PENZI LA MTOTO WA BOSS
Kweli mapenzi ni maua na popote Uchanua.
Niite Miss, Binti machachali kutokea tanga mji wa Mahaba Bwana, waliosemaga mapenzi ni upofu Hawakuwaii kukosea, ndugu yenu Nilinasa nikanasa halafu nikanasa tena Bwana 😂🥹.
Nakumbuka nilimpenda mtu kuliko nilivyojipenda Mimi, nilipenda mtu mpaka ikafikia wakati nikavunja ndoa yangu kwa mikono yangu kwaajili ya kijana Ismail. Daaah Ila huyu kaka Alicjua kuharibu akili yangu 😂🙌.
Anyway mapenzi Matamu Bwana Aswan ukimpata wa kupendana nae ❤️ huyu kijana wa boss ameweza akaweza tena.
Nikuuliza ushawai kufikilia kujidhuru kwasababu ya mtu unayempenda ?? Bwana me na nimependa anyway twende ndani ndani uko…..🥰
PENZI LA MTOTO WA BOSS
SEHEMU YA: 01
MTUNZI: PATRICIA DAMAS
www.tupohapa.com
ANZA NAYO……
Niite Missa binti machachali kabisa from Tanga mji wa mahaba, aaah nisiwe muongo jamani me ni mcharuko 😂🙌, kuna kipindi mpaka mama angu alikuwa anasema Kuwa Kuwa ucharuko nimezaliwa nayo, nimekuwa binti wa matukio kuliko kawaida, Yaani Mimi kila siku ni tukio jipya.
Mimi ni mtu wa Ngumi jiwe, nimekuwa binti wa visasi, Yaani ukinikosea usifikili Kuwa nitakuacha weeeh my zangu me nalipiza pasi na kupoteza muda.
Picha linaanza Shule niliacha nikiwa kidato cha kwanza tu, kwanza mambo ya kiingereza sijui kiingilishi Ndio yalikuwa sababu ya Mimi kuacha Shule, Yaani Kiswahili tu kilinishinda Halafu Ndio niweze kiingereza 😂🙌 ebu niacheni mie.
Baada ya kuacha Shule, nilikaa nyumbani nikiendelea kusumbua wazazi Wangu, nyie, Mimi ni msumbufu sana, nikisema maumbufu muwe mnanielewa bwana.
Nyumbani Kwetu wazazi na dada zangu na kaka zangu wameshanipiga sana tu lakini naweza nikasema Kuwa Mimi ni sikio la kufa, napigwa dakika moja, dakika ya pili narudia kosa😂.
Nikiwa na miaka 21, baba yangu alichukizwa na mambo yangu na Kuamua kuniozesha kwa Kijana ambaye pale kijijini kwetu aliaminika sana.
Kwakweli Niliolewa nikiwa sitaki kabisa, kwa kipindi iko tayali nilikuwa na machumba Wangu, nilikuwa nikimpenda sana ismail Wangu, Yaani Fujo zangu zote lakini nikiwa na Ismail tu natulia.
Kipindi ambacho nilikuwa nikiolewa, ismail Wangu alikuwa zake mjini akiendelea kutafuta Maisha, Sawa niliolewa lakini sikuacha Kuwasiliana na Ismail Wangu, Mimi na Ismail ni watu ambayo tunapendana sana na yeye Ndio alitoa usichana wangu.
Kwakuwa sikuwa nimependa Ndoa yangu, nilifanya kila aina ya visa ili mladi tu niachike na kweli nikaachika Bwana, Najua taraka si jambo Jema lakini sikuwa na amani ata Kidogo,baada ya kuachika, niliweza kupata kazi Dar es salaam, ilikuwa ni kazi za ndani, nilifurahi sana kupata kazi, niliamini kuwa nikienda uko naweza kuwa Karibu na mwanaume nimpendae ambaye ni Ismail.
*******
Safari yangu ya kwenda Dar ilikuwa simple kabisa kwani nilikuwa na Mawasiliano mazuri kabisa na maboss Wangu.
Nashukuru Mungu nilifanikiwa kufika Stendi ya magari salama Salimini, sikukaa muda Mrefu kwani aliyetumwa kuja kunipokea Aliwai kufika na kunichukua.
Nashukuru Mungu nilifika salama kabisa kwenye Eneo langu la kazi.
“Binti unataka nikubebe ??”
Aliuliza Dereva Aliyekuja kunipokea stendi.
“Aaah Hapana, Ila khaaaah Mjumba wote huu wa nini jamani ??”
Mimi sasa nikaanza kunyoosha Mdomo Wangu Kama kawaida yangu.
