadhari tayari mimi nawewe tumesha malizana mimi sipo tayari kabisa kuwa na wewe niache uendelee na maisha yako"
Alichukia kufokewa mpaka body gady wake alikuja na kumuambia
"Niambie bos nifanye nini"
Alijibu kwa kichwa kumaanisha hapana nakisha aliondoka na kwenda kwenyegari na mabody gad wake walimfuata akawaamuru waondoke wakawasha gari wakaondoka hakika nilifurahi nilihisi nimevua koti la moto kwa jinsi nilivyo kuwa najisiki kwa wakati huwo nilipohakikisha hawapo nilichukua na maji nikanywa kisha nilikaa na kumsubilia mama maana alisha kuwa tayari kapelekwa chumba cha operation nilisubilia hapo kwa muda baadae alitolewa na kupelekwa kwenye chumba chake cha mapumziko nikaruhusiwa kwenda kuwa nae karibu nilikaa na mama nikimtizama hapo alikuwa bado kalala alikuwa na dawa za usingizi nikiwa hapo alikuja kakaangu na kuanza kuniletea fujo zake nikamuambia
"Naomba ondoka huoni mama amelala bado hajatoka kwenye usingizi unamsumbua"
"Ukitaka niondoke nipe hela ya kula na yakuchezea kamali ndio nikuache"
"Hilo ndio tatizo lako sio"
Nilichukua simu na kumrushia elf ishirini kwenye simu yake kisha nikamuambia
"Nadhani tumemalizana naomba uondoke mamaangu anaumwa ondoka"
Aliondoka muda kidogo mama aliamka na kuomba chakula nikamuambia
"Tulia mama ngoja doctor aje akutozame kwanza kisha atuambie nini unapaswa kila kwa hali yako"
"Sawa mwanangu"
Nilisimama na kwenda kwa nesi kumuita ili waje kumtizama mamaangu nilikuja na neshapo na baada ya muda nesaliniambia kuwa
"Kwa sasa bado muache kwamuda nitamtundikia drip ya glucose atakuwa sawa usijali"
Nilitamani kumkumbatia nes kwani nilifurahi sana kumuona mamaangu amefumbua macho
Je nini kitatokea kwake Reina tafadhari endelea kufuatilia.........
PENZI LA MAFIA
Mtunzi ALICE
Mwandishi ALICE
Epsd 4.
Walikuja na kumtundikia drip ya glucose kisha alikuwa sawa mama hapo nilibaki nikimtizama aliambiwa apumzike maana kichwa kitamuuma sana nilikuwa pembeni yake muda wote baada ya muda alikuja Mr Alex na kuingia kwenye chumba nilicho kuwa mimi na mama akaniuliza
"Vipi anaendeleaje mama kama bado nimuamishe hospital?
Nilimshangaa kwanza anafuata nini hapo na kwanini anajali sana kuhusu mamaangu yeye anamuhusu nini nilichukia kwanini ananifuatilia sana unajua nilikuwa simuamini kwa jinsi alivyo anavyoishi nilikuwa sipendi kuwa karibu nae kabisaanilimjibu
"Anaendelea vizuri lakini umesahau nini tena mbona upo hapa?
"Reina kwani mimi nivibaya kuwa hapa eeh?