“Ebu Shuka Bwana wewe”
Basi kwa haraka nikashuka uku nikiendelea Kushangaa ukubwaa Nyumba hiyo, Walahi ni Nyumba Nzuri sana, kwa Mimi naweza nikasema kuwa ni Kasriii.
“Karibu sana “
Alizungumza Dereva aliyenipokea, kisha akaniongoza njia kuelekea ndani, baada ya Mwendo mfupi, kijana huyo alisimama na kuita.
“Suma, suma…”
Muda huo huo ilisikika sauti nzito ya kiume kutokea upande wa Pili wa Nyumba hiyo, na baada ya muda mfupi kijana aliyekuwa akiitwa akafika.
Woiiiiih nyie, sikuamini kumuona Ismail Wangu Mbele ya macho yangu, nyieeeh nilifurahi sana kumuona Mpaka nikashindwa kuvumilia na kwa haraka nikamkimbilia na Kumkumbatia kwa nguvu sana.
UKISIKIA KAZINI KWANGU KUNA KAZI NDIO HII SASA HAYA TUKUTANE SEHEMU IJAYO…….
PENZI LA MTOTO WA BOSS
SEHEMU YA: 02
MTUNZI: PATRICIA DAMAS
www.tupohapa.com
SONGA NAYO.......
Nilimkumbatia Ismail wangu na kumchumu Kila Kona pasi na kujali kuwa tupo kwenye eneo la kazi na mimi ndio kwanza nilikuwa nimefika kwenye eneo ilo.
"Wewe....."
Alifoka Ismail na kunisukuma kwa nguvu Kana kwamba anijui vile.
Ismail aliniacha na kumsogelea kijana yule aliyekuja kunipokea na kwa uwoga akazungumza.
"Yes boss....."
Kwanza macho yalinitoka utazani nimebanwa na mlango, yaani huyu mkaka aliyenifuata ndio boss, ila Mimi jamani, muda wote huo akili yangu iliamini kuwa mkaka huyo ni dereva TU wa boss wangu.
Mkaka huyo alimuangalia sana Ismail wangu, kisha akanigeukia Mimi na kuzungumza.
"Kuna mizigo kwenye gari, Missa twende ndani"
Ila nyie, nilijikuta nikiona aibu Sana, sikuwai kufikilia kama siku ya kwanza TU ya kazi nitakuwa kichekesho au nitafanya aibu kama hii jamani, daaaah upendo wangu umenidhalilisha Mimi jamani.
Mimi na boss tukaongozana na kwa pamoja tukaingia ndani.
"Mama weeeeeh hii nyumba kwani ni ya rais au ??"
Ila Mimi sijui nina nini jamani, kitu kinaitwa kujikontroo nimefeli kabisa, yaani nilipiga kelele baada ya kuona uzuri wa seble Yao, woiiiih kuna watu wanaishi bwana, yaani daaah hawa sijui kama wanajua shida kudadeki zao.
"Ukinionesha kituko kingine unaondoka sasa hivi"
Alizungumza mkaka huyo ambaye alinipokea.
Muda huo sio kwamba alikuwa huyo mkaka TU, hapana, kulikuwa na watu kama watatu hivi ambao walikuwa wakiangalia movie, na kelele zangu ziliwafanya wote kugeuka na kuniangalia mimi.
"Sitarudia boss wangu "
Nilijibu kwa utulivu wa Hali ya juu.
Muda huo huo akaingia Ismail akiwa na mizigo ambayo alitoka nayo kwenye gari.
*******
Majila ya saa mbili usiku, familia nzima ilijumuika kwenye meza ya chakula, nyieeeh hii familia ni wazuri walahi, nimezoea kuona watu wazuri wa kwenye filter bwana ila Hawa ni live Live, yaani wazuri kuliko huo uzuri wenyewe, sio mwanamke Wala mwanume.
Mpenzi msomaji, naomba nitumie wakati huu kukutambulisha familia yangu mpya yenye watu watano TU, yaani baba, mama na watoto watatu uku wakike akiwa mmoja TU.
Kwanza nianze na huyu ambaye alikuja kunipokea jamani, huyu anaitwa Jameer na ndio mtoto wa kwanza kwenye hii familia ni kauzu hatari uwa acheki na kima 🥺, WA pili ni Nagma mrembo fulani hivi mzuri sana, ametolewa mahali na Mimi nimekuja wakati WA maandalizi ya ndoa yake, wa tatu ni Jabeer jamani uwiiiiih huyu ni last born wa familia, kivuluge mmoja matata sana.
Kwenye familia hi, Kuna wafanyakazi wawili na mimi nimekuwa watatu, mafanyakazi wa kwanza ni Ismail wangu ambaye alihusika na mazingira ya nje lakini pia na ulinzi wa getini, mfanyakazi WA pili ni merry msichana ambaye nimemkuta Umo ndani na Mimi ndio nililetwa kwaajili ya kusaidiaana nae kwani majukumu yalikuwa ni makubwa sana.
Haya my zangu tuachane na utambulisho na tuendelee na story.
******
Ikiwa ni asubuhi sana, niliamka na kuanza kusaidiana kazi na merry, Muda wote nilifanya kazi kwa kufuata maelezo ya merry maana yeye ndio mwenyeji wangu na ndio anajua nini natakiwa kufanya.
Nikiwa nafuta FUTA vumbi la sebuleni hapo, gafla akaja last born yaani Jabeer, alikuja na kusimama pembeni yangu na kubaki akinishangaa tu.
"Inamaana unioni ??"
Jabeel aliniuliza kwa ukali sana kana kwamba Kuna kosa nimefanya.
"Nimekuona ulikuwa unasemaje ??"
Nilimuuliza kwa kujiamini sana uku nikiendelea na shughuli yangu ya kufuta vumbi.
"Msichana ukiwa unazungumza na Mimi hakikisha unaniangalia na unaachana na kila kitu"
Niligeuka haraka na kumuangalia kisha nikamuuliza.
"Kwahiyo niache ninachofanya halafu nikuangalie ? Kijana ebu usinichoshe"
Muda huo huo, mama mjengo akawa anashuka ngazi, woiiiih alikuwa akinukia vizuri sana, alikuwa amependeza kuliko kawaida, nilibaki nikimuangalia mara mbili mbili.
"Vipi baba ??"
Mama mjengo alimuuliza Jabeer uku akishika mashavu yake.
"Missa amegoma kunisalimia, nimesimama hapa karibia dakika 15, amegoma na kunisikiza kabisa "
Alizungumza jabeer tena kwa kudeka kabisa, yaani kama Toto dogo vile kumbe ni jitu Zima ambalo likicheza vibaya TU anaweza akawa baba muda wowote ule.
"Oooh pole baba "
Alijibu mama mjengo na kumkumbatia last born wake, unajua Kuna vitu vinachekesha saa, yaani mtu mzima anakuwa kama mtoto, achana na mtu mzima sasa, yaani mwanaume kabisa daaah 😃😃.
"Merry, merry "
Mama mjengo akiwa amemshikiliza last born wake akaanza kumuita merry.
Baada ya muda mfupi merry alifika sebuleni, na kusalimia Kila mtu.
"Merry, utamuandalia mtoto kufungua kunywa anachopenda, lakini pia utamuandalia Cha mchana kile anachokitaka, hii week yote atakuwa Hapa nyumbani"
Ila nyieeeh, jitu Zima liko chuo mtu wanasema mtoto daaah, kwakweli nilishindwa kujizuia na kwa sauti nikaangua kicheko.
"Kinakuchekesha nini ??"
Mama mjengo aliniuliza uku akinikazia macho.
"Aaah hapana, nimejikuta TU nacheka, lakini kwanini unamuita Jabeer mtoto jamani, huyu si mtu mzima au ni macho yangu ndio yanaona kama huyu ni mkubwa ?"
"Ahh, Missa unaongea sana wewe, anyway Jabeer wangu bado mdogo bwana "
Aaah niseme kuwa familia hii ni familia yenye upendo sana, Kuna namna niliipenda sana.
Majila ya mchana mimi na Merry tukiwa jikoni, merry aliniangalia kwa muda kisha akazungumza.
"Missa, naweza kukushirikisha kitu ?"
"Bila shida Binti funguka "
Nilijibu uku nikiendelea na kazi yangu ya kuandaa viungo vya mboga.
"Kuna mkaka nampenda sana sana, unajua nampenda mpaka sijielewi, nusu ya mshahara wangu uwa nampatia, yeye pia uwa ananipenda sana sana, lakini kwa sasa naona amebadilika sana, nikimtafuta kwenye simu anachelewa kujibu, lakini pia nikipata muda wa kuzungumza nae uwa ananikwepa sana na kusema kuwa anashughuli za kufanya, nashindwa kuelewa"
Nilimuangalia na kucheka kisha nikazungumza.
"Kumbe mambo ya mapenzi dada, sijawai kupitia misukosuko kwenye mahusiano yangu mwenzio kwahiyo sijui Ata nikuambie nini, lakini naweza kukusaidia kuzungumza na bebi wako, wewe niambie ni nani "
"Eeeeh hapo kwenye kumjua tulia kwanza dada, wacha nipambane nalo kwanza, likinishinda nitakuambia"
******
Week mbili zilipita nikiwa kwenye nyumba hii, ni nyumba yenye kila aina ya upendo lakini kwa huyu last born ni msumbufu jamani, ni kama ataki kuona watu wakiwa wamepumzika, ni anatuma kama waindi vile.