"Hapana lakini kwa sasa nashukuru mungu anaendelea vizuri mamaangu na nakushukuru sana pia wewe lakini nilisha malizana na wewe sasa inatosha endelea na maisha yako"
"Ok sawa'
Kisha alinitizama sana na baada ya hapo aliamua kuondoka sikumuelewa kabisa nilijisemea atajijua mwenyewe muhimu kaondoka tuu hilo ndio bora kwani simuelewi kabisa mimi baada ya muda walikuja mabody gad wake wawili wakafungua mlango na kuingia tuu kisha walininyanyua tuu nilifanya fujo lakini haikusaidia kutoka mikononi mwa wale watu nilipiga kelele lakini waliniziba midomo na kunitoa hadi nje waliniingiza kwenye gari na kisha waliwasha gari tukaondoka hapo nililia na kuwaambia
"Hivi nyie ndio kinanani na mnashida gani jamani kwani hamuoni ninamgonjwa na ananitegemea mimi hapo hospital"
Lakini hakuna alienijibu walikuwa kimya nililia sana na kujilaumu mno kukutana na yule mbaba lakini ndio alienisaidia mamaangu kapona ila ndio alienisaidia hadi mama yangu kawa mzima sasa lakini sikujua hata napelekwa wapi maana niliingizwa kwenyegari na lilianza tuu safari tulienda hatua kidogo na kisha kunanyumba tuliingia ilikuwa ninzuri tuu ila nyumba hii ilikuwa sio kama pale tulipoenda usiku kwa Mr Alex tulipoingia ndani yageti ilipaki gari na kisha walishuka na ndipo niliiona gari ya Mr Alex nikajua tuu huyu ni Mr Alex sijui tena nini anataka wale mabaunsa walinitoa na huku nikifanya ukorofi wasinishike mbele yangu alikuwa Mr Alex akaniambia
"Mtoto mrembo mbona unakuwa mkorofi namna hiyo unajua hupendezi kuwa mkorofi?
Sikumjibu nilikaa kimya kwa muda yeye alikuwa akitabasam kisha nikamuambia
"Haya sema haraka nini shida yako ili nirudi kwa mama hospital"
"Usiogope hospital tayari nimeweka mazingira sawa kwa nesi yupo sehemu salama sana mamayako sawa Reina?
"Sawa haya nini unataka tena ili tuachane"
Nilikuwa nahasira sana ila Mr Alex alikuwa akitabasam tuu kisha aliniambia
"Reina hii ni nyumba yako mpya ambayo mama akitoka hospital atafikia nadhani umeipenda?
Nilishangaa kwani huyu jamaa anataka nini kwangu mbona kila ninapo taka akae mbali nami ndio anakuja upande wangu ananifanyia mambo mazuri nikweli tunakaa kwenye nyumba yakupanga na kodi hadi sasa imeisha nilivurugwa na ugonjwa wa mama ila nikirudi najua nitafukuzwa tuu nyumba tunayoishi lakini nikajifanya sina shida na pia nilikuwa nahofu na maripo ya kununuluwa nyumba nikamuambia
"Aliekuambia unipe nyumba ninani sasa mimi sitaki niache basi"
"Najua sana unakaa nyumba yakupanga na imeisha kodi tayari hembu acha ujeuri htakidogo chukua ufunguo nyumba yako hiyo"
Alinipa ufunguo na kuamua kuondoka akaingia kwenye gari nilibaki kimya kwani huyi jamaa kanifuatilia haswaa ananijua sana aliwasha gari na kuondoka na mabaunsa wake wote waliondoka nilibaki pekeangu haponiliamua kwenda kufungua nyumba na kuikagua ilikuwa ninyumba nzuri sana ipo full inamakochi yakisasa TV nzuri na vinginevyo inavyumba vitatu vinavitanda kabisa na vyote ni master niliipenda sana kwani nyumba tuliopanga ilikuwa yahadhi yakawaida sana vyuumba vyauwani viwili tu na bado tulikuwa tunanyanyaswa na mwenye nyumba nilijisemea liwalo na liwe hapa ndio kwangu na hati niliwekewa mezani kilichobaki nimimi kusain niliisaini na kuiweka kwenye droo chumbani kwangu nilisha kuwa nimechagua chumba changu na kisha niliamua kuifunga nyumba na kuondoka hospital nilipo muacha mama nilipo fika hospital nilimkuta mama analishwa mtori na nesi aliponiona alifurahi sana aniambia
"Reina mwanangu asante sana na mungu akutangulie kwa kilajambo lako ukafanikiwe"
Nilibaki simuelewi kabisa niliganda nikimuangalia kisha nikamuambia
"Yaani mama bwana kwanini unanibariki hivyo?