Ni siku ya jumatano sasa, ni siku ya send of ya Nagma Binti mrembo kabisa wa familia hii, siku hii ni siku ya hekaheka sana, kwanza tuliamshwa asubuhi na mapema kabisa, ndugu na marafiki walijaa uku na uku.
Nikiwa chumbani kwangu najiandaa baada ya kumaliza shughuli zangu zote, nilikuwa nikijiandaa kwa utulivu wa Hali ya juu, na nilikuwa nikijiandaa uku nikijiangalia kwenye kioo na nilikuwa mtupu kabisa.
Nikiwa bize na kujiangalia kwenye kioo, gafla mlango wa chunbani ukafunguliwana Jabeer akaingia mzima mzima, haraka nikakurupuka na kuvuta shuka na kujifunika.
"Unaficha nini ??"
Jabeer aliniuliza.
"Una wazimu wewe ? Yaani unaingiaje kwenye chunba Cha wanawake pasi na kupiga hodi ?"
"Missa niachie kelele mie, nilijua kabisa muda huu utakuwa unavaa, nikaona sio mbaya kuja kuona huo msambwanda ninaouonaaga kwenye nguo ukiwa live"
Kwanza nilibaki na butwaa jamani, safari hii huyu kijana akuzungumza kwa kudeka Ata kidogo, alizungumza kwa sauti nzito kabisa tena ya mwanaume lijali na kunifanya nipigwe na butwaa.
"Jabeer unaongea hivyo na Mimi au ?"
"Toa ilo shuka basi nijionee vizuri kama yaliyomo yamoo"
"We kumbe ni mshenzi eeeh, utajuta kunifahamu"
Nilimsogelea alipo na pasi na kumpoteza muda nikamsukumia kitandani, haraka nikafunga mlango na kumsogelea.
"Leo ndio utajua Missa ni nani "
Nyieeeh huyu kijana wa boss nilipiga kama napiga mtoto wangu, nilikuwa nikiogopa sawa lakini ulegevu wake ndio ulinipa ujasili kuwa naweza nikamfundisha adabu.
Kwa kuwa Jabeer alikuwa ni mweupe alijikuta akibaki na mialama mwilini mwake.
"Usije ukajaribu kunizoea kunguni wewe" .
Nilimpa onyo na kumsukumia nje ya chumba changu.
Nilimaliza kujiandaa na nilipendeza sana moja kwa Moja nikatoka nje, na kwenda kutulia kusubili bibi harusii mtalajiwa afike kwenye eneo la tukio kwani alikuwa ameenda saloon.
Nikiwa naendelea kushangaa uku, mama mjengo alikuja na kuniambia.
"Nenda chumbani kwa Ismail mwambie namuita maana nampigia apokei simu "
"Sawa madam"
Basi mie Tena, mguu mosi mguu pili, nikashika njia na kwenda chumbani kwa Ismail, kwanza nilifurahi Sana kwnza ilikuwa ni nafasi ya Mimi Ata kumkiss Ismail wangu maana daah Umo ndani tunaishi Kama atujuani kumbe ni wapenzi wa muda mrefu sana.
Nikifika mpaka kwenye mlango wa chumba cga Ismail, lakini nilishtushwa na sauti za juu sana a zahaba, sawa kulikuwa na mziki mkubwa lakini sauti hizo nilizisikia vizuri sana.
Kwa jazba na hasira ya Hali ya juu nikasukuna mlango na kuingia kurupu, walahi sikuamini macho yangu baada ya kumkuta merry na Ismail wakiendela kupeana Raha kwenye chumba Iko......
NAKUJA MY ZANGU SUBILINI KWANZA NILIE.
PENZI LA MTOTO WA BOSS
SEHEMU YA: 03
MTUNZI: PATRICIA DAMAS
www.tupohapa.com
SONGA NAYO........
Niliingia nikiwa na hasira sana lakini gafla TU nikajikuta nikipoa sana, yaani daaah sikuwai kufikilia kama Kuna siku nitakuja kupigwa tukio kama ili kudadeki zangu, yaani baada ya kuharibu hadi ndoa yangu haya ndio malipo ninayopata kwa huyu kijana kweli jamani.
"Ooooh samahanini sana jamani, mnisamehe, ni Bahati mbaya "
Niliomba radhi na kutoka nje, baada ya kutoka nje nilisogea dirishani na kuzungumza.
"Ismail unaitwa na madam"
Sikutaka kusubilli jibu haraka nikaondoka zangu, kiukweli sikuwa na Raha ata kidogo, moyo wangu uliyahisi maumivu makali sana ya usaliti, nilibaki nikiwa nahisi joto na baridi kwa wakati mmoja.
Hali yangu hii wanaweza kuelewa wale watu ambao wamewai kupigwa matukio na watu wawapendao TU.
Sikuwa na furaha ya sherehe Ata kidogo, kila muda ulipozidi kwenda ndio moyo wangu ulizidi kuniuma, kila muda ulivyosogea ndio nilizidi kuchanganyikiwa Missa mimi daaah Ismail ameniweza.
"Madam kichwa kinaniuma sana, naweza kwenda ndani kulala ??".
Nilienda kumuuliza madam baada ya kuona kuwa siko sawa.
"Yaah kapumzike, pale kwenye kabati juu Kuna panado unaweza ukatumia pia kwaajili ya kushusha kaoma Ako "
Daaah huyu mama ana moyo safi sana, kwa mwendo wa taratibu niliingia ndani, machozi hayakuacha kutililika kwenye macho yangu, akili yangu iliwaza mambo mengi Sana.
Nikiwa naelekea chumbani, gafla nikapalamiana na Jameer , yaani kaka mkubwa wa familia hii.
"Missa uko sawa ??"
Jameer aliniuliza baada ya kuona kuwa macho yangu yanatililisha sana machozi.
"Yaaah Niko sawa "
Nilijibu uku nikijaribu kukausha machozi yaliyolowanisha USO wangu.
"Unasemaje uko sawa na unalia ? Nyumbani kumetokea shida au ??"
"Hapana Jameer Niko sawa tumbo linanisumbua sana "
Niliamua kumdanganya TU.
"Sawa kapumzike "
Alijibu Jameer kisha Mimi na yeye tukapishana, tukiwa tumepenaa migongo Jameer akaniuliza.
"Hope haiusiani na Ismail "
Hapo niligeuka na kumuangali na kwa sauti ya kilio Cha kwikwi nikamuuliza.
"Unafahamu nini kuhusi Ismail??"
Jameer hakujibu kitu zaidi alinisogelea na kunikumbatia kwa nguvu sana, sijui Kuna uhusuani gani kati ya kukumbatiwa na maumivu lakini nilijikuta nikiangua kilio cha nguvu kabisa, nililia kwa sauti ya juu zaidi.
"Naelewa ni kiasi gani unajisikia ".
Alizungumza Jameer uku akiendelea kunituliza kwa kunipiga piga mgongoni.
Muda huo huo akaja kivuluge Jabeer, na kwa jazba akazungumza.
"Kaka unaitajika uko nje na uko hapa na huyo mnuka jasho "
Nilijitoa kwenye kifua cha jameer na kwa upole nikazungumza.
“Asante sana jameer, nitakuwa Sawa kwa sasa Nagma anakuitaji sana”
Jameer Alinivuta na kunikumbatia kwa nguvu kabisa kisha akazungumza.
“Lia utakavyo, Nagma uko nje hayupo mwenyewe mama yupo, baba yupo, Ila wewe unauitaji wa kuwa na mtu kwa sasa “
Muda huo huo, Jina la jameer lilitajwa kupitia kipaza sauti cha MC hapo nikaona kuwa kuwa jameer anaitajika sana, kwa utulivu nikazungumza.
“Itikia wito jameer”
“Missa Relax mama tulia kabisa “
Nyieeeh huyu kaka mbona ananichanganya sasa, Yaani ameanza Kunita mama uwiiih na uwa napenda sana, ismail Wangu amekuwa akiniita Hivyo Ila gafla akabadilika.
“Nitakaa nae mpaka utakapokuja…”
Alizungumza jabeer, kwakweli sikuamini, nilibaki nikimtolea macho tu uku Nikiwa Kimya tu pasi na Kutia neno lolote lile.
Basi jameer akaondoka uku akimsisitiza Jabeer kuniangalia kwa makini sana, kiukweli nilikuwa na maumivu makali sana kwa Wakati huo na kila nilipokumbuka jinsi ambavyo nimemkuta Ismail na merry Ndio Nilizidi kuumia zaidi.
“Jabeer nafikili pia unaitajika uko nje”
Nilimwambia jabeer ambaye Ali kuwa makini sana kwa kuniangalia kama ambavyo kaka yake alimwambia.
“Unauhakika kuwa utakuwa Sawa ??”
“Yaaaah usijali”
Basi Nikaagana na jabeer na kuingia chumbani Kwangu, chumba ambacho nashare na merry.
Mungu alisaidia na hatimaye shughuli ya Nagma iliisha salama salimini.
*******
Hatimaye siku Mpya ikashika nafasi, Kama kawaida majukumu yalitakiwa kuendelea, na siku hii ilikuwa ni siku ya Ndoa ya Nagma, ilikuwa ni siku iliyojaa ubize sana kuliko siku zote.
“Shoga angu ndio nini Jana kuingia bila hodi na kutuharibia wenzio ? Maana ismail aliogopa sana na kuifia kuwa Utaenda kusema kwa madam “
Alizungumza merry wakati huo mimi na yeye tulikuwa chumbani tukijiandaa kwaajili ya Ndoa.
“Mnisamehe tu, niligonga Mlango mfululizo lakini sikupata majibu sahihi, nilifungua ili kuhakikisha Kama Ismail hayupo kweli “
Nilijibu uku nikiendelea kufunga ushungi Wangu vizuri si mnajua tena ndoa za kiislama ushungi Muhimu.
Story kati yangu mimi na merry ziliendelea, muda huo huo mlango wa chumbani kwetu ukagongwa.
“Nani ?!”
Niliuliza ili kutaka kujua ni Nani Alikuwa akigonga mlango.
“Jabeer hapa”
“Eeeh last born sijui anataka kututuma nini saa hizi “
Merry Akaanza kilalamika, nilicheka na kwa utulivu nikasogelea mlango na kufungua.
“Vizuri, nimekuja kukufata nataka Kampani yako “
Alizungumza jabeer na kunifanya nimshangae sana maana imekuwa gafla mno.
NAKUJA….
PENZI LA MTOTO WA BOSS
SEHEMU YA: 04
MTUNZI: PATRICIA DAMAS
www.tupohapa.com
SONGA NAYO........
Kwa upande Wangu sikuwa na kipingamizi, na ukiangalia nilikuwa sitaki kabisa kukaa na merry kwa Wakati huo, Sawa merry ajui kitu lakini roho yangu iliniuma sana kila nilipokumbuka kuwa Mimi na merry tunatembea na mwanaume mmoja.
Nilitoka nikiwa na jabeer na kwenda kwenye Eneo la tukio, muda Wote jameer amekuwa akituangalia kwa mbali kabisa na kutuchekea.
“Pole kwa kilichokukuta Jana..”
Alizungumza jabeer tena ilikuwa gafla sana.
“Pole ya nini ??”
Nilimuuliza maana nilikuwa Nina amini kabisa kuwa jabeer ajui nilikuwa nilikuwa nikilia nini.
“Aaah we nawe, kaka jameer aliniambia kila kitu, lakini nataka kujua wewe na Ismail mmejuana vipi ikiwa Ismail yupo hapa kwa miaka Kadhaa sasa ??”
Nilmuangalia jabeer kwa muda kisha nikamuuliza.
“Kwa nini unataka kujua yote hayo jabeer, ukizingatia Mimi na wewe Jana tumegombaana sana”
“We nawe acha zako, ugomvi wetu ni Kama mistake tu, lakini nataka kujua, missa, Mimi maumivu ya mapenzi Nayajua vizuri sana sana, Mimi last born ni hapa tu nyumbani lakini uko Mtaani napigwa matukio mfululizo”
Kuna Namna nilianza kuona kuwa hawa vijana wa boss, ukiachana kuwa ni makauzu sana, lakini pia ni watu ambao wanajali sana, ni watu ambao wanaweza kumfanya mtu kuwa na furaha kwa Namna moja au nyingine.
Dada yenu sasa, ni kama nililishwa usembe hivi, nilijikuta nikijiachia na kuanza kumsimulia jabeer kila kitu kunihusu aswa aswa mahusiano
Yangu na Ismail na mpaka Mimi Kuvunja Ndoa yangu kwaajili ya Ismail.
“Kheeeeeh kwa dunia hii kumbe kuna watu bado mnapendana Kama hivyo, Yaani Missa na ujanja wako wote huo, ukavunja Ndoa yako kwaajili ya mwanaume ambaye ameshakanyaga udongo wa Dar ??😂”
“Unanicheka ?”
Nilimuuliza jabeer uku nikimuangalia sana.
“Aaah kwani dhambi jamani ??”
“Na kwa nini ucheke na mwenzio nina majonzi jamani ??”
Nilizungumza na Kiachia kicheko, kwa Wakati huo Walahi tulicheka sana, kuna Namna nilihisi kumzoea jabeer Kiasi cha Mimi kuanza kumvuta Mashavu na masikio yake.
Kila muda ulivyozidi kwenda Ndio nilizidi kumzoea jabeer, woiiiiiih huyu last born Ndio Muhandsome kiasi hiki ? Yaani hapa Ndio namchunguza vizuri sasa, Sawa ni wazuri lakini Leo Ndio namchunguza vizuri last born.
Muda huo Ndoa ilikuwa Ikiendelea tu, simu yangu iliweza Kuita na mama yangu Ndiye mtu Pekee Aliyekuwa Akipiga simu, kwa utulivu niliinuka na kwenda nyuma ya nyumba, Sehemu ambayo Kelele za madufu azikuwa zikisikika sana.
Nilizungumza na mama kwa muda sana na nilipomaliza tu nikageuka kwaajili ya kurudi ndani lakini nilikutana uso kwa uso na Ismail ni wazi kuwa alinifatilia nilipotoka nje.
“Woiiiiiih Tutauwana kwa presha jamani khaaah, Yaani Ndio nini Kama mzimu ?”
Nikijikuta nikimfokea kwa Nguvu sana Ismail.
“Unanisaliti na jabeer si Ndio ??”
Ismail aliniuliza.
Nilimuangalia kisha kwa dharau ya hali ya juu nikajibu.
“Jabeer ni mwanaume na Mimi ni mwanamke kipi cha Ajabu hapo “
Ismail alichukia sana akanyanyua Makono wake na kutaka kunipiga lakini gafla jabee akatokea na kuudaka Kabla haujafika kwenye mwili Wangu.
“Nini kinaendelea hapa ??”
Jabeer alimuuliza Ismail kwa hasira sana na kunifanya nishangae maana imekuwa gafla sana, lakini hasira yake ilionekana kumaanisha kabisa.
“Aaah amna boss, tulikuwa tunazungumza tu “
Alijibu Ismail uku akicheka Cheka, Ila nyie Pesa ni kitu kingine bwana, Yaani Ismail anavyojichekesha kwa jabeer utazani ni saizi yake vile daaah 😂🙌.
Jabeer alimuangalia Ismail kwa muda kisha akamwambia.
“Sitaki kukuona Karibu na mpenzi Wangu “
Nyieeeeh kwanza nilishtuka sana, nilijikuta nikibaki mdomo wazi, Yaani Ndio kwanza tumeanza kuzoeana halafu saa hii anatambia watu kuwa Mimi ni mpenzi wake woiiiiih 🥹, huyu last born anataka kuniletea shida sasa.
Jabeer hakuishia hapo jamani, alinisogelea na kwa haraka akanivuta na kunikiss, aaah kuna watu wanajua kukisi nyie, kuna Namna nilikuw anatamani kuendelea hivi, lakini kwa Aibu nikajitoa kwa jabeer.
Ismail alichukia sana na kwa mwendo wa haraka akatoka kwenye eneo ilo.
“Ndio umefanya nini sasa ?”
Nilimuuliza jabeer.
“Sio umefanya nini ? Sema tumefanya nini, Mbona ukunikataza ?, Natania bwana 😂, samahani sana, najaribu kumuweka Ismail mbali na Maisha yako maana atakuumiza sana “
“Mmmh”
Niliishia kuguna tu.
“We endelea kuguna lakini Ismail ni play boy tu, mdada wetu wa kwanza Ameondoka hapa akiwa na Mimba ya Ismail na Ismail ameikataa kata kata, huyu merry Ndio Ataki kuelewa, lakini nilishamuonya zaidi ya Mara Tatu”
Eeeh Mbona haya makubwa sasa, Yaani Ismail ili huyu huyu Wangu Mimi Ndio amekuwa wa Hovyo kiasi hiki .
Hatimaye Ndoa iliisha na Kama ilivyo Ada, mwanamke lazima aondoke na familia ya Mume wake jamani, Basi familia ya Nagma ikamsindikiza binti Yao, pale nyumbani tulibaki Sisi tu wafanyakazi na mama kwenye nyumba na baba mwenye nyumba.
“Huu ukaribu wako na jabeer unanipa wasiwasi sana “
Alizungumza merry, niligeuka na kuniangalia kisha nikamjibu.
“Aaah kila mtu ainjoy na mtu wake binti”
“Hahahaha usiniambie Ndio unatoka na huyu last born shoga angu atakuliza Hautakuja kuamini “
“Huyu ambaye Sio last born Mbona ameniumiza pia ? “
Nilijibu ki mafumbo uku nikimuongelea Ismail msaliti Wangu”
“Sijaongea kwa ubaya shoga angu, mtumie tu jabeer lakini usimfanye kuwa sehemu ya maisha yako “
Story ziliendelea na kazi ziliendelea.
Majila ya saa 4 usiku, nikiwa nimelala, nilikuwa nikikoloma Kama trekta maana nilichoka sana na nilikuwa na usingizi wa kutosha, Gafla simu yangu iliita, na kwa kuwa nilikuwa nimeweka sauti, ilikuwa rahisi kabisa kwa Mimi kusikia.
“Toka nje Mara moja “
Ilikuwa ni sauti ya jabeer kutokea kwenye simu yangu.
Kwa uchovu wa hali ya juu, niliinuka kutaka nje.
“Pole sana, nimekusumbua “
Alizungumza jabeer baada ya kuniona nikiwa na uchovu Wangu wa usingizi.
“Usijali, Ndio mmerudi au ??”
Nilimuuliza.
“Yaaah nimechoka mno lakini nikaona Sio Mbaya kama nitakuja kukuona rafiki yangu mrembo “
Woiiiiih last born anazidi kunishangaza kwakweli.
“Niko Sawa jabeer, lakini pia Asante kwa kujali, ukapumzike sasa last born Wangu “
Jabeer akanisogelea na kunikiss kwenye paji la uso na kwa sauti ya kiume iliyojaa uzito wake akazungumza.
“Ulale unono Missa “
Aaah huyu Mtoto ananivuluga sasa Missa Mimi si nachanganyikiwa sasa kwa style hii 😂🙌.
********
Siku ziliendelea kwenda uku ukaribu Wangu na Jabeer ukizidi kishamili, kuna Namna nilianza kumsahau Ismail kabisa, nilimuona jabeer kuwa mtu wa kawaida kabisa kwangu kana kwamba hakuna kitu kimewai kutokea Baina yetu.
Jabeer alijitaidi sana kuwa mwanaume kwa upande Wangu, alihakikisba kuwa anaanipatia furaha ambayo nastahili, vizawadi zawadi vya hapa na pale ndio vilizidi kunogesha Ukaribu wetu.
Nikiwa nimekaa nyuma ya nyumba sina ili wala lile, gafla Ismail alikuja na kukaa pembeni yangu.
“Unaendeleaje??”
Ismail aliniuliza .
“Niko powa kabisa sijui wewe”
Nilijibu Taratibu kabisa uku Nikiwa sina kinyongo chochote kile juu ya ismail, Yaani ni Kama moyo Wangu uliamua kupokea ukweli kuwa Ismail awezi kuwa wa kwangu.
“Nimekumisi “
Alizungumza Ismail uku akiniangalia sana Usoni.
“Ahahaa unanimisi na tunaonana kila dakika kweli jamani”
“Simaanishi Hivyo, nimemisi kuwa Karibu na wewe, nimemisi wewe kuwa kwenye kifua changu, nimemisi kila moment nzuri ambayo tumewai kupitia mimi na wewe”
“Oooh, memory ziendelee kuwa memory, hizo moment anazistahili merry kwa sasa “
“Sijawai kumpenda merry, missa, Mimi ni mwanaume, nakuwa na Hisia, sitaki kuwa muongo lakini Nilimtumia merry kupunguza uzito, najua unanielewa na wewe ni muelewa sana”
Mimi na Ismail tuliongea Mengi sana, kuna Namna ni Kama nilianza kumuelewa Ismail Wangu hivi, lakini akili na moyo vilifanya kazi kwa pamoja na kuniambia kuwa nitulie kwanza..
*****
Zilipita siku mbili nikiwa sijampatia Ismail jibu lolote lile, siku hiyo bwana niliamka na upwiru wa kutosha, sijui Kama mnanielewa, lakini niliamka uku nikiwa naitaji sana ku do 🤣🙌.
“Cha kujifia ni nini na Ismail yupo”
Nilizungumza kimoyomoyo, kwa kuwa Nyumba nzima tulibaki Mimi na Ismail Niliona kuwa wakati huu Ndio mzuri, merry Alikuwa ameenda Sokoni na wanafamilia wengine walikuwa wameenda kwenye majukumu Yao ya kila siku.
Niliinuka na haraka nikatoka nje mpaka kwenye geto la Ismail, nilifika Sawa, lakini nilivunjika moyo baada ya kusikia Sauti za mahaba za mwannamke tena zilikuwa za hali ya juu nika…..
JE ISMAIL YUKO NA NANI IKIWA MERRY AMEENDA SOKONI ?
TUKUTANE KWENYE SEHEMU YA 5……
SOMA MAELEKEZO
Bonyeza hi "Soma Kitabu" kisha itakupeleka kwenye fomu yaku login, hakikisha ume login na namba uliyojiunga nayo ndipo utaendelea sasa kusoma kitabu chote