"Unastahili mwangu nimepona kwa wewe kunihangaikia na hapa umemuambia nes anihudumie vizuri namnahii eeh wananijali kuliko mwanzo nilipokuja"
"Sawa basi mama nihaki yako mimi nimwanao bwana basi sasa upumzike"
Nesi alikuwa kamaliza kumlisha anatoka nilimfuata kwa nyumba nikamsimamisha na kumuambia
"Samahani nesi"
"Naam madam"
Nilishtuka kusikia naitwa madam leo hii tena yamekuwaje imetokea wapi hii nikamuuliza
"Mmh mbona madam tena"
"Nisame madam kwakuwa mwanzo hatukujua kuwa wewe nimke wa Don Alex na ndio alietuambia tumjali sana mamaako pamoja na kukuheshmu wewe"
Nilishangaa na kumuambia
"Kwani huyo Alex mnamjua nyie?
"Ndio madam"
"Niambie mnamjuaje?
"Tafadhari madam nihivyo tuu hatumjui vinginevyo"
Kisha aliamua kuondoka baada ya kuongea hivyo lakini alikuwa akiongea huku akitetemeka nilishindwa kumuelewa kabisa nikaamua kurudi ndani kwa mama alipokuwa kalazwa
Je unavyo dhani Mr Alex yupoje mbona wana muogopa sana endelea kufuatilia...........
PENZI LA MAFIA
Mtunzi ALICE
Mwandishi ALICE
Epsd 5.
Baada ya siku mbili tuliruhusiwa kurudi nyumbani akajiuguzie nyumbani wakati naenda kulipia ili tuondoke nilikuwa tayari nimesha kusanya kilakitu nilipofika sehemu yamalipo nilishangaa kupewa lisiti na kuambiwa
"Tayari imelipiwa kipenzi uguza pole"
Nilibaki nimeshangaa na kumuuliza nashindwa nilielewa tuu huyu ni Mr Alex kisha nilirudi kumchukua mama nilibeba begi lake na pochi pamoja na kikapu nikamuambia
"Haya tuondoke taratibu mamaangu tukachukue usafili nje"
Tukaanza kutoka ile tunafika nje ilikuja gari miguuni kwetu na kumfungulia mlango mama kisha aliambiwa
"Haya mama ingia twende"
Nilikasirika sana na kujaribu kumzui mama lakini mama alishakuwa kaingia alikuja mkaka mwengine akanipokea mizigo na kuingiza kwenye gari kisha ilinibidi niingie wakatupeleka tukiwa njiani mama alishangaa huku tunako kwenda mbona sio akauliza
"Reina mbona sio huku alafu leo sijui yule mama mwenye nyumba atatuelewa kweli"
"Mama usihari nitakuelezea ngoja tufike kwanza huku tunako kwenda"
Tulitembe kama dakika kazaa kisha tuliingia ndani ya geti na kisha walitufungulia mlango wa gari tukatoka nilimpa ufunguo mmoja wao akaenda kufungua mlango mimi nikawa nimemshika mama hadi mlangoni na mwengine alikuja na mizigo yetu nilimuingiza mama ndani wale wakaka waliniwekea mizigo yangu na kuniaga wakaondoka walituacha mimi mama na mlinzi wa geti hapo nje mama nilimuweka kwenye kochi nikamuwashia TV alibaki akishangaa tuu mama akaniambia
"Unajua sijaelewa hapa tupo kwa nani na tutakuwa hapa hadi lini kwani ulisha fukuzwa mwanangu na yule mama sio?
"Hapana mama hapa ndio nyumbani kwetu sasa hatutatoka hapa yaani namaanisha hii ninyumba yetu kabisaa"
Mama alibaki akiwa anashangaa akaniuliza
"Umeipata wapi hii nyumba mbona ya garama hivi umepata wapi hela yakununua hiii nyumba unaweza kuniambia?
"Usijali mama kilakitu nitakuambia sitokuficha hata kimoja kwani wewe nimamaangu usijali kwanza pumzika kidogo ngoja nikuandalie kitu ule"
Niliinuka na kwenda jikoni nikamuandalia mtori kwani kuniliwa na ndizi pamoja nyama na viazi vililetwa nadhani wale makaka waliambiwa watuletee kabisa kwaajili ya mgonjwa pale tuliposhuka kwenye gari walishusha pia wakatuigizia ndani pamoja namizigo yetu basibwana nilipomaliza kupika na kisha nikamuwekea kwenye bakuri kulikuwa navyombo vichache nikamtengea na kisha nikamuambia
"Haya sasa mama kula basi ngoja mimi nikaoge kidogo"
Japokuwa sinanguo zakubadili nikajisemea kesho nitaenda kule tulipokuwa tunaishi nikachukue nguo zetu navitu vyetu muhimu niliingia bafuni nikaoga kisha nilijifunga kanga tuu ndio nguo pekee zilikuwa kwenye pochi ya mama zingine nizamama kisha nikatoka hadi sebreni unajua mama alikuwa bado haamini hichi nilicho muambia alikuwa katulia pale pale tuu hata kujisogeza hataki siunajua mtu ukiwa kwa watu unavyokuwa kisha nilikaa hapo na chips nilipotengeneza mtori nikakaanga kidogo viazi ndio nikawa nakula hapo huku natizama TV nilipoona mama hana amani nikaenda chumbani kwangu nikafungua dro nakuichukua hati ya nyumba nilipofika sebreni nikampa mama asome mama akaipokea na kuanza kuipitia ndipo alipogundua ninachoongea niukweli mtupu mama akaomba mkono wangu na kuubusu kisha akaniambia
"Katika vitu umefanya mwanangu cha mamana nikumiliki nyumba nzuri kama hii hakika umefanya jambo la maana hatuta nyanyasika tena asante mwanangu"
Nilimkumbatia kwa nyuma kimoyo moyo nikawa najisemea laiti ungejua hata maripo ya hii nyumba sijui nitaenda kulipa nini eeh mungu nisaidie kwa yule mbaba mimi maana hata sijui anataka nini kwenye maisha yangu kisha nikamjibu
"Asante mama usijali kipenzi changu sito kuagusha hata siku moja"
Nilikaa na kumalizia kula mama kisha aliniuliza
"Reina kakaako yupo wapi maana tangu niamke hospital sijamuona?
"Mama kwani mwanao humjui bwana achana nae kabla hujaamka alikuja na kuniletea fujo nikampa elf ishilini kisha akaondoka zake hadi sasa hajanitafuta ila atanitafuta tuu akitukosa kule tulipokuwa tunakaa"
"Yaani yule mtoto jamani nimkubwa lakini nibule kabisa"
"Usiumize kichwa mamaangu achana nae inuka twende chumbani ukapumzike sasa"
Aliinuka nikamsaidi nikampeleka chumbani kwake alikisifia chumba hatari na kitanda chakisasa kikubwa alifurahi akapanda kitandani nikamfunika vizuri nilimuambia
"Mama choo chako kipo humuhumu ukitaka kujisaidia na kama utahitaji msaada nipo chumba hicho hapo tunaangaliana milango usihofu ukiniita maramoja tuu nakuja"
"Sawa mwanangu nawewe chumba chako kipo kizuri kama hichi?
"Ndio mama kipo kama hichi"
Nilitabasam kwani mama alinifurahisha kuuliza kuwa chumba changu nikizuri kama chake kwahiyo kingekuwa kibaya kwaninavyomjua angeniambia mimi nilale humu kwake yeye aje kule ndio yupo hivyo mama jamani kisha akaniuliza tena
"Na je kakaako akija nae atalala wapi mwanangu?
"Usijali mama chumba chake kipo hapo mwisho hatahivyo kunachumba cha nje kama atataka kwa huko nyuma kipo kama hivi vyetu tu usijali"
"Kumbe"
"Ndio mama haya usiku mwema sasa pumzika"
Nilimuacha apumzike kwani nikiendelea kua hapo hato lala na hatoacha kuuliza maswali maana anamaswali mengi mno nikaingia chumbani kwangu nilipopanda tuu kitandani muda huo huo simu yangu ikaita ninamba ambayo siijui nikaipokea na kuongea
"Hallow"
"Hallow Reina?
"Yes"
"Vipi mnaendeleaje?
Nisauti nzito iliyo shiba haswa hadi nikawa najiuliza mwenyewe huyu ninani siunajua sauti yakwenye simu inavyo badilika nikamjibu
"Tunaende vizuri samahani nani mwenzangu?
"Reina naitwa Don Alex na hii ndio namba yangu"
Je unavyoona reina atamkatia simu au atafanyaje unatamani kujua endelea kufuatilia........
SOMA MAELEKEZO
Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote